Mdada wa usafi kazini...!!!!

Kozo Okamoto

JF-Expert Member
Oct 14, 2013
3,392
1,500
Wadau salaam,

Kuna mdada mmoja wa usafi pande zangu za kazi,kwangu ni kama mdogo wangu kwani tumepishana sana kwa umri na hata umbo (ana kaumbo kadogo,na umri wake kwangu ni mdogo pia).

Amekuwa akiniheshimu sana tu,shikamoo za kutosha but juzi kati kanitia kwa majaribu.Huwa tunakawaida ya kumuagiza chakula na yeye pia tunamnunulia au hata sometymz anaweza kuja akakuomba hela ya kula au ya nauli,binafsi huwa nampa nikiwanayo.

Kwa muda wa mwezi mmoja sasa amekuwa akinionyesha dalili za kimapenzi but nikawa napuuzia tu na pengine nilidhani labda ninamuhisi vibaya.

Juzi kati kaja kuniomba hela ya lunch na akaniambia anashida,anaomba tuongee kidogo,basi tukatoka kwa nje ofisini ili tuweze kuongea,alichokisema nikabaki mdomo wazi...nanukuu."kaka kozo mi hapa nilipo sina mwanamme wa kunitunza,unaonaje ukiwa unanipa vijimatumizi vidogo vidogo halafu ukinihitaji nitakuwa nakupa kampani"

Sikuamini kama angeweza kuniambia kitu kama kile but nilimueleza siwezi kutoka nae lakini kama atakuwa na shida basi anione tu kama nitakuwa na uwezo wa kumsaidia basi nitafanya hivyo.

sometymz sijui ujasiri huu unatoka wapi
 

Pagija

JF-Expert Member
Dec 6, 2013
380
0
ni kweli mkuu but inatupa shida sana marijali....familia inadai na huyu nae anataka kuniandalia zengwe tu
Mkuu njoo huku kunduchi kuna jamaa anaitwa ''kapulanyege' atakusaidia kitaalamu jinsi ya kumudu kazi.......ukifika mtongani tu ukiulizia ''kapulanyege'' unampata............!!!!!!!!!!
 

Shark

JF-Expert Member
Jan 25, 2010
26,540
2,000
wadau salaam,kuna mdada mmoja wa usafi pande zangu za kazi,kwangu ni kama mdogo wangu kwani tumepishana sana kwa umrina hata umbo(ana kaumbo kadogo,na umri wake kwangu ni mdogo pia),amekuwa akiniheshimu sana tu,shikamoo za kutosha but juzi kati kanitia kwa majaribu.huwa tunakawaida ya kumuagiza chakula na yeye pia tunamnunulia au hata sometymz anaweza kuja akakuomba hela ya kula au ya nauli,binafsi huwa nampa nikiwanayo.kwa muda wa mwezi mmoja sasa amekuwa akinionyesha dalili za kimapenzi but nikawa napuuzia tu na pengine nilidhani labda ninamuhisi vibaya.juzi kati kaja kuniomba hela ya lunch na akaniambia anashida,anaomba tuongee kidogo.basi tukatoka kwa nje ofisini ili tuweze kuongea,alichokisema nikabaki mdomo wazi...nanukuu."kaka kozo mi hapa nilipo sina mwanamme wa kunitunza,unaonaje ukiwa unanipa vijimatumizi vidogo vidogo halafu ukinihitaji nitakuwa nakupa kampani"..sikuamini kama angeweza kuniambia kitu kama kile but nilimueleza siwezi kutoka nae lakini kama atakuwa na shida basi anione tu kama nitakuwa na uwezo wa kumsaidia basi nitafanya hivyo.

sometymz cjui ujasiri huu unatoka wapi

Ungepiga tu Mkuu,

"Loose Ball" kama hizo sio za kuziachiaga, manake unaweza ukatangaziwa kwa watu kua "haudindi" kaka!!
Ila tu, VAA!!
 

Kozo Okamoto

JF-Expert Member
Oct 14, 2013
3,392
1,500
Ungepiga tu Mkuu,

"Loose Ball" kama hizo sio za kuziachiaga, manake unaweza ukatangaziwa kwa watu kua "haudindi" kaka!!
Ila tu, VAA!!

mkuu umenena vema but kwangu ni ngumu sana,isitoshe hata atangaze vipi nina familia tayari
 

jamiif

JF-Expert Member
Apr 30, 2012
2,414
1,195
kozo okamoto hapo ndg yangu kuwa makini sana. Samahani nisieleweke vibaya, hata hiyo huduma yake ya kukununulia chakula anza kujihami nayo kwani anaweza hata kukuwekea limbwata ukajikuta unafall bila kupenda na ukaharibu upande wa familia yako (ndoa yako km umeoa)...pia hwez kujua ameshawaambia wanaume wangapi hiyo script yake ya kutaka msaada na kutoa kampani maana duh, ana guts za hatari sana....kuwa makini kaka yangu....
 
Last edited by a moderator:

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom