Makusudically
JF-Expert Member
- Feb 3, 2014
- 2,215
- 1,240
Ndugu yangu jibu hoja za watu wengine na siyo kutukana. Gwajima si lolote, angekuwa mkweli angethibitisha kwa kuvionesha vyeti badala ya kubwatuka kanisani kwake badala ya kuhubiri. Nani ambaye Mungu atamtizama kwa jicho la hasira? Yule anayetumia mimbari takatifu kuhubiri chuki za kisiasa? Au Yule ambaye anahangaika kuwaokoa watu na matumizi ya Mihadarati ? Ogopa Mungu usimtaje bure bure.Mungu SIYO Shemeji yako. Kama unaamini kuwa Mungu ni Mkuu, acha kuleta utani juu ya jina hili takatifu.Nyie ndio wale mlotumwa kwenda Koromoje?
Halafu unajua watu wastaarabu wakoje? kama yeye haonyeshi na wengine wanafungwa mika 28 kwa kosa kama la Bashite wengine walikuwa wamebakiza mwaka wastaafu mafao yao yote wanakosa ila kwa sababu ya double standards blood fool wewe huyaoni yote hayo? Halafu mnamalizia kwa kusema msema kweli mpenzi wa Mungu! and God is watching you in 3D.
