Mdada wa usafi kazini...!!!!

Mdada wa usafi kazini...!!!!

Zile ndogo ndogo za nauli unazompa, kaona hazitoshi anataka na zinazobaki mfukoni! Anajua akikupata utatoa zaidi. Kwani hapo sio kama kakupenda, bali anataka mgawane umaskini.
 
kozo okamoto hapo ndg yangu kuwa makini sana. Samahani nisieleweke vibaya, hata hiyo huduma yake ya kukununulia chakula anza kujihami nayo kwani anaweza hata kukuwekea limbwata ukajikuta unafall bila kupenda na ukaharibu upande wa familia yako (ndoa yako km umeoa)...pia hwez kujua ameshawaambia wanaume wangapi hiyo script yake ya kutaka msaada na kutoa kampani maana duh, ana guts za hatari sana....kuwa makini kaka yangu....

Umetoa advice nzuri ila hakuna kitu kinaitwa limbwata, ni imani tu.
 
Last edited by a moderator:
Zile ndogo ndogo za nauli unazompa, kaona hazitoshi anataka na zinazobaki mfukoni! Anajua akikupata utatoa zaidi. Kwani hapo sio kama kakupenda, bali anataka mgawane umaskini.

akafie mbali huko
 
hongera sana mdada kwa kuweza kuliweka njia panda limwanaume likubwa hivi wakati wewe bado ni under 20!
 
Back
Top Bottom