cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 112,160
- 181,296
Na utachinaaaa uduguuuu wanguuuu, USA km mbeleeee,Ndio ninachokupendea dada mkubwa huna kona kona
Udugu cocastic njoo uchukue file la shem wa USA kutoka kwa dada, usije kujichanganya etiii
Kwakweli ngoja nikitulize na passport niirudishe nisubiri baby wangu Kantri anipeleke Dubai holiday au Sanya juu nikalishe majani twiga![]()



, niwacheeeee eti Kiranga wee si boss kubwaa Una mahela km yoteee? Tena unisomeshee masters hapo Massachusetts.
