Aoneshe kwani vyake au vya bashite??
Pia Umejaribu kumtetea Bashite lakini bado uteteze auna Tija
Makonda kama anajiamini Na anauwakika na elimu yake kwann Asiweke uwalali wa elimu yake
Kwaiyo kisa makonda kateuliwa. Na raisi ndio hatuna mamlaka ya kumjaji??
Au kuteuliwa na raisi nisababu ya kuuongopea umma??
Ninavyo mjua makonda nimpenda sifa sanaa angekua kweli Anaelimu yahaja lazima angelizima iliswala la vyeti kwambwembwe zoote cloud's lakini huwezo huo hanaa
Hatukotayari kuongozwa nakiongizi asie muadilifu
Kwanza nikupe pole kwa kutokuwa na uwezo wa kung'amua mambo ikiwa ni pamoja na kutojua shughuli za mamlaka husika. Hivi, kati ya Paul Makonda na Gwajima ( hapa nashindwa kumuita MCHUNGAJI maana nimeshamuona kama ni wale wchungaji wajanjawajanja) ni nani mwenye mamlaka makubwa kuliko mwenzie??
PAUL MAKONDA alimuamrisha GWAJIMA ajipeleke mwenyewe kituo kikuu cha Polisi hapa Dar es Salaam na Kweli Gwajima alienda na kuswekwa ndani ikiwa ni pamoja na kushurutiswa kupima damu yake na kama angekataa kwenda, cha moto angekiona. Sasa je, Gwajima anao uwezo wa kumuamrisha Paul Makonda (Mkuu wa mkoa) ili afanye jambo lolote analolitaka Gwajima??
GWAJIMA sijui kama analijua hili analolifanya. Ni kwamba, vita anayoiendesha siyo dhidi ya Paul Makonda kama Makonda, Gwajima anaendesha vita dhidi ya Rais John Pombe Magufuli mamlaka iliyomteua. Rais alishawaagiza wakuu wa mikoa wote kusimamia vita dhidi ya madawa ya kulevya. Kwa hiyo haya ni maagizo kutoka kwa Rais na ndiyo maana unaona wote wameamua kumpuuza Gwajima na kukaa kimya na hata mimi nimempuuza.
Huyu Gwajima ni muhongo sana. Huyu miaka kadhaa aliwahi kuwadanganya wahumini wake kuwa angeweza kumfufua marehemu AMINA CHIFUPA na kurudisha MISIKULE. Hadi leo Amina Chifupa hajawahi kufufuka wala hiyo misikule kurudushwa.
Kama kweli huyu Gwajima ni mkweli na anasema kuwa anavyovyeti vya DIVISION O wakati baraza la mitihani halitoi vyeti hivyo, ni kwa nini asivionyeshe hivyo vyeti ili umma ukaviona.
YESU KRISTO alishatutahadharisha kuwa nyakati za mwisho kutatokei MANABII WA UONGO, sasa ndiyo tunaanza kuwaona.