Mchungaji Rwakatare acharuka Bungeni!

Mchungaji Rwakatare acharuka Bungeni!

Lkn huyu si mtu wa muleba km.wewe!
Na nimeskia biashara yake ya Sembe imemkubali vibaya sana.
Hivi wahaya mnaotokea huko muleba hizi biashara kwanini mnazipenda sana!?
Hamjui mnaliangamiza taifa letu changa?

Zile biashara za matoke zimewashinda! Sasa mnatuulia watoto.

Bwana wao yesu asifiwe sanaa...!!
 
Amezoea Vimeo wapambe wake wametajirika kupitia udhaifu wake wa kupenda vya kunyonga,anapenda ligi sana tena yupo tayari kutumia pesa nyingi kuzuia haki kuliko kumlipa Mtu ! Mzee ngonyani wa kawe sasa amemlaani baada ya kumdhulumu kiwanja chake kawe beach,kisha akatumia pesa nyingi kuzuia Haki ! Kuliko pesa ambayo alipaswa amlipe Mzee ngonyani ! Wasanii wa Mjini wamejipenyeza kwake wanavuna Pesa kwa kisingizio cha kumsaidia kumiliki kiwanja bila kumlipa Mzee ngonyani ! Hiyo Laani inamtafuna ndio maana wana JF wanampa Live
Mimi nawashangaa sana watu ambao mtu yeyote akipata maendeleo wanamsakama kwa tuhuma nyingi tu. Huyu mama mchungaji kajikuta amejenga ktk sehemu isiyoruhusiwa. Sawa. Lakini ni wangapi wamejenga hivyo kutokana na mapungufu yaliyoko kwenye wizara husika? Ukianza kuwataja huwamalizi leo. Mimi nitawachukia wale wanaochota pesa ya serikali na kutuacha wananchi tukitaabika. Hata dawati la kukalia kwa baadhi ya shule hamna! Lakini wajasiramali kama huyu mama tuwatie moyo waendelee mbele.
 
😕 Huyu mama si malecela aliwahi kusema aliwahi kuugua ule ugonjwa wa wale watu wa kule Mi....?
 
Tapeli anaweza kuongea hapa na akalia tena kwa hisia ili jamii imuone ni mtu ndivyo alivyo huyu mama
 
Akichangia hoja ya Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, wanawake na Watoto Bungeni leo; ameomba kwa uchungu, Watanzania kukemea ukeketaji, ngoma za kudhalilisha kama vile kangamoto na nyinginezo na upigaji wa wanawake!

In fact, inashangaza jinsi ngoma hizi za ovyo zinavyoshamiri Dar, inashangaza ni kwanini serikali kupitia wizara hii hawakomeshi ngoma za ovyo kama hizi! Kule Boko Beach kuna ngoma ya ovyo kabisa huchezwa kila wikiendi, viongozi wa serikali ya mtaa hawaoni?

Ngoma hizo zina shida gani bwana? Watu wanapunguza frustrations za maisha. Ngoma mbaya ni hizi za viongozi KUPIGA HELA ZA TAIFA hili bwana! Tanesco, PIGA! Bot, PIGA! Rada PIGA!
 
du mama ka test zali pabaya JF ngoja akoge mitusi hapa
 
Kama ana uchungu na wananchi, aanze na kuwahurumia wale atakaowasababishia madhara kwa hatua yake ya kujenga jumba lake la kifahari kwenye mkondo wa bahari...
 
Mimi nawashangaa sana watu ambao mtu yeyote akipata maendeleo wanamsakama kwa tuhuma nyingi tu. Huyu mama mchungaji kajikuta amejenga ktk sehemu isiyoruhusiwa. Sawa. Lakini ni wangapi wamejenga hivyo kutokana na mapungufu yaliyoko kwenye wizara husika? Ukianza kuwataja huwamalizi leo. Mimi nitawachukia wale wanaochota pesa ya serikali na kutuacha wananchi tukitaabika. Hata dawati la kukalia kwa baadhi ya shule hamna! Lakini wajasiramali kama huyu mama tuwatie moyo waendelee mbele.
Lazima utakuwa mmoja wa wazee wa kanisa la mlima wa moto wewe....
 
Katunwa wapi!? Kofia sio tusi!! Badilisha kauli yako, yule sio mtume, ni mfanyabiashara tu!

Hayo unasema wewe.
Waumini wa kanisa lake wanamtambua kama MTUME mpya.
Na kaletwa na yesu kuwakomboa.
Kwa hivyo hata ile biashara ya sembe anayofanya pia ni ktk IBADA ya za kivatikani
 
Hayo unasema wewe.
Waumini wa kanisa lake wanamtambua kama MTUME mpya.
Na kaletwa na yesu kuwakomboa.
Kwa hivyo hata ile biashara ya sembe anayofanya pia ni ktk IBADA ya za kivatikani

Kuna watu wengine watakua kuni za kuchomea wengine!
 
Pale Pemben Ya Picolo Hotel Kamzulumu Mjane Kiwanja, Dhambi Ni Dhambi Tu Umeua Au Umekata Mauno Kwahyo Asjitie Msafi,
Halafu Zile Shule Zake Pale Mtaan Kwetu Tbt Si Apangishe!Hazina Tena Wanafunzi Wamemkimbia Baada Ya Kuwadhulumu Kuwanyanyasa Na Kuwadhalilisha Walimu Na Wafanyakaz Wake,migar Ya Watoto Wa Shule Mibovu Ajabu Halaf Anathubutu Kupanua Domo
Atoe Boriti Jichoni Mwake Ndo Aone Kibanz Kwenye Kanga Moko,
Back To The Point Serekali Haya Mangoma Ya Hovyo Ya Kanga Moko Mwanamke Hajavaa Kiv Ndan Kajaliwa Mauno Kisha Anamwagiwa Maji Anatetemesha Makalio, Vigodoro.Pamoja Na Mbio Za Mwenge Yanchangia UKIMWI! futilia mbali askar waache kukimbiza boda zilizotanua ,na kuwavuruga ukawa wafanye kaz . mbona kuna kipindi wanakamata bar zilizo wazi anzia saa 5 usiku.kupora viti vya bar ili wapewe chochote?kawata vigodoro
 
Kwani kelele za makanisa ya warokole kwa majirani zao kila siku usiku kucha si jambo la kukera !? waanze na hili kwanza na waamuliwe waweke vacuum au wasali kama wakristo wenzao siku waliyochagua na iwe mda ambao kumekucha na si usiku kucha kila siku sara gani hizo au kuna la ziada ?

Mbona hujaongelea sala zinazopigwa kila alfajiri kwa vipaza sauti kutoka misikitini? Au za walokole tu ndio kelele? Tujenge utamaduni wa kuvumiliana na kuheshimiana. Kama ni kukosoana nina amini kuna ambao makosa yao yatajaza vitabu na vitabu.
 
Back
Top Bottom