Mdada wa usafi kazini...!!!!

Mdada wa usafi kazini...!!!!

kaka yangu naomba nikupongeze kwa msimamo mzuri na kumjibu vzr uyo bnt!hata siku1usinajic mwil wako,naamin kwa busara zako huyo bnt atadirika cku moja kiustaarab muite muelimishe kuwa nidhamb na madhara yake makubwa hatofanya tenapopote.ubarikiwe
 
yap,coz am not for the public.kama ni muelewa atanielewa,kama sio basi shauri yake
 
ucwasikilinze wazinz waumu jf chambua sikila ushaur unafaa kumbuka neno mungu linasema njia iendayo uziman nyembamba ndo maana weng wanakushaur uzinz,hakuna dhamb mbaya kama i.usishangae hata unapata mikosi ofcn na kwenye life kwa ilo.da thanks kaka
 
usijali wangu,nasimamia misingi imara ya ukristu
 
Nahisi hako kadada katakuwa ka kawaida sana hata mfuto hakana ndo maana mkuu umeweza kuchomoka kwenye huo mtego.
Kwa kawaida wanaume huwa ni vigumu sana kuchomoka kwenye mitego ya aina hiyo, wanaume wengi tumejawa na tamaa hasa pale tunapoona kadada kazuri kawe na ------ hipsi kwambaliiiiiiiiii.... Hakianane hapa hachomokia mtu.
Tena kuzingatia tafiti mbali mbali zinaonesha kwamba wanaume wengi walioko katika ndoa ndo wanaongoza kwa kutengeneza mitandao ya ngono hapa asinge toka mtu.
Badala yake leo hapa kozo okamoto ange andika uzi unaosema hivi "Mdada wa usafi kazini aivunja ndoa yangu".

hahaha mkuu kwa maheadline unatisha,ila sijafikiria kutoka nje ya ndoa yangu
 
Inaonesha hana upendo wa kweli. Yeye ni nipe nikupe. Katakuwa kabinti kwa mizinga hako achana nako.
 
kwa hili shetan anaumwa kichwa kwa homa sababu kaaibika mbaya! so subiri baraka tele toka kwa Mungu awez kukuacha ivi kama kweli ukimtetea kwa uaminifu hivi.mkumbuke ata yusuph misri msimamo wako Mungu kamzawadia uwaziri.
 
amen,naamini hivyo
 
Back
Top Bottom