Mchungaji Rwakatare acharuka Bungeni!

Mchungaji Rwakatare acharuka Bungeni!

Katunwa wapi!? Kofia sio tusi!! Badilisha kauli yako, yule sio mtume, ni mfanyabiashara tu!

wa sembe.hapa anapata ufadhili toka nje kwa madai kwamba analea watoto yatima kumbe magumash khaaa
 
wa sembe.hapa anapata ufadhili toka nje kwa madai kwamba analea watoto yatima kumbe magumash khaaa

Kajenga bonge la jumba kwa hizo biashara zake za kuuza sembe.

Halafu mi nimeshapita pale weekend moja. Nikaskia ile miziki ya kutingisha makalio.
Na baada ya muda wakaanza kutoka jamaa humo wamelewa kishenz.

Mama mwenyewe mkorogo mpaka ameanza kufanana na wasomali kasoro pua!

Yaani balaa! Huyu alitakiwa apate muuza sembe km yy amshugulikie vizuri
 
Mbona hujaongelea sala zinazopigwa kila alfajiri kwa vipaza sauti kutoka misikitini? Au za walokole tu ndio kelele? Tujenge utamaduni wa kuvumiliana na kuheshimiana. Kama ni kukosoana nina amini kuna ambao makosa yao yatajaza vitabu na vitabu.

Pole mkuu mimi ni mwenzenu ila sifa moja niliyo nayo ni kusema ukweli ila hata hilo ulilosema ni la kweli pia.
 
Back
Top Bottom