Mchungaji Gwajima: Daudi Albert Bashite alipata division Zero

Basi mshauri a toke hadharani akanushe kwa ushahidi
Kwanza elewa hivi:
Anayetuhumu anatakiwa athibitishe. Huwezi kumuita mtu mwizi halafu umwambie athibitishe kuwa yeye siyo mwezi.

Pili hayo madai au tuhuma Gwajima anatakiwa awasilishe mamlaka husika. Mimbari ya Kanisa ni kuhubiri siyo kuthibitisha tuhuma
 
Hoja nzito hii. Sijafurahishwa na jinsi issue ya Makonda inafanywa. Sio utu kabisa. Kama Makonda alikosea kuwataja watu kwa nini na sisi tunafanya kosa lilelile? Tena askofu. Too bad and pathetic
Acha tu iendelee! Tena naona wamemstahi. Poleni sana mlioguswa. Sasa mjue familia ya Kabwe ilivyojisikia na on top of that akaenda msibani na kuongea. Now who is pathetic?!
 
Sasa nimeelewa, kumbe vita ya Makonda na wale wanaoitwa wauza/watumia madawa ya kulevya ni mambo binafsi.
1: Gwajima na Makonda wanagombea jimbo.
2:Makonda na Wema ni wivu wa Mapenzi
3: Makonda na Manji Usimba na Uyanga.
Cheo ni dhamana sita.....kumbe hii ahadi ilishakufa!
 
Ipo kazi mwaka huu
 
Mimi nnajiuliza,kwanini alipewa suspension???tena ya muda mrefu hivyo?
 
Ndalichako wewe si mchapa kazi mzr naomba umushughulikie BASHITE!!!!
 
Wakudadavuwa Mh.Wenu kashikwa pabaya mpaka sasa tunao wakuu wa mikoa 2 Na yule wa Njombe CCM Kwa Vihiyo
 
Ili upate uongozi Tanzania unatakiwa ujue kusoma na kuandika tu,Msimchoshe Makonda,elimu yake inamtosha
Alaa kumbe sasa mbona wale wa UDOM tuliwaita vilaza kwani hawajui kusoma na kuandika?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…