Mdada, ukipata mpenzi Mgande

Mdada, ukipata mpenzi Mgande

Sister sio mie ni coca huyo eti anaogopa manyaku nyaku ya mji [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Eee bas tumeacha nawe shem Kiranga ndio utuchongelee jomooni khaaaaaa!!!
Nyie mmeacha kweli au mnasema hapa tu?

Ujue nataka kuwapa zawadi magari wote, ila sitaki yaonekane kwenye safari za waganga wa kienyeji na walozi.
 
ni mume ndio unaweza kumganda msonge mbele lakini mpenzi ambae ni kama daladala muda wowote unashuka anapanda mwengine hapana,

Hata Mume mwenyewe akikupiga matukio yasiyo vumilika songa mbele
Wanaume sio ndugu zetu ni watu tumekutana nao ukubwani tu muda wowote uvimilivu ukikosekana songa mbele
 
Nyie mmeacha kweli au mnasema hapa tu?

Ujue nataka kuwapa zawadi magari wote, ila sitaki yaonekane kwenye safari za waganga wa kienyeji na walozi.

Awww shem darling tumeacha banaa

Hapo kwenye ndinga umeongea point ya msingi [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
[emoji8]aah! Nilisahau kumbe shem [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Dada upo sawa kabisa.
Wanawake acheni wivu wakijinga

Mwanaume ni wa wote, Ila tunampenda mmoja.

Na huyo mmoja akiniganda vizuri lazima ntatulia tu.

Pongezi ziende kwake mama Chanja,
Alinipambania bila kuchoka.
Leo naitwa baba bora

Alikupambania [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ooh Mungu tusaidie sisi wanawake
 
Alikupambania [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ooh Mungu tusaidie sisi wanawake
Mean ni mwenye upendo wa kweli na wa dhati.
Sio hawa viruka njia wanaopima upendo kwa kuhongwa.
 
Ww sinikijana mwenzangu alafu unanipondea kwa bebez usiwanyime ridhiki bhn kila mmoja na Maono yake wakuja aje uko SA mbn mshachoka kwenda ata ivo
Aah mwanangu mwenyewe wa magurudumu [emoji23]

Sema nin, me skuharibii bana, ngoja nikuwekee mazingira sawa.

Oya cocastic mwamba mwenyewe huyu hapa, achana na kiranga.

Penda vya nyumbani [emoji23]
 
Ooh hapo sawa
Nilidhani alikuwa anakugombania na wanawake wengine
Sikuwahi kufikia huko.
Ila nilikuwa tu sieleweki, maana nlikuwa simuamini kiumbe anaeitwa mwanamke.
Naingia kwenye game tu nilipigwa tukio so nikawa naona wanawake wote ni walewale.
 
Udugu niwacheee!!!! Umenichekesha [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Au kwa Chikongwe (Mwamba huyu hapa)
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] enzi zangu, nikisikia banda LA video,

"Haya sasa kumekucha tena ni yule yule mkali wako Dj Marck, sauti ya dhahabu kutoka yombo kwa limboa pia anapatikana kariakoo mitaa ya likoma na agrrey"

Navurugwa hapoo huniambiii kituu, hela nafanya kumkabizi mkononi mpokeaji apokee vibaya ianguke atajiju, mie kuwahi kukaa beanch LA mbelee nionee vyedii watu wakichapanaa mkonoo

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nimehuzunika sana na tabia zao za kishetani[emoji144][emoji144][emoji144][emoji144][emoji144]nitawaonya.

Nyie mtapoteza mtapoteza visa ya St Monica shauri zenu nyie endelezeni mambo yenu ya ulozi Cute Wife cocastic
Manyaku nyaku wa Bongo dada huwajui? Umewasahau?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sister sio mie ni coca huyo eti anaogopa manyaku nyaku ya mji [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Eee bas tumeacha nawe shem Kiranga ndio utuchongelee jomooni khaaaaaa!!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] atake asitakee atarogwaa tyuuh, kwa sauti ya Ndugai.
 
Nyie mmeacha kweli au mnasema hapa tu?

Ujue nataka kuwapa zawadi magari wote, ila sitaki yaonekane kwenye safari za waganga wa kienyeji na walozi.
Sasa bila wee kurogwqa, hizo Gari utatupaa kweli??
lazima urogwee utupe na Helicopter kila mtu yakee.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Awww shem darling tumeacha banaa

Hapo kwenye ndinga umeongea point ya msingi [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
[emoji8]aah! Nilisahau kumbe shem [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Umeshakua manyakuuu nawee,?? Sitaki mambo ya nakaaya na Nancy kumgombania Luca [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Aah mwanangu mwenyewe wa magurudumu [emoji23]

Sema nin, me skuharibii bana, ngoja nikuwekee mazingira sawa.

Oya cocastic mwamba mwenyewe huyu hapa, achana na kiranga.

Penda vya nyumbani [emoji23]
Aonesheeee passport yakee kwaniii?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sasa bila wee kurogwqa, hizo Gari utatupaa kweli??
lazima urogwee utupe na Helicopter kila mtu yakee.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hapo sasa ndo tutashindwana.

Wewe mwenyewe penzi lako ushaniroga, halafu unataka kuniroga nini zaidi?

Si utanichanganyia madawa uniue hapo?
 
Aah mwanangu mwenyewe wa magurudumu [emoji23]

Sema nin, me skuharibii bana, ngoja nikuwekee mazingira sawa.

Oya cocastic mwamba mwenyewe huyu hapa, achana na kiranga.

Penda vya nyumbani [emoji23]
Fitna kumbe hatujazimaliza?
 
Hapo sasa ndo tutashindwana.

Wewe mwenyewe penzi lako ushaniroga, halafu unataka kuniroga nini zaidi?

Si utanichanganyia madawa uniue hapo?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] naogopaa slay wa Bongo watakukwapuaaa, au niaminishe km zipu yako inafungaa vyediii.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] naogopaa slay wa Bongo watakukwapuaaa, au niaminishe km zipu yako inafungaa vyediii.
Kwako sina zipu, nina kufuli.

Halafu funguo unazo mwenyewe.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom