Cleaner/Mtu wa Usafi Ofisini Anahitajika

The bump

JF-Expert Member
Nov 22, 2019
1,136
1,952
Mdada/Mkaka (Sio Mmama/Mbaba) Anahitajika Kijana ambae ana muonekano wa Kijana atakae weza kufanya kazi ya Usafi na kusafisha Bidhaa zilizopo Ofisini.

Majukumu Yake ni Kuhakikisha Sakafu Safi wakati wote,Viti vya wateja,Makabati vinafutwa Vumbi wakati wote.

Ki ujumla Usafi Usafi Usafi Kauli mbiu ni Usafi.

Muda Wa Kuingia Kazini : 1:00asb
Muda Wa kutoka Kazini : 2:00usk

Hamna OFF
Hamna Week End
Hamna Siku Kuu

Mshahara 80,000

Chakula : 3,000 Utapewa Kila Siku

Office : Dar/ Kimara Mwisho

Contact : 0695 697 796 Whatsapp Only + Msg za Kawaida.
 
JF mshaweka mawingu wingu yenu daaah... mnazuzua watu macho bana
 
Mdada/Mkaka (Sio Mmama/Mbaba) Anahitajika Kijana ambae ana muonekano wa Kijana atakae weza kufanya kazi ya Usafi na kusafisha Bidhaa zilizopo Ofisini.

Majukumu Yake ni Kuhakikisha Sakafu Safi wakati wote,Viti vya wateja,Makabati vinafutwa Vumbi wakati wote.

Ki ujumla Usafi Usafi Usafi Kauli mbiu ni Usafi.

Muda Wa Kuingia Kazini : 1:00asb
Muda Wa kutoka Kazini : 2:00usk

Hamna OFF
Hamna Week End
Hamna Siku Kuu

Mshahara 80,000

Chakula : 3,000 Utapewa Kila Siku

Office : Dar/ Kimara Mwisho

Contact : 0695 697 796 Whatsapp Only + Msg za Kawaida.
Yaan hela kiduchu hvyo alafu no mapumziko.mmh ,maisha magumu sana.kazi kuanzia saa7 am mpaka Saa 8 pm kwa mshahara huo sio mchezo.bora afanye kazi ya umamalishe alipwe sh 3000 per day na Kula anakula hapo hapo asubuhi na mchana.
 
Hivi mmeshawahi Fanya kazi za Viwandani za Mishahara 3000 kwa siku? Nyie mnaoandika andika na Ku comment?
 
Si kasema kuna 3000 ya chakula,no easy life
 
30×3000=90,000.
80,000 + 90,000 = 170,000.

Ukiwa jobless utawaza mengi sana ila ikifika usiku utaamua upige simu tu kesho uamkie ukiwa unaenda mahala.

Mshahara ni mdogo
Ila ukifikiria msoto wa kitaa unasema tu safari moja huanzsha nyingne.

Watakuja tu wanaotaka hiyo kazi.
 
Inawezekana hawajawahi mkuu, hawayajui maisha hao.

Unaonaje ukampa hiyo kazi mdogo wako au ndugu yako mmoja?
wote wana kazi na nikiwaajiri ndugu zangu mshahara naupunguza.

Umekuja kufanya kazi kwangu sio kuvuna pesa, Make Your Money kisha nenda kaizalishe na wewe uajiri watu uwalipe wanavyotaka wao.
 
Hivi mmeshawahi Fanya kazi za Viwandani za Mishahara 3000 kwa siku? Nyie mnaoandika andika na Ku comment?
Usichukulie poa udhaifu wa mtu mwingine.. Ww hiyo kazi ungepewa ungeiweza? 7-8 upo kazin ni masaa mangap hayo?
Hakuna kupumzika
80k tu
Hata kama tunatoa fursa basi tusipend kufaidika sisi na tunaowapa tuwanyonye
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom