DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 31,676
- 81,642
Ushauri mzuri Sana Hakuna kuachana
Ndyoooooooh bila kusahau cappo pendwaa ya Riri na bebee akee.



Watu wanataka kuwapeleka bebez zao USA huko we unakuja na habari za magurudumu, yasukume mwenyewe![]()






kwani kinachowaumiza wanawake wengi ni nini We J?Hu
Huyu njaa inamsumbua....angekuwa na uhakika wa kula usingeona meseji zake 😁😁😁😁
Ila mm nachokiona mtu akikuganda utakereka kama tu humpendi au nakosea? Kama unampenda huwez ona kama ni kero.Huna Hela unatabu zako namakasiriko Yako afu ghafula mtoto wa mamkwe nae kakuganda,,,,tupeane nafasi jamani daaa
hapoo sasa umejuajee.?

Umeona udugu yaani sisi bye bye uswekeni![]()




uswkenii ni mambo ya zamaniii kwetuuu.Mwambie huyooo yeye anataka tupauke kusubiria atoboe
Atoboe maisha kwanza ndio aje kutafuta bebe wa kumsaidia kunyumbulisha pesaa![]()
noma sana.

Duuu! Dada safi sana, umewapa ujumbe mzuri. Sisi wanaume ni adimu sanaHeloo,
Hope you are doing poaa. Leo Nina kaujumbe kadogo kwa rafiki zangu jinsia ya kike!
Ni hiv, :zama za kususa, kuzira sijui atanitafuta shost angu utachina. Miaka hii ukipata mtu anayesomeka tambaa Naye mbele kwa mbele kitaeleweka tu.
Haya Mambo eti nimemfuma na sms za mwanamke simtaki tena baradhuri yule mshenzyy weweee wapi nyonyo wapi titi utaganda. Wewe ongeeni kaka ataonyesha kujutia yatengenezeni mjenge mahusiano na safari ya maisha iendelee.
Ipo hivi hawa wenzetu kama hamjui wao kulala hata na chizi kwao ni sawa. Sasa wewe jiulize machizi jojina humo barabarani yamepewa mimba na nani? Ni hawa hawa.
Cha kufanya hapa ni kutulia na mtu wako it raining everywhere my dear young sister usichezee bahati uliyopata, hebu angalia single mother wanavyonyanyaswa kwenye maandiko ya humu JF na mtaani Maana mwisho wa siku umri utaenda utaamua kuzaa tu. Maana hakuna asiyependa kuitwa mama sasa itwa Mama ukiwa na Baba pembeni ndugu au Kanisa au msikiti viwatambue lakini yote yatawezekana mkijenga msingi mzuri wa mahusiano.
Kumetokea mtafaruku kidogo elewaneni songeni mbele, Mambo ya kuzira na kususa wenzio watamchukua na utaachwa hapo unashangaa maisha hayapo simple ivyo.
Ni mwendo wa kukomaaa!
Kama Kawa!sisi ndio ndugu wananchi watanzania 🤣🤣🤣Fitna zishaanza naona.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Haya mlongo wangu,nigana sanaaa kulota ku marekano......MGANDEEEMlongo nileka na lidoda langu leniliii, lina hela, koto kumkinilaa wengaaa, au ve ugani lepa tuhamba kwe ku marekano??uwaya kukwela mndege?? Apu hinu pe paunijovili niyeliwi he.
![]()
Haya mlongo wangu,nigana sanaaa kulota ku marekano......MGANDEEE



ndo utama magendelu oa ndila, lauima tihambahi kwe ku marekano kwenuko.Nakuambiajee Kiranga bebee wangu pesa anazo, kila nikitaka miguu ya kuku na utumbo, napanda ndege nakuja huku uswekenii, nikichokaa napanda ndegee huyo Los Angeles.Yaani utateseka huko kunifanya wa kishua kama hujamiss ngwala na utumbo wa mama doi![]()






