Mdada niliyewahi mkimbia lodge ndiye Hakimu kwenye kesi yangu leo

Last week nilipata issue fulani na imefikia hatua ya kupelekwa mahakamani na nikatakiwa kuhudhuria leo kwa pilato. Wakati naingia, ghafla nikajikuta nimekaa mbele ya mwali niliemkimbia lodge (kwasababu alipandisha maruhani), na yeye ndie mtoa maamuzi kwenye kesi yangu
🀣 🀣 🀣
Kwiiisha habari yako mkuu.
 
Hahahaa ushimen story zako hakii zinanichekeshaka sana! Huyo atakusaidia ushinde kesi eti
 
Ni miaka 12 sasa,

Sasa wakuu naombeni ushauri, nimkaushie ama nijifanye namfananisha ama nimdanganye kwamba tupo mapacha ama nimkumbushe tulipo wahi kuonana?

Maana wakati anasikiliza kesi yetu, alikuwa ananiangalia sana.☹️
Mkuu unataka kuyadanagnya maruhani???🀣🀣🀣🀣🀣
 
Alikuwa anaendelea kupewa raha na majini yake wewe ukaingilia kati, yani hapo majini ndio yalikukoromea kupitia yeye.

Sasa hapo mahakamani yatakukumbuka vzr tu na hukumu yatatoa yenyewe wewe ukidhani binti ndio anasoma shauri lako.
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom