Mdada wa usafi kazini...!!!!

Mdada wa usafi kazini...!!!!

kozo okamoto hapo ndg yangu kuwa makini sana. Samahani nisieleweke vibaya, hata hiyo huduma yake ya kukununulia chakula anza kujihami nayo kwani anaweza hata kukuwekea limbwata ukajikuta unafall bila kupenda na ukaharibu upande wa familia yako (ndoa yako km umeoa)...pia hwez kujua ameshawaambia wanaume wangapi hiyo script yake ya kutaka msaada na kutoa kampani maana duh, ana guts za hatari sana....kuwa makini kaka yangu....

Limbwata ndio nini?
 
Watu kama wewe ndiyo mnasababisha wadada wasiwe wanafunguka. Mdada akitoswa huwa Moyo unawauma sana. Ni bora ungekubali halafu baada ya muda fulani ukafuta mahusiano.
 
Watu kama wewe ndiyo mnasababisha wadada wasiwe wanafunguka. Mdada akitoswa huwa Moyo unawauma sana. Ni bora ungekubali halafu baada ya muda fulani ukafuta mahusiano.

aisee,sitaki nataka huwa sina mkuu
 
Mkuu huyo mdada kakosea njia aliyotumia kuja kwako...Nahisi kama anatumia ushauri wa Mwamvita Makamba vile!!Unataka kugeuzwa buzi?...Infact kila mwanaume ni buzi kwa mwanamke wake lakini wewe utakuwa verified buzi kwani kakwambia live uwe unamtunza hapa mjini! Kaka na hivyo vimatumizi vidogovidogo kwa hawa dada zetu huwa vinaongezeka kama tembo.Me ni hayo tu!!

asante mkuu,sina tamaa kiasi hicho ndo maana nikampotezea
 
Back
Top Bottom