Mkuu ukiishi na watu vizuri bila kuwaonea na kuwadhalilisha Hamna MTU hata mmona atakaetaka kujua mapungufu yako.....kila nikifikiria hili la makonda naumia sana kama ni kweli real unafiki mkubwa unatuua na utaendelea kuwa ugonjwa wetu kwanini haya yote yasitokee kabla?
result slip haioneshi yai ????!!!!!ziro wanapewaga vyeti?
Haya kuanzia darasa la kwanza mpaka kidato cha nne tunamsaheme alifeli kwa ugumu wa maisha haya tuje uku elimu ya juu veepe alikuwa anafaulu, haaaaa haaaamakonda, ni kijana alietoka familia duni, pengine kufeli kulitokana na maisha duni ya kijijini ambako huduma nyingi muhimu hakuna, pengine angetokea familia zenye uwezo wa kati angefaulu vizuri sana. hakukata tamaa na amejitahidi kufika alipofika, ametimiza ndoto ya kuwatumikia wananchi, tena kwa kiwango kikubwa cha kuwa mkuu wa mkoa wa Dar es salaa ambako ndiko ukuu wa nchi na uchumi upo. amejitahidi kufanya aliyoamini yanaisaidia nchi na mkoa wake. ki msingi amejaribu kufanya mengi mazuri japo hatujaweka kipima chake cha mafanikio. hongera kwa nia yake njema. ila pia kama binadamu tulivyo hatujakamilika, sisi sio malaika!! hapo sasa...! pengine alitaka hata kwa kutumia vyeti vya mtu mwingine aende mbele zaidi ili aje kuisaidia nchi yake.kwa sasa si vibaya kuachia wengine nao sasa waendelee na pale alipoanzisha
Kwel mkuu, akikaa kimya tutajua ni kwelKama hawataki kuthibitisha itajithibitisha yenyewe ...
makonda, ni kijana alietoka familia duni, pengine kufeli kulitokana na maisha duni ya kijijini ambako huduma nyingi muhimu hakuna, pengine angetokea familia zenye uwezo wa kati angefaulu vizuri sana. hakukata tamaa na amejitahidi kufika alipofika, ametimiza ndoto ya kuwatumikia wananchi, tena kwa kiwango kikubwa cha kuwa mkuu wa mkoa wa Dar es salaa ambako ndiko ukuu wa nchi na uchumi upo. amejitahidi kufanya aliyoamini yanaisaidia nchi na mkoa wake. ki msingi amejaribu kufanya mengi mazuri japo hatujaweka kipima chake cha mafanikio. hongera kwa nia yake njema. ila pia kama binadamu tulivyo hatujakamilika, sisi sio malaika!! hapo sasa...! pengine alitaka hata kwa kutumia vyeti vya mtu mwingine aende mbele zaidi ili aje kuisaidia nchi yake.kwa sasa si vibaya kuachia wengine nao sasa waendelee na pale alipoanzisha
Mtakoma na zigo lenu hilo LIBASHITE tafuteni pa kulihifidhi!Wenye mtindio wa ubongo ndio wanaomuelewa huyo gwajima!
umesoma ujinga mtupu............!!!!Umeandika ujinga mtupu
sema alikunya yaiTumie tafsida hakufeli bana...ALITAGA
Hakika mnyonge mnyongeni haki yake mpeni,siku ya jana wengi tumesikia audio ya mchungaji wa kanisa la ufufuo na uzima ndugu Josephat Gwajima ikiwa imelenga kujibu mashambulizi dhidi ya mkuu wa mkoa mh Paul makonda,katika sakata linalotuhumu u halali wa elimu aliyonayo mkuu huyu wa mkoa.
Moja ya vitu vilivyotamkwa na kiongozi huyu wa dini ni kuwa anamiliki vyeti vyote vya mh Paul makonda kile alichoPata division zero na hicho chakugushi.
Mchungaji Gwajima kwa kauli hii ya kumiliki cheti cha mtu mwenye division zero inaalalisha uongo maradufu kwani,kuanzia nnchi hii imepata uhuru NECTA haijawahi kutengeneza cheti cha mtu aliyepata sifuri,Ni aibu kwa mtumishi wa Mungu tena mwenye wafuasi wengi kiasi chako kutumia madhabahu kuongea uongo.mh gwajima huenda akawa napoint dhidi ya elimu ya makonda ila ameitamka kwa kukurupuka,mh Gwajima zungumza kwa kutulia,bado tutatega sikio kukusikiliza na wala hatutakupuza..
Ohooooo!!!MAKONDA AKILI YAKE ITAKUWA IMEKAKAMAA SANA. IMEDUMAA NA KUFUBAA.
KILA NAFASI ALIYOKUWA AKIIPATA YEYE NI KUFELI TU. DUH???????
NA KWENYE NDOA NAPO, HANA MTOTO????
Ya miaka ile sio sasaziro wanapewaga vyeti?