Fanya research ilete JF tuijadili. Kwa sasa hivi acha tuendelee na hoja hii, inawezekana ina ukweli ndani yake.Anatumia PhD yamwingine kama ilivyokawaida kutumia vyeti vya mwingine
Kama amesema kweli haina tatizo.Tunafundishwa kuusimamia ukweli wakati wote.Huyu mchungaji kiboko aiseh,anazidi kutia aibu,mtumishi wa Mungu roho ya kisasi anaitoa wapi? Kama mtu kakufanyia ubaya kwa wewe mtumishi wa mungu unatakiwa ukae kimya umuache Mungu afanye yake,huu utetezi wake unanipa mashaka huenda ile tuhuma ni ya kweli,sio kwa povu hili,hili povu sio la nchi hii
Walikua wapi kumsema kabla?wasitusumbue aisee.Movie yao imeanza kutuchosha
5. Mwaka 1996 alihitimu darasa la 7 lakini hakuchaguliwa kuendelea na elimu ya sekondari katika shule ya serikali. Pamba ni ya serikali au binafsi? Maana ndiko alikoenda kupata mzungukokipengele flani umeandika alifeli la 7 na kukosa nafasi shule za serikali lkn kipengele kinachofuata umeandika akajiunga na shule ya sekondari pamba,SASA alijiunga pale kama pc ama vp? maana pamba ya mwanza ni gvt school siyo pvt school
baada ya kuchukua cheti cha mwenziekipengele flani umeandika alifeli la 7 na kukosa nafasi shule za serikali lkn kipengele kinachofuata umeandika akajiunga na shule ya sekondari pamba,SASA alijiunga pale kama pc ama vp? maana pamba ya mwanza ni gvt school siyo pvt school
Alikuwa na kiburi na mnaa sana inavyoonekana..Eheee! hilo nalio neno, usijekuta tabia ya kupiga wazee alikua nayo toka utotoni!
Aliyepewa na binadamu anaweza kupokonywa labda kama kapewa na Mungu.Mtaangaika sana aliyepewa kapewa katu binadamu hawezi kumpokonya.
hicho cheti cha mwenzie ni cha la 7 ama form 4?baada ya kuchukua cheti cha mwenzie
PAUL MAKONDA:
1. Alizaliwa tar.15/02/1981 katika kijiji cha Koromije, wilaya ya Misungwi, mkoa wa Mwanza.
3. Alianza darasa la kwanza mwaka 1988 katika shule ya msingi Koromije akitumia majina ya Daudi Albert Bushite. Mwaka 1991 alifeli darasa la 4, akarudia.
4. Mwaka 1992 alifeli tena na hivyo akahamishiwa Mwanza mjini, ili aweze kusoma na kupata masomo ya jioni (tuition).
7. Mwaka 2000 akahitimu kidato cha 4 na kupata daraja sifuri (division zero).
8. Mwaka 2001 akatumia cheti cha Ndg. Paul Christian Muyenge (chenye div.3 ya points 25) kujiunga na chuo cha uvuvi Nyegezi (Nyegezi Fisheries Training Institute) kwa masomo ya Certificate akahitimu mwaka 2002.
9. Mwaka huohuo 2002 akitumia cheti cha Ndg. Paul Christian Muyenge, alijiunga na Chuo cha uvuvi Mbegani Bagamoyo kwa masomo ya Diploma ya uvuvi (ORDINARY DIPLOMA IN MASTER FISHERMAN, NTA LEV.6), na kuhitimu mwaka 2005.
11. Mwaka 2005 baada ya kuhitimu Stashahada yake ya uvuvi, aliomba admission Chuo cha Kilimo Sokoine kusoma shahada lakini akakosa nafasi.
14. Alidahiliwa kwa course ya BA in Cooperate Management & Accounting. Mwaka 2007 alimaliza first year lakini akashindwa kuendelea na 2nd year baada ya kupata Suplementary 6 kati ya Course 8 alizokuwa akisoma (akawa discontinued).
15. Mwaka huohuo 2007 akaomba Admission upya. Akamaliza first year akiwa na carries 3 ambazo alienda nazo 2nd year. Mwaka 2008 akiwa 2nd year akapata supplementary 4 kati ya course 8 alizokua akisoma. Akawa na mzigo wa carry over na supplementary. Akaamua kuacha chuo.
16. Mwaka 2008 akaenda kujaribu kuomba udahili chuo kikuu SUA kwa mara nyingine lakini akakosa.
18. Mwaka 20012 akahitimu shahada ya kwanza ya Community & Economic Development kwa jina la Paul C Makonda badala ya majina yake halisi ya Daudi Albert Bushite
Muda huu ndo muda muafaka. Unarusha mawe kwa adui hali upo kwenye jumba la vioo. Ndo ya Makonda.Walikua wapi kumsema kabla?wasitusumbue aisee.Movie yao imeanza kutuchosha
Hii inaitwa boomerang effect, lazima ikurudie mwenyewe. Huyu aliwekwa kuwadhibiti wapinzani Dsm. Too bad imeleta opposite effect. Aah well such is life!Mchezo huu hautaki hasira,kawaanza mwenyewe ngoja wammalize,ukisikia kuchamba kwingi ndio huku
Huyu nae ashtakiwe kwa kutumia jina la mtu mwingine kwenye passport lakini sura tofauti....kamata kilazahhUhamiaji wamcheki huyu,kapata passport kwa taarifa za uongo na jina la uongo!
Huyu mchungaji kiboko aiseh,anazidi kutia aibu,mtumishi wa Mungu roho ya kisasi anaitoa wapi? Kama mtu kakufanyia ubaya kwa wewe mtumishi wa mungu unatakiwa ukae kimya umuache Mungu afanye yake,huu utetezi wake unanipa mashaka huenda ile tuhuma ni ya kweli,sio kwa povu hili,hili povu sio la nchi hii
Hiki kiapo cha mahakamani kitenguliwe, ili hoja ya msingi ya kutumia cheti cha mtu ithibitike kwanza. Arudie tu majina yake kabla ya kiapo. Patamu hapoooKuna jamaa alihoji kama kipindi hicho ukizungusha unapata cheti. Kwa maana nyingine konda hana cheti ndiyo maana inamuwia vigumu kujibu madai. Pia kwa jinsi anavyopenda sifa angekuwa hajaungaunga tayari angeshauza sura kama kiumbe yule wa stesheni. Mahakamani huwa wanakuwa na nakala ya viapo je yeye alikwenda kuapa mahakama gani ili abadili jina? Ingawaje mda huu mahakama zinapata baadhi ya maelekezo kutoka kivukoni tusitegemee kukipata
Tumsubiri lizaboniNataka kujua tu,je dhumuni la kiongozi mmoja kuombewa na jopo la mashehe,ni ili vyeti feki viwe original?Bado najiuliza kama hiki kitu ni kweli au walikuwa wanamuombea azidi kutaja wengine?