Mchungaji Gwajima: Daudi Albert Bashite alipata division Zero

Mchungaji Gwajima: Daudi Albert Bashite alipata division Zero

Za kunyapia nyapia inasemekana eti Paul Makonda a.k.a Daud Bashite alifukuzwa shule akiwa pamba secondary na kuamriwa na bodi ya shule Arudi kufanya mtihani tu wa kidato cha NNE na ndo ikawa sababu yake ya kupata fa fa fa fa masomo yake yote. Wale wajuvi wa mambo wanadai eti alifanya kosa kubwa sana ambalo halivumiliki hata kama wewe ungekuwa mkuu wa shule hiyo. Kwa kuwa mashilawadu waliosoma nae wamo humu watatuambia kwa undani zaidi ni kosa gani kubwa kiasi hicho alilifanya Daud Bashite?
Karibuni mtupe ukweli.
Nimemaliza kazi yangu ya kuibua swala kutoka gizani kuja mezani.
Ni Mimi Rais wenu.
Rais2020.
Haya mastori ungewapa akina soudy brown jana usiku, hapa si mahali pake!!wanaume wa Dar at their best!
 
Duh, yaani wabongo wanafiki balaa, na huu uzi utachangamkiwa kuliko nyuzi zenye tija kwa jamii, and they're quick to blame the government for their misery. Inataka moyo kuongoza jamii yenye wapuuzi
 
Duh, yaani wabongo wanafiki balaa, na huu uzi utachangamkiwa kuliko nyuzi zenye tija kwa jamii, and they're quick to blame the government for their misery. Inataka moyo kuongoza jamii yenye wapuuzi
Inaonekana wewe ni mdogo wake na Bashite. Siyo Bure.
 
Mtakuwa mnahusika na madawa ya kulevya na Makonda kawashika pazuri.
DRUGS HAIWEZI KUWA SABABU YA KUVUNJA SHERIA. WOTE WANAOTUMIA, WANOSAMBAZA NA WANAOUZA PAMOJA NA HUYU MWENYE CHITI CHA MTU WANA MAKOSA YA JINAI NA WANAPASWA WAWE GEREZANI!
NASHINDWA KUELEWA KWANINI IWE SPECIAL CASE KWA DAUDI BASHITE WAKATI HUO HUO KUNA AMBAO MWAKA JANA KWENYE UHAKIKI WA VYETI WAMEFUKUZWA KAZI NA WENGINE WAKO JELA!
 
Yani yeye kakopi kutoka kwa mtu mwenye tetesi kaleta humu...
People shud be serious sometymz....
Wewe kiazi kweli. Nimeamua kuuweka mjadala wazi(open). Sijaufunga(closed) ili kubana uelewa wa watu juu ya kosa lililomfukuzisha. Kwa taarifa yako tunajua kwa nini alifukuzwa. Soma comments za wadau walio wengi na ndio hicho tunachokijua. Sisi ni watu wa mwanza. Tunajua kila kitu.
 
Kama unajua kila kitu weka wazi basi wengine tufahamu
 
Back
Top Bottom