Rais2020
JF-Expert Member
- Jul 14, 2016
- 3,248
- 5,537
Unayajua lakini madawa ya kulevya au unataja simply limekujia kichwaniMtakuwa mnahusika na madawa ya kulevya na Makonda kawashika pazuri.
Unayajua lakini madawa ya kulevya au unataja simply limekujia kichwaniMtakuwa mnahusika na madawa ya kulevya na Makonda kawashika pazuri.
alibaka nini?Alibaka
Kalio LA kulia ni ngongingo na LA kushoto ni wowowo, Je yeye alishika nini?Au alimshika Mwalimu wa Kike makalio?
Naona wiki hii wameogopa kumchokoza Gwajima.Za kunyapia nyapia inasemekana eti Paul Makonda a.k.a Daud Bashite alifukuzwa shule akiwa pamba secondary na kuamriwa na bodi ya shule Arudi kufanya mtihani tu wa kidato cha NNE na ndo ikawa sababu yake ya kupata fa fa fa fa masomo yake yote. Wale wajuvi wa mambo wanadai eti alifanya kosa kubwa sana ambalo halivumiliki hata kama wewe ungekuwa mkuu wa shule hiyo. Kwa kuwa mashilawadu waliosoma nae wamo humu watatuambia kwa undani zaidi ni kosa gani kubwa kiasi hicho alilifanya Daud Bashite?
Karibuni mtupe ukweli.
Nimemaliza kazi yangu ya kuibua swala kutoka gizani kuja mezani.
Ni Mimi Rais wenu.
Rais2020.
Mtakuwa mnahusika na madawa ya kulevya na Makonda kawashika pazuri.
Shuleni alienda kusomea ujingaNa akili zako unahisi kila aliye against Makonda anahusika na madawa?
Life span yake ilikuwa muda gani?Huu uzi bado una survive tuu!!?
Mkuu kuna thtead zingine za mtindo huu ukiweka tuu huwa zinanyofolewa fasta yaan kama kuna robot vile huwa linanusa ila hii naona inadunda tuuLife span yake ilikuwa muda gani?
Ngoja waamkeMkuu kuna thtead zingine za mtindo huu ukiweka tuu huwa zinanyofolewa fasta yaan kama kuna robot vile huwa linanusa ila hii naona inadunda tuu
Na saizi atakuwa mmama sio binti tenaWakuletee binti aliyebakwa?

Kakojoe ulale SHILAWADU mkubwa weweeee.Za kunyapia nyapia inasemekana eti Paul Makonda a.k.a Daud Bashite alifukuzwa shule akiwa pamba secondary na kuamriwa na bodi ya shule Arudi kufanya mtihani tu wa kidato cha NNE na ndo ikawa sababu yake ya kupata fa fa fa fa masomo yake yote. Wale wajuvi wa mambo wanadai eti alifanya kosa kubwa sana ambalo halivumiliki hata kama wewe ungekuwa mkuu wa shule hiyo. Kwa kuwa mashilawadu waliosoma nae wamo humu watatuambia kwa undani zaidi ni kosa gani kubwa kiasi hicho alilifanya Daud Bashite?
Karibuni mtupe ukweli.
Nimemaliza kazi yangu ya kuibua swala kutoka gizani kuja mezani.
Ni Mimi Rais wenu.
Rais2020.
Achafuliwe na nani wakat kajichafua mwenyeweLeteni ushaidi kuhusiana na tuhuma za namna hizo lazima zitakuwa na ushaidi. Kama hakuna acheni kumchafua mtu.
sureMtakuwa mnahusika na madawa ya kulevya na Makonda kawashika pazuri.
alibaka nini?
Humu ndani zamani alikuwepo mtaalam wa tv asili, alikuwa anaitwa Mbuzi mzee.
Angerudisha tu mkanda nyuma, tungepata picha halisi
Wakuu shkamooniMtakuwa mnahusika na madawa ya kulevya na Makonda kawashika pazuri.
Hata mwingine alifukuzwa shule huko bukoba hao wote wanamatatizo ndo maana wanavumiliana.Za kunyapia nyapia inasemekana eti Paul Makonda a.k.a Daud Bashite alifukuzwa shule akiwa pamba secondary na kuamriwa na bodi ya shule Arudi kufanya mtihani tu wa kidato cha NNE na ndo ikawa sababu yake ya kupata fa fa fa fa masomo yake yote. Wale wajuvi wa mambo wanadai eti alifanya kosa kubwa sana ambalo halivumiliki hata kama wewe ungekuwa mkuu wa shule hiyo. Kwa kuwa mashilawadu waliosoma nae wamo humu watatuambia kwa undani zaidi ni kosa gani kubwa kiasi hicho alilifanya Daud Bashite?
Karibuni mtupe ukweli.
Nimemaliza kazi yangu ya kuibua swala kutoka gizani kuja mezani.
Ni Mimi Rais wenu.
Rais2020.
Ndi ndi ndi!!!!!Kalio LA kulia ni ngongingo na LA kushoto ni wowowo, Je yeye alishika nini?