Mchungaji Gwajima: Daudi Albert Bashite alipata division Zero

Duuh
kaanza la Kwanza 1988 kafeli La Nne Mara 2 bado akamaliza 1996? Mbona mapicha picha
Wewe utakuwa kilaza zaidi ya Daudi Bashite, wewe ulitaka amalize mwaka gani? Darasa la kwanza 1988, la pili 1989, la tatu 1990, la nne 1991,la nne 1992, la nne 1993,la tano 1994,la sita 1995,la saba 1996,. Nadhani umeelewa.
 
Walikua wapi kumsema kabla?wasitusumbue aisee.Movie yao imeanza kutuchosha
Si swala la kutaka kujua jamaa yangu,mbona hata Gwajima hakutajwa siku nyingi kama anauza ama kutumia madawa ya kulevya.
 
"His Service is questionable " Yesu Mwenyewe hakuhukumu wala hakupigana vita kimwili kwa kuwa alisema wazi kuwa yeye si wa ulimwengu huu. Wewe unayehukumu ukiwa madhabahuni unamtumikia mungu gani?
 
Ukiishi kwenye nyumba ya vioo usianzishe vita vya mawe
 
Wewe utakuwa kilaza zaidi ya Daudi Bashite, wewe ulitaka amalize mwaka gani? Darasa la kwanza 1988, la pili 1989, la tatu 1990, la nne 1991,la nne 1992, la nne 1993,la tano 1994,la sita 1995,la saba 1996,. Nadhani umeelewa.
Ama kweli mi kilaza, ila nahisi Milembe ingekuwa vema zaidi kuliko "Molembe"
 
kwa kifupi mkuu wa lile jiji kubwa nchini alitaga paper ya kiadato cha nne
 
Kwa kitendo cha kuacha kupandishana vyeo kwa mfumo wa kufuata seniority basi nchi hii tutarajie sanaa isio na mwisho, sio bure ndio maana watumishi wengi wa serikali wameomba kustaafu kwa hiari kabla ya muda. Niliyaona haya kwenye taasisi fulani vijana weeengi waliajiriwa na vyeo vikubwa na kiiswanglish kwa saana kama wazungu waliopotea, wakiamini wazee elimu yao ni ya kizamani, hawajui kiingereza na wala hawastahili promosheni, uhakiki ulipokuja! 200 wakaacha kazi kimyakimya na 80 wakafukuzwa. Yetu macho na masikio.
 
Ukiishi kwenye nyumba ya vioo usianzishe vita vya mawe
 
Mkuu Rc gambo hana tatizo hilo ni jina lake halisi kwa kuwa namjua tangu utotoni ingawa naye bangi linamuharibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…