Huyu Ndg Kapu...yeye anaziongeza au kupunguza?? Wengine wana shida ya kuzipunguza.....
hahaha kumbe ndo mnafanyaga hivyo eeh???
Muonjeshe utamu mwenzio asije patwa na hysteria bure.....!!
Wadau salaam,
Kuna mdada mmoja wa usafi pande zangu za kazi,kwangu ni kama mdogo wangu kwani tumepishana sana kwa umri na hata umbo (ana kaumbo kadogo,na umri wake kwangu ni mdogo pia).
Amekuwa akiniheshimu sana tu,shikamoo za kutosha but juzi kati kanitia kwa majaribu.Huwa tunakawaida ya kumuagiza chakula na yeye pia tunamnunulia au hata sometymz anaweza kuja akakuomba hela ya kula au ya nauli,binafsi huwa nampa nikiwanayo.
Kwa muda wa mwezi mmoja sasa amekuwa akinionyesha dalili za kimapenzi but nikawa napuuzia tu na pengine nilidhani labda ninamuhisi vibaya.
Juzi kati kaja kuniomba hela ya lunch na akaniambia anashida,anaomba tuongee kidogo,basi tukatoka kwa nje ofisini ili tuweze kuongea,alichokisema nikabaki mdomo wazi...nanukuu."kaka kozo mi hapa nilipo sina mwanamme wa kunitunza,unaonaje ukiwa unanipa vijimatumizi vidogo vidogo halafu ukinihitaji nitakuwa nakupa kampani"
Sikuamini kama angeweza kuniambia kitu kama kile but nilimueleza siwezi kutoka nae lakini kama atakuwa na shida basi anione tu kama nitakuwa na uwezo wa kumsaidia basi nitafanya hivyo.
sometymz sijui ujasiri huu unatoka wapi
Unaeza kuta bikira huyo, we si hujawahi bikiri eh?
Aomba namaba yake inbox pls
sthng iz wrong smwhere
Haaa..shida changanya na mapenzi ni hatari sanaa..
Yaani wanawake bana, ukiwaonesha tu ukarimu hivi, tayari umependwa! Mi haya yameisha nikuta sana tu wala sio kidogo, tokea miaka ile ya 90's hadi sasa! Sometimes hata nikiwa nasafiri, utasikia please kaka naomba simu yako ni- mbeep mwenyeji wangu, jibu langu hawaga rahisi tu, "We piga tu hata dakika 5 ongea usijali" Hapo hapo utakuta umeanza kupendwa, siku nyingine hi hapa, tunatoka zetu Dar kwenda Mwanza, mara basi likapata shida ya kiufundi, watu wakaanza kuomba pesa kwa ndugu zao, binti 1 akawa hata haelewi afanyaje, nikamwambia, waambie wakutumie kwenye simu yangu then mi naku-cash, heee wasichana wenzie wakajua tayari kampata mwanaume! Shida kweli kweli,]siku 1 uzalendo ulinishinda, Singida hiyo......![/QUOTE
ukapiga penati halafu ukaenda kudaka mwenyewe
piga papuchi hiyo mambo ya familia yatafata baadae!
Muonjeshe utamu mwenzio asije patwa na hysteria bure.....!!