Mchungaji Gwajima: Daudi Albert Bashite alipata division Zero

Mchungaji Gwajima: Daudi Albert Bashite alipata division Zero

usiku huu badala ya kulala unamfikiria mwanaume mwenzako hivi una matatizo gani? huna kitanda?
 
Huku kwetu kuna msemo maarufu "Pesa imekuwa ngumu haionekani, haishikiki kama vyeti vya bashite"

Hakuna namna, hakuna jinsi, bora uonekane una wivu, au umetumwa na wauza unga kuliko kuufumbia macho uozo huu. Kuuza unga ni kosa, kufoji au kutumia vyeti vya mtu ni kosa, wote wanapaswa kuchukuliwa hatua.

Msaada peeke kwake kwa mtu yeyote anayempenda, anayemhurumia, anaemjali ni kumwambia akae pembeni na sio vinginevyo maana mpaka sasa kuonyesha vyeti ni sawa na mchana kuwa usiku na usiku kuwa machana.

Hahahahaaaa, bado unasambaza chuki

Kaa chini jipige vibao ni dawa nzuri kumaliza hasira, wivu, uvivu, tamaaaa

Ni kama umekaa ukakosa kitu, ukamkumbuka Kiongozi jembe wa Taifa, endelea kufata mkumbo au endelea kuvuta wapenda fata mkumbo.

Hahahaaaaaaaa, kweli ni kiboko ya wengiii hahahaaaa

Hapa kazi tu
 
Kwanza hakuna mtu aliyesoma akaishia darasa la1.

Pia ni kuwa na wewe ni zero umeshindwa kuelewa kama kuna vyeo vya kitaaluma(professional) na vyeo visivyo vya kitaaluma?
 
Hahahahaaaa, bado unasambaza chuki

Kaa chini jipige vibao ni dawa nzuri kumaliza hasira, wivu, uvivu, tamaaaa

Ni kama umekaa ukakosa kitu, ukamkumbuka Kiongozi jembe wa Taifa, endelea kufata mkumbo au endelea kuvuta wapenda fata mkumbo.

Hahahaaaaaaaa, kweli ni kiboko ya wengiii hahahaaaa

Hapa kazi tu
Le Mutuz..
Ndio umeamua ujibadili kabisa hadi jinsia..!!?
 
Hapo ndipo WATANZANIA wenzangu tunapo haribikiwa sababu ya njaa kwenye matumbo yetu. Inabidi tutofautishe issues za MADAWA YA KULEVYA na VYETI FAKE/ JINA FAKE.

Haiwezekani hoja ya msingi kama MADAWA YA KULEVYA ikazimwa kwa hoja ya mtu kutumia jina si lake au vyeti fake.

Madawa ya kulevya ni tatizo kubwa zaidi na hatari kwa taifa, mfano mdogo wangu anasoma darasa la TANO Shule ya msingi...........tayari amejiingiza katika matumizi ya madawa tayari, kumbuka kwamba wewe unapinga VITA YA MADAWA ya kulevya wewe na familia yako hamuishi mbinguni,

Wote tupo hapahapa duniani, Mungu yupo ipo siku litakukuta na wewe, haya matatizo haya mkuti mbuzi bali mwanaadamu. Familia, ndoa nyingi zimevunjika na kusambalatika kabisa sababu ya madawa.

Leo hii sababu ya UTOFAUTI WA KIMASLAI, ITIKADI za chama wengine chuki binafsi na kununuliwa wanaona ni UFAHARI kujitokeza kupinga hoja ya MADAWA YA KULEVYA. kwa kisingizio eti aliyetoa hii hoja hana SIFA YA KUTOA HOJA hii.

Ndiyo amekosea basi fanyenyi nyie WAJUZI NA WAKOSOAJI wa mambo kwa njia iliyo sahihi, kuna wengine miaka zaidi ya mitano wapo kwenye madaraka LAKINI LEO HII wamekuwa vinara katika kukosoa. Muda wote walikuwa wapi?

Wengine wanatumia vibaya VIPAJI, MADARAKA, UMAARUFU wao ili kulipindisha ukweli wa jambo hili. ingekuwa bora zaidi ISSUE YA MADAWA isiunganishwe na ISSUE nyingine yeyote, ili tuweze kujua mbivu na mbichi.
 
Sasa na huyo anaedaiwa vyeti si angeonyesha hata loss report ya polisi kama vimepotea.
 
Wewe usituhamishe mada kwa madawa ya kulevya mkurugenzei wake kateuliwa na anaendelea na majukumu yake hapa ni BASHITE tu aonyeshe vyeti baasi ndo kazi tu
 
Wewe usituhamishe mada kwa madawa ya kulevya mkurugenzei wake kateuliwa na anaendelea na majukumu yake hapa ni BASHITE tu aonyeshe vyeti baasi ndo kazi tu
hakuna anaekuhamisha nazungumia kuchanga MADA, issue ya vyeti na Madawa visiwekwe pamoja. hizo ni mada mbili tofauti zote zina mashiko.
 
Tunamuunga Makonda na vita dhidi ya Madawa ya Kulevya. Mimi binafsi nampongeza kwa uthubutu huo.

Lakini, hainiingi akilini hata kidogo mtu kupata nafasi tajwa kwa majina au juhudi za mtu mwingine. Makonda anachopaswa, aonyeshe vyeti kisha aendelee na harakati zingine. Uteuzi wa Mkuu wa Mkoa, haimaanishi mpaka ufike chuo Kikuu. La Hasha, hata darasa la 4 wanaweza kuwa.
 
Tumehadithiwa kuwa Paul alibadili jina wakati wa kujiunga na elimu ya juu tena kwa kuapa mahakamani.Maana yake ni kwamba uhai wa Paul Makonda umeanzia Nyegezi TI na si vinginevyo.Kimsingi kumbukumbu zake zitaanzia Nyegezi, Mbegani, Ushirika, BMK hadi OR.Swali kwa wanasheria, Je, Makonda anaweza kuwa na cheti cha primary au secondary?Na pili mtu anapokula kiapo cha kubadilisha jina hutoa sababu ya mabadiliko hayo?Tuanzie hapo kwanza!
 
Nyie kila siku mnauliza maswali hayohayo wakati kila siku historia yake inarudiwa... saizi ni action tu - weka vyeti au niweke kesi
 
Utaratibu ni ule ule walioutumia kuhakiki na kuwatimua kazi watumishi wengine wa serikali hasa wanyonge kama vile walimu
 
Back
Top Bottom