Mchungaji Rwakatare acharuka Bungeni!

Mchungaji Rwakatare acharuka Bungeni!

Tangu ngoma zianze kupigwa, yapata nusu karne iliyopita, ameziona leo? tapeli mkubwa! analia machozi ya mamba, mnafike mkubwa!
 
mp.um.bavu tu anacharukia kangamoko wakati ufisadi wa viongozi wanapiga hela ameufyata tuu anazungumzia ngono tu watu wafanyeje wqkati ccm imewafanya masikini wa kutupwa? acha watiane wapate pesa waishi.eti amecharuka !! us.enge.
 
...eti 'kwa uchungu'! anajua maana ya uchungu huyu mjenga kwenye mazalio ya samaki na mtumia umeme bure huyu??? Atuache...tusije pigwa ban bure...!
 
Akichangia hoja ya Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, wanawake na Watoto Bungeni leo; ameomba kwa uchungu, Watanzania kukemea ukeketaji, ngoma za kudhalilisha kama vile kangamoto na nyinginezo na upigaji wa wanawake!

In fact, inashangaza jinsi ngoma hizi za ovyo zinavyoshamiri Dar, inashangaza ni kwanini serikali kupitia wizara hii hawakomeshi ngoma za ovyo kama hizi! Kule Boko Beach kuna ngoma ya ovyo kabisa huchezwa kila wikiendi, viongozi wa serikali ya mtaa hawaoni?
huyu Mzee Ngonyani wa Kawe akimwona Mama Rwakatare kwenye Tv hujisikia Uchungu na kubadili Stesheni au kuzima Tv kabsa ! Mzee Ngonyani mwenye no - 0656005556 na 0783893505 au 0718374728 amedhulumiwa kiwanja chake Kawe na Mama Rwakatare hadi sasa huyo Mzee anahaha kusaka Haki yake bila mafanikio ! Amewahi kufika hadi kwa Limbeli lakini kwa Kuwa ni Masikini amekuwa hasikilizwi amekosa msaada kwa Kuwa ni masikini sana , mama Rwakatare ametumia fursa hiyo kugoma kumlipa Haki zake , ukitaka story zaidi nenda kwa M/kiti wa Serikali za Mitaa kawe ana Full mkanda.
 
Ya kaisari awaachie Kaisari ila yeye kachanganya yote.Wahenga wananena mshika mawili moja humponyoka.
 
...eti 'kwa uchungu'! anajua maana ya uchungu huyu mjenga kwenye mazalio ya samaki na mtumia umeme bure huyu??? Atuache...tusije pigwa ban bure...!

Kuna huyu Mzee masikini sana yupo Kawe anaitwa Ngonyani 0656005556 na 0783893505 analia na njaa kisa mama Rwakatare kamdhulumu kiwanja chake , huyo Mzee amejaribu kudai Haki pasipo mafanikio akimsikia Mama Rwakatare huwa anatoa machozi ya Uchungu.
 
Mama Rwakatare Kama kweli ww ni Mtumishi wa Mungu , mlipe Mzee Ngonyani Haki zake za Kiwanja ulichomdhulumu pale kawe beach, Mzee ngonyani kutwa analia kwa uchungu juu ya Haki yake , mama Rwakatare maliza hayo kwanza ndipo ulete story zingine , wana JF mkitaka kusikia Malalamiko Live ya Mzee Ngonyani mpigieni kwenye namba zake hizi 0656005556 au 0783893505 au 0718374728 atakupeni jinsi anavyojisikia vibaya pindi asikiapo jina la mama Rwakatare .
 
Iko kwenye maandishi fulani kwamba "enyi wanafiki, mwachuja mbu na kumeza ngamia" ndio kama hivyo alivyoongea Rwakatare "kwa uchungu"; mnafiki mkubwa huyo.

Yanayostahili kuongelewa kwa uchungu na hasira yanachekewa na kinyume chake. Hivi umaskini unaowakabili watanzania leo hii ni kwa sababu ya NGOMA YA KANGA MOTO inayochezwa huko ufukwe wa Boko kila wikiend? Upuuzi mtupu!
Huyu Mama Rwakatare amemdhulumu Mzee ngonyani kiwanja chake sasa ni mwaka wa 800 anasaka Haki pasipo na Mafanikio ! Cha Ajabu Pesa aliyohonga kuzuia Haki ni kubwa kuliko hata ambayo angempatia Mzee Ngonyani ! Yaani kesi ya Kuku Mama Rwakatare anauza Ng'ombe ili ashinde pasipo Kuwa na Huruma Kuwa Yule Mzee Ngonyani na Masikini Hana uwezo wa kushindana nae.
 
Huyu mama ni heri awe ananyamaza tu na kuchukua mshiko wake hana jipya.

Mzee ngonyani wa kule Kawe analia na mama Rwakatare kisa amemdhulumu kiwanja chake , huyo Mzee akisikia jina la mama Rwakatare hukasirika sana.
 
Naona watu wanavyotoa mapovu hapa..kweli mambo ya kijinga ndo yanashabikiwa hivi?
 
Ya kaisari awaachie Kaisari ila yeye kachanganya yote.Wahenga wananena mshika mawili moja humponyoka.

Amekosa mvuto na Hoja zake kwa Sababu ya Laana toka kwa Mzee Ngonyani wa Kawe , huyo Mzee mchana,usiku hukesha akimlilia Mama Rwakatare juu ya Haki yake ambayo anadai amedhulumiwa na huyo mama
 
Mama kashiba kweli ndio akasema hivyo, hajui kuwa hizo ngoma za uswazi ni kiliwazo cha maisha magumu ya mamilioni ya watu masikini Tanzania.
 
Akichangia hoja ya Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, wanawake na Watoto Bungeni leo; ameomba kwa uchungu, Watanzania kukemea ukeketaji, ngoma za kudhalilisha kama vile kangamoto na nyinginezo na upigaji wa wanawake!

In fact, inashangaza jinsi ngoma hizi za ovyo zinavyoshamiri Dar, inashangaza ni kwanini serikali kupitia wizara hii hawakomeshi ngoma za ovyo kama hizi! Kule Boko Beach kuna ngoma ya ovyo kabisa huchezwa kila wikiendi, viongozi wa serikali ya mtaa hawaoni?

Na yeye haoni kero anayowapatia wananchi kwa kujenga kwenye mikondo ya maji? Au ndo nyani haoni ....
 
Back
Top Bottom