Akijibu unishtue mkuuKuna mahusiano yeyote kati ya Daudi na Gwajima na kama hayapo inawezekana familia zao kujuana toka awali ?
Baada ya kuwa Mkuu wa Mkoa kuna mabadiliko gani ya ghafla yamefanyika kijijini hapo?
Kijiji hicho kina jumla ya wanakijiji wangapi na vipi kuna ripoti ya vichaa kwenye kijiji hicho?
Ukiacha Daudi na Gwajima ni nani mtu mwingine maarufu anaetokea kijijini hapo?
Familia ya Daudi ina jumla ya watoto wangapi na ni wangapi wapo hadi sasa hapo kijijini?
Daudi na Gwajima nani kajenga kwao (nyumba ya kufikia)
Umbali wa kutoka kwao Daudi na Gwajima ni mwendo wa dakika ngapi?
Wanakijiji wa kijiji hicho sifa yao kuu ni ipi?
Ukimaliza kujibu nitakuwa nimefahamu hicho kijiji na watu wake !!!!!
Baada ya mchungaji kuweka kila kitu hadharani kuhusu bwana fulani na hatua zikachukuliwa, kwakweli sitapongeza bali nitashangaa sana na nitabaki na maswali yafuatayo kichwani mwangu.
Hivi inakuwaje mchungaji awe na details zote hizo alafu mh.sana asiwe nazo?
Hata kama mwanzoni alikuwa hana taarifa hizi,alishindwa kuagiza uchunguzi ufanyike?
Kama aliagiza ina maana muda wote huu tangu tuhuma hizi zianze kusambaa uchunguzi ulikuwa bado haujakamilika?
Kama mtu binafsi amepata taarifa zote hizi iweje wao washindwe kuzipata tena ndani ya muda mfupi zaidi maana wao wana kila resources?
Kama aliagiza na kupewa taarifa ina maana alipewa taarifa za uongo?
Kama alipewa taarifa za kweli mbona hakuchukua hatua?
Kama alipewa taarifa za uongo basi tunatarajia kuona waliomdanganya wanachukuliwa hatua.
Kama mchungaji kasema uongo basi tunatarajia kumuona akiitwa na kuhojiwa na kisha kuchukuliwa hatua na hili lisipofanyika basi tutamuamini mchungaji.
Hapo tayari na wewe umeshakosea kumnyoshea kidole mtumishi wa Mungu ,nakupa siku chache uombe msamaha [emoji14] [emoji14]Inaweza kuwa ni kweli lakini sioni mantiki kwa anayejiita mtumishi tena wa Mungu kuendeleza vita. Siku zote watumishi wa kweli humkabidhi Mungu vita vyao. Daudi akasema Mungu pigana na wanaopigana nami...zaburi 35:1b
Swali ni kwamba yeye naye kasoma pamba sekondari aliposoma makonda. Je yeye alipata nini kuna haja ya kumtaka atuoneshe vyake maana nasikia anaitwa dr. Siku hizi
Vyovyote itakavyokuwa. Hapa kuna mtu kashashikwa pabaya. Muda utasema.Makonda huyo wa 199x - 20xx hakukuwa na vyeti vya div 0. Hata mie nimemaliza form four kipindi hicho hakukuwa na vyeti vya div 0
labda!naanza pata shaka mbona kama kanda hii mazauzau tu! mara huyu nani hii yake feki mara huyu andiko lake utata huyu nae tena ana cha dv 0Result slip
Hahahaa nimeipenda hiimarejesho kumbe na wewe ushaiona fursa?
You are such a bright lad/lady...
BansenBurner yuko tight...anatamani ardhi ipasuke atumbukiemo!
Acha wamsage sage,wamtwange na kumpepeta!
Mjini hapa,acha wamufundishe!
Yeye,si mungu,ajiokoe mwenyewe!
Siteteagi ujinga!
Inaweza kuwa ni kweli lakini sioni mantiki kwa anayejiita mtumishi tena wa Mungu kuendeleza vita. Siku zote watumishi wa kweli humkabidhi Mungu vita vyao. Daudi akasema Mungu pigana na wanaopigana nami...zaburi 35:1b
Inaweza kuwa ni kweli lakini sioni mantiki kwa anayejiita mtumishi tena wa Mungu kuendeleza vita. Siku zote watumishi wa kweli humkabidhi Mungu vita vyao. Daudi akasema Mungu pigana na wanaopigana nami...zaburi 35:1b
ngwajima huwa simuamini sijui kwanini . kabla ya yote aanze na stori ya Mbasha hapo nitamwelewa
Kama ambavyo jina liliandikwa Philemon ili timbwili likianza isiwe tabuee. Mungu wetu huwa hachezewi. Tena ni mwaminifu sana.Cheti cha zero hakipatikani Ndio sababu hata CCM wakisema Mbowe Ana zero ya form six huwa hawa semi cheti wanacho. Ukiwa Miongo uwe na Kumbukumbu.
Wekeni hadharani hayo Matokeo halisi ya Makonda na ya kughushi!
Mtu Mwenye akili akisikiliza vizuri hiyo audio utasikia namna ya usanii wa Gwajima kwa mfano anajiepusha kwa kutumia Maneno Kama vile a Wana Yule au Kiumbe Yule au kujifanya kasahau Jina la Makonda then Waumini ndio wanataja kwa Sauti then yeye anaendelea kutoa Maelezo. Huu ni aina ya Uongo ambao unausambaza kwa Njia za Ujanja ujanja ili usiingie kwny Mikono ya Vyombo vya sheriay