tinna cute
JF-Expert Member
- Sep 22, 2013
- 4,630
- 2,317
mmmmhhhhh
Unaguna nn??? Lunch na msaada mdogo vimemtoa roho siku ukiweza si itakua balaa.
mmmmhhhhh
Daaah Bahati hizo
Unaguna nn??? Lunch na msaada mdogo vimemtoa roho siku ukiweza si itakua balaa.
We nibp tu
na wewe huwa unafanya hivyo?
....wakati nakua niliamini kwa moyo wangu wote kuwa fisi haachi mzoga, kumbe sio kweli..! amakweli duniani kuna mambo...
mi napiga kaka siwezi kupishana na gari ya mshahara ya NMB!!!
Wadau salaam,
Kuna mdada mmoja wa usafi pande zangu za kazi,kwangu ni kama mdogo wangu kwani tumepishana sana kwa umri na hata umbo (ana kaumbo kadogo,na umri wake kwangu ni mdogo pia).
Amekuwa akiniheshimu sana tu,shikamoo za kutosha but juzi kati kanitia kwa majaribu.Huwa tunakawaida ya kumuagiza chakula na yeye pia tunamnunulia au hata sometymz anaweza kuja akakuomba hela ya kula au ya nauli,binafsi huwa nampa nikiwanayo.
Kwa muda wa mwezi mmoja sasa amekuwa akinionyesha dalili za kimapenzi but nikawa napuuzia tu na pengine nilidhani labda ninamuhisi vibaya.
Juzi kati kaja kuniomba hela ya lunch na akaniambia anashida,anaomba tuongee kidogo,basi tukatoka kwa nje ofisini ili tuweze kuongea,alichokisema nikabaki mdomo wazi...nanukuu."kaka kozo mi hapa nilipo sina mwanamme wa kunitunza,unaonaje ukiwa unanipa vijimatumizi vidogo vidogo halafu ukinihitaji nitakuwa nakupa kampani"
Sikuamini kama angeweza kuniambia kitu kama kile but nilimueleza siwezi kutoka nae lakini kama atakuwa na shida basi anione tu kama nitakuwa na uwezo wa kumsaidia basi nitafanya hivyo.
sometymz sijui ujasiri huu unatoka wapi
Kamata fursa mkuu duu yawezekana unaishi uzunguni
ukipuuzia wewe siyo mwanaume
hongera mkuu,ila uzinzi noma
dah ilikuwa kazi...
Kama ulivyomnukuu, demu kawa open kimoja anataka umtunze (hana mwanaume wa kumtumza), umpatie matumizi madogo madogo then ujira ni K. Hajatia neno lolote la lile la ma-du eti sijui kafall au nini. So kifupi huu ni mkataba wa wewe kumhudumia kwa malipo ya K. Ila ujue ukishindwa kumhudumia no K
Umekunywa kata ngapi za mbege?
sio kitu kaka ukifa kwa HIV is better kuliko kufa kwa malaria coz inatibika!
ni kweli kabisa mkuu,lakini sio kwenye uzinzi
***Mpira wa Kona huo***
Aisee umenikumbusha mbali jamani....
Umekunywa kata ngapi za mbege?