Mchungaji Gwajima: Daudi Albert Bashite alipata division Zero

Mchungaji Gwajima: Daudi Albert Bashite alipata division Zero

Paul Makonda alipata division two point 18 form four na chuoni ( muccobs) alipata upper second class hakuwahi kudisco alikuwa very bright .

BY: Wanafunzi waliosoma na Makonda chuo na secondary.

Pongezi kwa kazi nzuri ya utafiti, haswa kwa kuweza kuwapata tena kwa mkupuo katika ngazi sote alizopitia Mh. RC
 
Hahahah maybe atakua aliapa mahakamani
aliapa jina la mwenzake...hahahahaha. acha vichekesho ndugu. anatakiwa kushitakiwa kwa kugushi au kujifanya mtu mwingine sawa tu na wanavyoshitakiwa wengine (forgery s. 333, 335 and 337, pamoja na s.100 penal code cap.16 R.E 2002). kama jamaa hatatumbuliwa, kesi za kughushi na vyeti bandia zinazoendelea mahakamani nchi nzima zifutwe.sheria inatakiwa isiangalie uso wa mtu.
 
Paul Makonda alipata division two point 18 form four na chuoni ( muccobs) alipata upper second class hakuwahi kudisco alikuwa very bright .

BY: Wanafunzi waliosoma na Makonda chuo na secondary.
laki si pesa kumbeweweni mchepuko wa Daudi? maana hata utetezi jinsi ulivyo uweka ni wa "kimapenzi mubashara"
 
Katika wakati mgumu kuliko wote alionao Makonda ni huu, hajui kesho yake kitatokea kipi.
 
mnasema mnavyo vyeti vya Daudi albert, wekeni vyeti vyake hapa tumalize ubishi. si mmesha scan? kama hamja scan tafadhali mscan haraka kwasababu kuna siku watavivizia na kuvikwapua. wekeni kwenye mtandao iwe rahisi kurelease anytime mkihitaji kufanya hivyo. tuone vyeti vya hao wanaosema wana akili kumbe wanaakili fupi kuongoza watu wenye akili ndefu.
 
Zamani walikuwa wapi kusema kama sio wanafiki wakubwa ,Matumishi ya Mungu siku hizi bwana sijui yana matatizo gani ndo maana nay alimaza hao ni wapiga hela waumini ndala zimeisha lenyewe lina meta meta
 
daaah, hii dunia c ya mchezo mchezo, .........kila mwenye masikio na amesikia, THE END IS NOT NEAR, ITS ALREADY HERE.
 
Kuamua kutumia cheti cha mtu mwingine ili atoboe kimaisha anaonyesha ni mpambanaji, sio mtu wakubweteka. Inawezekana mazingira yake ya kusoma hayakuwa mazuri kumwezesha kufaulu. Je hivyo vyuo vingine alifeli? Tatizo liko kwenye vita aliyoianzisha. Mwenyezi Mungu msaidie katika kazi hii.
 
Back
Top Bottom