Mchungaji Rwakatare acharuka Bungeni!

Mchungaji Rwakatare acharuka Bungeni!

rwakatare1%5B1%5D.jpg


rwakatare7%5B1%5D.jpg


nyumbayamamarwakatare.jpg


rwakatare8%5B1%5D.jpg


IMG_1175.JPG

hahahahaha
 
U binafsi na ukiritimba, sehemu za fukwe zote wamefanya zakwao, bora tukapumzike kwenye vigodoro sie maana mambo ya uzungu wamefanya yawe ya kwao
 
Huyu mama ana bahati mbaya ya kuchukiwa na wanaJF

Wana JF wamechoka na Vioja vyake ! Yeye ni Mchungaji lakini anafanya Vitendo vya Kipagani ! Mfano sasa amemdhulumu Mzee Ngonyani wa kulee Kawe kiwanja chake ! Kisha ametumia pesa nyingi kuzuia Haki ya Ngonyani,kuliko pesa ambayo angelipa Deni , kuna wajanja wamejinufaisha kupitia Mgongo wa mzee ngonyani,wanakwenda kuchukua pesa kwa Mama Rwakatare ili wamsaidie kukwepa kumlipa Mzee ngonyani ambaye ni masikini asiye na uwezo wa kushindana na Mama mchungaji . Laana ya Mzee Ngonyani imemfanya huyo Mama mchungaji kuchukiwa na wana JF.
 
Mpogoro mhaya dr Lwakatare ukisikia mambo yake hata kwenye mashule yake utasikitika,walimu wanavyozulumiwa mpaka huwa nahisi labda ni mchungaji wa kudhulumu wanyonge.
 
Tunapoteza muda tu hapa!!!!

Hivi ni nani alimpeleka huyu mama kule bungeni? Au bunge linahitaji likifanya wizi na ufisadi liombewe? Je huyu mama ana upako wa kuliombea bunge? Tanzania ni ya ajabu, misingi ya tanzania ni ya kidhambi mno
 
Hivi ule ufisadi wake wa kutokulipa umeme alishakoma au ni kiherehere tu na adhani tuishasahau wananchi ...!?

Ati mama mchungaji ....! Haya endelea kuchunga mashule yako na wizi ulouzoea kwa sirikali yenu.....!
Amezoea Vimeo wapambe wake wametajirika kupitia udhaifu wake wa kupenda vya kunyonga,anapenda ligi sana tena yupo tayari kutumia pesa nyingi kuzuia haki kuliko kumlipa Mtu ! Mzee ngonyani wa kawe sasa amemlaani baada ya kumdhulumu kiwanja chake kawe beach,kisha akatumia pesa nyingi kuzuia Haki ! Kuliko pesa ambayo alipaswa amlipe Mzee ngonyani ! Wasanii wa Mjini wamejipenyeza kwake wanavuna Pesa kwa kisingizio cha kumsaidia kumiliki kiwanja bila kumlipa Mzee ngonyani ! Hiyo Laani inamtafuna ndio maana wana JF wanampa Live
 
Hivi ni nani alimpeleka huyu mama kule bungeni? Au bunge linahitaji likifanya wizi na ufisadi liombewe? Je huyu mama ana upako wa kuliombea bunge? Tanzania ni ya ajabu, misingi ya tanzania ni ya kidhambi mno

Nina imani sasa aliyempeleka bungeni atakuwa anajuta ,!
 
kabla ya yote akabomoe kwanza lile HEKALU LAKE alilolijenga kwenye mazalia ya DAGAA MCHELE , hatutaki unafiki hapa .
hilo jumba amelijenga wakati akiwa na Deni analodaiwa na mzee ngonyani wa kawe ,badala amlipe huyo mzee kwanza amekimbilia kujenga hilo Jumba ! Sasa laana ya mzee Ngonyani imemganda wana JF wanamchana live.
 
LAANA ya Mzee ngonyani wa Kawe sasa imemganda Huyo mama mchungaji ambaye hana tofauti na Mpagani kutokana na vioja Chale vingi ! Mzee ngonyani amedhulumiwa kiwanja chake na mama Rwakatare amejaribu kila njia apate haki yake ameshindwa kwa kuwa ni masikini ! Hana uwezo wa kushindana na huyo mama mchungaji ,ndio maana ameamua kumlaani tu.
 
Ngoma za kudhalilisha sio utamaduni wa mwafrika


ifweero;
mbona mnatumia maneno vibaya? Ngoma hiyo inadhalilishaje wakati inachezwa hadharani tena na watu wazima kabisa wenye akili timamu.
Hakuna aliye washikia rungu wala panga wala maji moto sasa mtu amedhalilishwa je? Sema kwako hupendi ila mama Rwaka asiseme kitu hapo wakati yeye ndo anadhalilisha watu kwa kujenga hekalu kwenye njia/mkondo wa maji yaendayo baharini, sio ngoma.
 
Duh, utamaduni na uhasasa, ndo vita ya hapa sas.
 
Rwakatale amesahau maandiko ya biblia.yakaizali muachie kaizali ya mungu mpe mungu.sijamsikia hata siku moja akakemea ufisadi na uonevu unao fanywa na chama chake.wananhi wakacheze wapi wakati ni sehem ya utamaduni wao.
 
Angekemea pia na 'vioski' vya kitapeli vinavyofunguliwa na kuitwa makanisa kumbe ni nyumba za utapeli!
 

Lkn huyu si mtu wa muleba km.wewe!
Na nimeskia biashara yake ya Sembe imemkubali vibaya sana.
Hivi wahaya mnaotokea huko muleba hizi biashara kwanini mnazipenda sana!?
Hamjui mnaliangamiza taifa letu changa?

Zile biashara za matoke zimewashinda! Sasa mnatuulia watoto.
 
huyu mama vipi ile ndoa alomfungisha mbunge mwenzie na kijana mdogo. hana hata aibu achukue posho aongeze idadi ya makofia awakoge waumini wake
 
Mbona hata kwenye kanisa lake anapiga ngoma kumsifu bwana??

Wanaliita disco la yesu..serikali fikeni hadi huko na mpige marufuku.
 
Back
Top Bottom