Mdada, ukipata mpenzi Mgande

Mdada, ukipata mpenzi Mgande

Nasemajeeeeee babeee ninaee m1 tyuuh, habariiiiii iwafikieeee.
Ongezaa sautiiiii, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mode anakusikia udugu punguza volume [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mwaga madollal umzime kisirani [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Na mimi nitafutie bas waarabu wale wenye visima vya mafuta [emoji2222][emoji2222][emoji2222]

Nataka nihongwe G Wagon mie [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Usikonde, huku kuna Waarabu wa koo za Kisultani mpaka ma Tech billionaires.

Wewe tu, hatunumui nyumba, tunanunua visiwa. [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Naam,

Atakayetaka kuchangia kuna kijiji cha Wamasai kinahitaji maji tutampa contacts achangie.

Honeymoon Maldives halafu ya pili Tahiti.
Harusiiii ya kitajiriiiiiii ninayooooooo [emoji8][emoji8][emoji8][emoji182][emoji182][emoji182]

Cute Wife uduguuuu niwacheeee, nataka kubehave ki ushuaa, c unajua mambelee hakuna uswaziii?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Njooo babeee wangu, harusii hakuna kuchangia, afu honeymoon ni Maldives

Hapo chacha udugu wataturoga mwaka huu, huko Maldives tuko sambamba huniachiii [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Hapa naandaa swimming cost awwww mbona pambe
 
Naam,

Atakayetaka kuchangia kuna kijiji cha Wamasai kinahitaji maji tutampa contacts achangie.

Honeymoon Maldives halafu ya pili Tahiti.

Shem una jeuri ya pesaaaaaaaa

Shikilia hapo hapo usiachieee [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hapo chacha udugu wataturoga mwaka huu, huko Maldives tuko sambamba huniachiii [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Hapa naandaa swimming cost awwww mbona pambe
Nakuachajeee sasa?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nawee ukajipatiee mzungu wako huko, utulie kwenye mansion.

Mwaka wetu huu.
 
Shem una jeuri ya pesaaaaaaaa

Shikilia hapo hapo usiachieee [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwani unafikiri hata nikitaka kuacha nitaweza, jinsi nilivyoshikwa!

Honeymoon ya tatu Machu Picchu.

Siyo machupichupi, Machu Picchu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Usikonde, huku kuna Waarabu wa koo za Kisultani mpaka ma Tech billionaires.

Wewe tu, hatunumui nyumba, tunanunua visiwa. [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Nasemajeeee Nasemajeeeee

Shem niunganishe chap tuanze kufahamiana na hao billionaires, ndio ugonjwa wangu huo

Vipi yule wa PSG huna ukaribu nae?! Naye ananivutia sana, nataka aje anunue Makolo fc Moh team ishamshinda inaenda kushuka daraja [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Aaah, yule mbona kazi ndogo tu, niachie mimi hiyo.
 
Kwani unafikiri hata nikitaka kuacha nitaweza, jinsi nilivyoshikwa!

Honeymoon ya tatu Machu Picchu.

Siyo machupichupi, Machu Picchu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Shem wanipa rahaaaaa miye hujui tu!

Mambo hayo nayapenda mimi jomoooni!!!

Hebu fanya uwahi kuja, kabla wanga hawajaamka [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kwani unafikiri hata nikitaka kuacha nitaweza, jinsi nilivyoshikwa!

Honeymoon ya tatu Machu Picchu.

Siyo machupichupi, Machu Picchu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ndiwoooooooooo!!!!!! [emoji95][emoji95][emoji95][emoji95]
 
Aaah, yule mbona kazi ndogo tu, niachie mimi hiyo.

Mashem km nyie ndio tunawataka, sio wa kutaka kuzima taa dada akiwa hayupo [emoji2222][emoji2222]

Niletee wa PSG ananitosha, nataka nimrudishe Messi [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Shem wanipa rahaaaaa miye hujui tu!

Mambo hayo nayapenda mimi jomoooni!!!

Hebu fanya uwahi kuja, kabla wanga hawaamka [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mwenzangu nifanye namna nimrogee na bwana mwenyewe, wasije kumdakaa eyapoti, slay wa kibongo unawajuaa vyediii.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huna ugeni nao kabisaaa
 
Mashem km nyie ndio tunawataka, sio wa kutaka kuzima taa dada akiwa hayupo [emoji2222][emoji2222]

Niletee wa PSG ananitosha, nataka nimrudishe Messi [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nakojoaaaaaa
 
Mwenzangu nifanye namna nimrogee na bwana mwenyewe, wasije kumdakaa eyapoti, slay wa kibongo unawajuaa vyediii.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huna ugeni nao kabisaaa
Sasa si unakuja mwenyewe airport, mimi sitaki kupokelewa na mtu mwingine yeyote hapa ujue.
 
Harusiiii ya kitajiriiiiiii ninayooooooo [emoji8][emoji8][emoji8][emoji182][emoji182][emoji182]

Cute Wife uduguuuu niwacheeee, nataka kubehave ki ushuaa, c unajua mambelee hakuna uswaziii?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Udugu harusi tunayo [emoji7][emoji7][emoji7]

Tena ya kishua, hatutaki vikao wala pesa ya mtu!!! Wao waje wale, wanywe na vingine wabebe
 
True hasa ukikosea kuoa kifuatacho ni kifo Cha mapema.
Nadhani wanaume wakristo ndio wanaongoza kufa mapema sababu ya kubeba mzigo mzito wa stress za ndoa unaotenganishwa na kifo.
Tofaut na waislamu wao wanaishi Kama wapangaji ukizingua unazinguliwa.
Ukristo umekosea kuoa kuolewa zigo lako Hilo kama ni lipigaji,tukanaji,zinzi,levi,ongo yaani unabeba mzigo wamalezi mabovu toka kwa mama yake kumlea vibaya.
Uko sahihi ndugu, nina ushahidi wa hilo, ndio maisha tuyoishi sisi tulio kwenye ndoa za kikristo.
 
Mwenzangu nifanye namna nimrogee na bwana mwenyewe, wasije kumdakaa eyapoti, slay wa kibongo unawajuaa vyediii.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huna ugeni nao kabisaaa

Tena manyaku nyaku ya bongo movie uwe makini nayo sana udugu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Twende nikupeleke Nguruka Kigoma uko tukamset shem, au Malawi kabisaa asione wala asisikie [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom