Mdada, ukipata mpenzi Mgande

Mdada, ukipata mpenzi Mgande

Nipo udugu akeeee miss uuuu Hekaheka tu za hapa na palee zinatutengaa kipenzi!!

!! Mwachi atakua amechanganya files rrrabdaa sio mimii walaii!!

Nakumiss mno udugu, au umepata kibabu cha kizungu kimekuficha?!!
 
Tena manyaku nyaku ya bongo movie uwe makini nayo sana udugu

Twende nikupeleke Nguruka Kigoma uko tukamset shem, au Malawi kabisaa asione wala asisikie
Yaan tuzururee huko vijijini ndani ndanii tuka mkaange huyu bwanaa, afe kipa afe mshambuliaji, lazima tukaishii marekaniiiiiiii
 
Nakumiss mno udugu, au umepata kibabu cha kizungu kimekuficha?!!
Mie pia mekumis sana kipenzi juzikati nikawa sikuoni oni humuu nikawazaa ashaswitch niniii 😁😁😁🤭!!
Mie nipoo udugu akee maisha tyuuu yamenila kiboga udugu🤠!!
 
Yaan tuzururee huko vijijini ndani ndanii tuka mkaange huyu bwanaa, afe kipa afe mshambuliaji, lazima tukaishii marekaniiiiiiii

Kabisaaa kila chimbo tutaenda, za tunguli na makombe zote tunamix!!!

Kwa Biden lazima tukaishi ebooh!!!

Tupumzike na show za mwambino, sie live kwa Jigga na my role model Beyonce
 
Mie pia mekumis sana kipenzi juzikati nikawa sikuoni oni humuu nikawazaa ashaswitch niniii !!
Mie nipoo udugu akee maisha tyuuu yamenila kiboga udugu!!

Mbona niko mwingi, sema muda mwingi nautumia na baby Countrywide si unajua penzi jipya lina raha yakeee uduguuu

Wewe kaa kwa ankoli wa bandari life lilainike banaa unafeli wapi udugu wangu?!! We mtoto wa town ujue
 
Kabisaaa kila chimbo tutaenda, za tunguli na makombe zote tunamix!!!

Kwa Biden lazima tukaishi ebooh!!!

Tupumzike na show za mwambino, sie live kwa Jigga na my role model Beyonce
Mshaanza ulozi sasa.

Khaa.
 
Sijui kama nitakuwa nimekuelewa vizuri lkn nadhani unaongelea kwamba ukipata mwanaume anayeeleweka umgande,right;, lakini nafikiri ungetumia neno"Muombee asibadilike" My dia kumganda mtu sio sababu ya yeye kuacha,lahasha,kama Hana mapenzi na ww hata umgande vipi ataondoka tu.


Tuna mifano halisi ya watu tuliowaganda pamoja na kuwa na madhaifu yao tuliyafukia tukawa tunaangalia mema tu,yani hata akosee vipi unaendelea kumpenda na kumganda tu,lkn mwisho wa siku anakutaftia sababu ambayo,wewe mwenyewe utanyoosha mikono useme yes,nimesarender.


Tusichokijua ni kwamba Hawa ndugu zetu wanaume,baadhi yao wakiona wanapendewa na kugandwa sana wanakudharau,sio wote lkn there are some men are very humbled,yani ukimpenda anajua kurudisha shukrani,ila mwingine ukimganda ndo umeula wa Chuya.

So jambo la msingi hapa ni kwamba endapo utapata mwanaume anayeeleweka,na mwenye mapungufu ambayo it can be solved,Muombee asibadilike,lkn kumganda mtu haisound na inategemea kuwa huyo mtu ana mapenzi kwako kiasi gani,kama anakupenda hata usipomganda ataendelea kukupenda tu,nakama hakupendi hata umgande vipi,ataondoka tu,I'm done

Nimekuelewa sana
 
Naomba niseme neno hapa,hivi unafikiri kumganda mwanaume inamfanya akupende?? Mimi ninachojua Hawa wenzetu wanahitaji kuheshimiwa kusikilizwa na utiifu,ukiyafanya hayo umewin kabisa,wengine ukiwaganda wanakuona kama kero maana unawanyima uhuru.

Sasa basi ukitaka kuiishi ndoa yako vizuri waheshimi,wasikilize na uwatii,lkn la msingi na muhimu zaidi kama umepata wa kueleweka MUOMBEE,Wala sio kumganda kwa sababu unaweza fanya hivyo na ukaishia kwenye maumivu au hata kutolewa uhai wako kwa kumganda mtu asiyekuwa hata na hisia na ww,eti kisa tu ana uwezo wa kukulisha kukuvisha umgande,hapana,tuangalie pia na furaha za mioyo yetu,kama anakupa furaha mgande ila usimgande kwa sababu ana Mali au ana uwezo mkubwa wa kukuhudumia.


Be in your mind kwamba upendo ndio nguzo kuu katika mahusiano hivyo Ganda palipo na upendo ila sio utajiri.
Hoja zako zimeenda shule sana kuna la kujifunza kwa hoja zako
 
Kabisaaa kila chimbo tutaenda, za tunguli na makombe zote tunamix!!!

Kwa Biden lazima tukaishi ebooh!!!

Tupumzike na show za mwambino, sie live kwa Jigga na my role model Beyonce
Ndyoooooooh bila kusahau cappo pendwaa ya Riri na bebee akee.
 
Back
Top Bottom