Mchungaji Msigwa na Joseph Mbilinyi wafungua kesi ya Kikatiba dhidi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali kupinga unyanyasaji Magerezani

Ccm wakianza kuishia jela kama Sabaya nadhani wataoana kadhia hio na kuundoa
 
Kuna vitu vingi sana kuhusu magereza vinaudhi sana na ni UNYAMA, na kwa kuwa tuna Bunge UCHWARA basi hakuna wa kukemea unyama huo ili usitishwe.
Watanzania tuweni na utu, ubaya wa mtu hakuhalalishi kumtendea ubaya.

Kuna utaratibu inadaiwa unatekelezwa na Magereza yetu na utaratibu huo ni Wafungwa ama mahabusu kuvua nguo zote.

Huu si Ubinadamu ni Unyama.
 
Kwa kukufahamisha tu hata magereza ya Norway (kunakoaminika kuwa na magereza bora duniani) yana huo mfumo. Ukiingia mfungwa unavua nguo zote na unakaguliwa. Hao jamaa wanataka waingie gerezani kama wanavyoingia ofisini pale ufipa? Hakuna hiyo.
 
Dunia nzima ipo
Kumbuka kuna watu wanajisokomeka
Sigara,bangi,unga etc wanaingia nazo magerezani

Ova
 
Watanzania tuweni na utu, ubaya wa mtu hakuhalalishi kumtendea ubaya.

Kuna utaratibu inadaiwa unatekelezwa na Magereza yetu na utaratibu huo ni Wafungwa ama mahabusu kuvua nguo zote.

Huu si Ubinadamu ni Unyama.
Mnapotoa Post kama hizi ni vema Kufanya uchunguzi kwanza kuona ni Tz tu au ni Dunia nzuma.
Hebu waulize waliowahi kukamatwa na Drugs huko China. Kama una jamaa yako Ulaya au America aliyebahatika kuwekwa mahabusu hebu muulize. Na kama hujui ni kwanini ni muhimu kuvuliwa basi IQ yako ni -1.

Otherwise wewe ni mahabusu mtarajiwa sasa unataka kuweka mazingira vizuri usivuliwe nguo
 
Ukingia jela lazima uvuliwe nguo zote
Huo ni utaratibu....

Kuna wakati wabunge wa cdm walishawahi kulalamikia hili

Ova
 
Ukingia jela lazima uvuliwe nguo zote
Huo ni utaratibu....

Kuna wakati wabunge wa cdm walishawahi kulalamikia hili

Ova
Hapa bongo hawakuvui nguo pekee bali wanakuvua na kupekuwa huko nyuma,
Wanacho pekua nini? Kama sio udhalilishaji?..
 
Back
Top Bottom