nyumba kubwa
JF-Expert Member
- Oct 8, 2010
- 10,309
- 8,397
nikuulize swali NyumbaKubwa,na wewe je huwa unamburuza mzee mkamsalimie mama/baba yake? Just curious.
Hapo ndio tunarudi pale pale; naogopa kusemea jinsia nyingine; lakini my experience shows kuwa wanaume mapenzi yao kwa watoto wala hayaeleweki japo si wote; unaweza kuta baba anapenda watoto wake leo; kesho amegeuka utadhani watoto si wale wale alokuwa anawapenda. Ndio maana nikasema wanaume wengi wanapenda wake zao ndio sababu ya kupenda watoto wao; mapenzi kwa mke yakiisha na kwa watoto yanaisha na wengi wako radhi wapende mtoto wa kimada ambaye si wake kuliko kumpenda mtoto wake kwa kuwa yeye na wife hawaivi..
Mama mkwe yuko mbali hivyo safari ya kwenda huko tulishajiwekea ni once a year.
Baba yangu yuko Dar hivyo ni kiasi cha kujifanya tumepotea njia wakati wa kutoka job na kwenda kumpa hi.
Mume wangu anampenda sana mama yake hivyo wala sijawahi kumburuza lazima aongee nae kwa simu daily kitu ambacho mimi sifanyi kwa wazazi wangu. Kwa hiyo haitaji kuwa pushed yeye ni last born kwao na ni mother's son. Baba yao alishafariki.

I think there is some misunderstanding kidogo
LOve for a spouse or partner is always there and unique in its own unique way, but love for the kids is special and nothing in this world can evr compare that one.
things like trust, questions,, security, accountability and responsibilities come in different ways and one has to look at at kama vile God's love to us or Jesus love to us or mary's love to Joseph and compared to Mary's love to Jesus
anyway.... those are my two cents
Bishanga definition ya mume ninayoiweka hapa ni ile ya mwanaume niliye naye kwa wakati huo, Na
ndio maana nikauliza kama Mapendo na Mapenzi ni kitu kimoja. Sioni kwa nini mpenzi alokuja akanikuta na mtoto wa mwingine nimpunje, nisimpende kwa sababu ninampenda mtoto wangu?! Special place yake bado iko pale pale until atakaponipa nafasi/ sababu ya kuifuta. Kama Bishanga tulipozaa nawe ulinipa nafasi/sababu ya kukuondoa kwenye moyo wangu ndani ya ile special place hutokaa urudi huko!
come on NyumbaKubwa,naona una base sana kwa mapenzi kati ya baba,mama na watoto waliozaliwa na kuishi under one roof.Hebu jaribu kupanua uwigo wa huu mjadala uhusishe na watoto ambao baba/mama wanazaa kabla ya kuoana,baba anazaa nje ya ndoa,mama anatengana na baba anazaa na mwanaume mwingine kisha wanarudiana na mmewe etc,wote hawa ni watoto na wanastahili mapenzi kama wale wanaozaliwa 'ndani' ya ndoa.Ukisha panua uwigo tutajadili.
Mama mkwe yuko mbali hivyo safari ya kwenda huko tulishajiwekea ni once a year.
Baba yangu yuko Dar hivyo ni kiasi cha kujifanya tumepotea njia wakati wa kutoka job na kwenda kumpa hi.
Mume wangu anampenda sana mama yake hivyo wala sijawahi kumburuza lazima aongee nae kwa simu daily kitu ambacho mimi sifanyi kwa wazazi wangu. Kwa hiyo haitaji kuwa pushed yeye ni last born kwao na ni mother's son. Baba yao alishafariki.
Nisamehe kwa lugha yangu hiyo Bishanga. Nakubaliana nawe kuwa ni apizo baya. Ninaliwithdraw but kwangu mimi hunichukua miaka mingi sana kuamua kumuondoa mtu moyoni. Nahisi ndio maana nafikiri huwa naumia sana na mara nyiongi watu wananishangaa kwa nini nayameza tu nakuwa coward kufanya maamuzi but siku nikiyafanya huwa ni moja kwa moja. Ukiwezaipitia thread ya nalivua pendo na nyinginezo unawezanielewa nikisemacho. But kama unavyosema, si vizuri kujiapiza.'hutokaa urudi moyoni mwangu',hilo ni apizo MJ1,usiapize,nshawahi kumpa mimba mwanamke,tukagombana,tukaachana,akaapiza kama wewe,akazaa, akaapiza tena kama wewe ulivyoapiza,leo ni best wangu,tunalea, pamoja na kwamba hatuna ndoa.La kwake ni la kwangu iwe la kheri au la furaha
Tuko kurasa moja Lizzy wasiwasi wangu ni kuwa watu wengi wanaonekana kuchanganya love kwa watoto na love kwa spouse na hii ndiyo inayoniuma mimi. Watoto/spouse kila mtu ana special and unique love huwezilinganisha but ukikutana na mtu ambaye yeye anaamini kuwa yote ni sawa (kitu ambacho kinaweza kulead katika matendo) akamuignore spouse wake kisa tu anawapenda watoto bado si sawa.
Na ninaposema anakupenda kuliko watoto simaanishi akupende wewe kuliko watoto,la hasha bali aelewe na kutekeleza hayo mapenzi ya pande zoye mbili kwa namna inavyotakikana.
Jamani mie leo sio kabisaa!
I think there is some misunderstanding kidogo
LOve for a spouse or partner is always there and unique in its own unique way, but love for the kids is special and nothing in this world can evr compare that one.
things like trust, questions,, security, accountability and responsibilities come in different ways and one has to look at at kama vile God's love to us or Jesus love to us or mary's love to Joseph and compared to Mary's love to Jesus
anyway.... those are my two cents
Kuna kitu nimejifunza hapo...
wanaume wanaokuwa last born wanakuwa close na mama zao..
halafu wanakuwa kama 'watoto hivi' kwa wake zao pia....
Afu you can't imagine mama mkwe wangu ana jina kama langu
Sijuhi amenipenda kwa kuwa anaona reflection ya mama yake kwangu?
Yes am treating her as my older son, lol. Anadeka kweli kweli.
bishanga ukijaza sana mawazo ya aina hii kichwani mwako
utashangaa yanakuwa hivyo hivyo....and vice versa...
Ashadii huwa napenda sana kusoma post zako kwani nanufaikaga nazo kwa sana tu. Ila hapo bold huyu baba wa binti yangu alinitelekeza kisa hiyo nyumba ndogo lol. Ila anampenda huyu binti yangu kuliko maelezo hapindui kabisa. Mimi naamini upendo kwa mtoto ni tofauti na upendo kwa mume/mke. Wako tofauti kabisa haiwezekani kulinganisha.
unfortunately mambo haya ni common sana bongo hii,wanawake waone hivyo hivyo Boss,Mungu mwenyewe ndo anajua aliwaumbaje anajua mwenyewe,they can be very brutal.
Mpaka hapa nilipofikia nimejifunza somo moja gumu na linaloumiza sana.
kwamba wanaume na wanawake ni vitu viwili tofauti kabisa katika maisha ya mapenzi na upendo.
Nilichokuwa nakijua na ambacho naamini mpaka sasa kinaendelea
Mke anampenda mmewe saaaaana, pale wanapokuwa hawajapata watoto/mtoto
Mme anampenda mkewe sana pale wanapokuwa hawajapata watoto/mtoto
Nilichojifunza leo kwa mstuko
Mme anampenda mke hata kama ameshapata mtoto/watoto
Mke anampenda sana mtoto/watoto akishapata mtoto/watoto. Mme anakuwa namba mbili.
Swali kwa wanawake:
Ni kitu gani hasa kinawafanya mhamishie mapenzi yenu kwa watoto na kuwaweke waume zenu namba 2? Hapa tu-assume hakuna ubaya wowote uliotendewa na mmeo.
Inauma sana aisee!
I know that that is why ukisoma post yangu moja nimesema inategemea umri wa watoto na umri wa ndoa. Lakini pamoja na hayo bado si kigezo cha kusema ninampenda huyu zaidi ya yule. Utamchangua huyu kwa sababu nyingineyo kabisa lakini si eti nampenda kuliko mwingine! Havitall.
After all I am living my life now!
Kaka hii imekuwa ngumu kweli kukubalika humu ndani! Sijui kwa nini mydia.
Yaani thread
1. Hii ya Asprin
2. Ile ya RR na
3. Ile ya The Boss................... zimenifunulia Ufunuo kama ule wa Yohana. Ufunuo wa ajabu sana kuhusu ndoa na mahusiano. Yaani zimenifanya niamini kuwa taasis nzima ya ndoa imejaa usanii wa hali ya juu.... imagine
1. Unaishi na mtu unayeamini kuwa anakupenda kumbe yeye anapenda watoto zaidi yako
2. Unaishi na mtu ambaye unaamini anakupenda wewe, na hajishughulishi na wengine kumbe sivyo.
Eh............. taasis ya ndoa na mahusiano!!