Iko kwenye maandishi fulani kwamba "enyi wanafiki, mwachuja mbu na kumeza ngamia" ndio kama hivyo alivyoongea Rwakatare "kwa uchungu"; mnafiki mkubwa huyo.
Yanayostahili kuongelewa kwa uchungu na hasira yanachekewa na kinyume chake. Hivi umaskini unaowakabili watanzania leo hii ni kwa sababu ya NGOMA YA KANGA MOTO inayochezwa huko ufukwe wa Boko kila wikiend? Upuuzi mtupu!
Ndiyo Sababu Hata Obama alipokuja Bongo akapigiwa na kuchezewa ngoma. Badala alalamike jinsi mapunda wanavyomaliza wanawake wenzie na madawa ya kulevya anasema ngoma! Je, amefikiria Kwa kuharibu mazingira ya bahari anasababisha madhara kiasi gani Kwa wanawake na watoto wanaomzunguka? A lot to ask that she is directly involved in affecting women's and children's lifeNgoma ni utamaduni wa Mwafrika
Akichangia hoja ya Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, wanawake na Watoto Bungeni leo; ameomba kwa uchungu, Watanzania kukemea ukeketaji, ngoma za kudhalilisha kama vile kangamoto na nyinginezo na upigaji wa wanawake!
In fact, inashangaza jinsi ngoma hizi za ovyo zinavyoshamiri Dar, inashangaza ni kwanini serikali kupitia wizara hii hawakomeshi ngoma za ovyo kama hizi! Kule Boko Beach kuna ngoma ya ovyo kabisa huchezwa kila wikiendi, viongozi wa serikali ya mtaa hawaoni?

hivi si ndo huyu alimfungisha yule mbunge bibi ndoa na kajukuu. Mmesahau?
Ngoma za kudhalilisha sio utamaduni wa mwafrika
Maisha magumu, umeme bei juu, maji hakuna, mkaa haipatikani bei juu, nauli juu, vyakula bei juu, school fees juu... Mafisadi wanachota Trillions... Kila mtanzania tunadaiwa laki sita (600,000/-)... JAMANI EEE watuache tuburudike angalau kwa ngoma na viroba maana tumechoka kuwaza huku mtaani kwetu!!!Akichangia hoja ya Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, wanawake na Watoto Bungeni leo; ameomba kwa uchungu, Watanzania kukemea ukeketaji, ngoma za kudhalilisha kama vile kangamoto na nyinginezo na upigaji wa wanawake!
In fact, inashangaza jinsi ngoma hizi za ovyo zinavyoshamiri Dar, inashangaza ni kwanini serikali kupitia wizara hii hawakomeshi ngoma za ovyo kama hizi! Kule Boko Beach kuna ngoma ya ovyo kabisa huchezwa kila wikiendi, viongozi wa serikali ya mtaa hawaoni?
Akichangia hoja ya Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, wanawake na Watoto Bungeni leo; ameomba kwa uchungu, Watanzania kukemea ukeketaji, ngoma za kudhalilisha kama vile kangamoto na nyinginezo na upigaji wa wanawake!
In fact, inashangaza jinsi ngoma hizi za ovyo zinavyoshamiri Dar, inashangaza ni kwanini serikali kupitia wizara hii hawakomeshi ngoma za ovyo kama hizi! Kule Boko Beach kuna ngoma ya ovyo kabisa huchezwa kila wikiendi, viongozi wa serikali ya mtaa hawaoni?
Na yeye aache kukemea mapepo kanisani kwake. Kwani huwa anawadharirisha mabinti wanaoanguka chini kwa kujibwaga kwa kuachia menu ya kipochi manyoya na hivyo kusababisha mfadhaiko kwa wababa wanao tupia jicho.