Mchungaji Gwajima: Daudi Albert Bashite alipata division Zero

Mchungaji Gwajima: Daudi Albert Bashite alipata division Zero

Haiwezekani watu wengine wawajibishwe na wakose kazi kwa tuhuma au kuhusika na vyeti feki alafu huyu checkbob daudi bashite aachwe hiv hivi

Haiwezekan msumeno huu ukate kote kote...kusiwe na double standards wala upendeleo wa aina yoyote

Dawa ya suala hili ni kupiga kelele tuh hadi hatua ichukuliwe...kama ametumia cheti cha mtu kubaka elimu lazima nayeye awajibishwe
 
Kuwa na aibu wewe, umenunua Cheti. Kila ukiulizwa unasema mtandao wa madawa wanakufatilia..!!
Kuwa na aibu wewe, unakitia aibu chama chetu..kosa siyo kupata ziro..kosa kwanini unatumia Cheti cha MTU. Humu mitandaoni tunaonekana ccm wote tunaakili za kibashitebashite. Haiwezekani ununuaji wako Cheti uharibu image ya chama na Rais: jiuzulu usitie aibu chama na Rais.

Mheshimiwa Rais mtoe huyu kijana inaonekana unadouble standard ..!! Sisi tumekupigia kura, haiwezekani wengine uwatumbue sembuse huyu. Rais huyu anaharibu image ya Urais. Ukimwacha utaleta mtikisiko bungeni.
mwana ccm pekee uliyebaki
 
Aibu na fedheha kwa taasisi zinazohusika na uteuzi na baraza la mitihani.
Kuna watu wengi hapo watahusika na hii sakata.Kadri wanavyozidi kuchelewa,ndivyo suala hili linavyozidi kudadavuliwa.
Wacha jipu liendelee kutunzwa,upasuaji wake utamwaga usaha mwingi wenye harufu kali
 
NILIKUWA NCHI YA KUFIKIRIKA HIVI BADO CHETI CHA FORM FOUR HAJAONYESHA.AU UHAKIKI UMEISHA ?ANA BAHATI.
 
Makonda kawashika pabaya...kweli silence speaks louder than words....watu mna umiiiiiia, hamlali, hamliiii, yeye kimyaa anajililia tuu kanisani...aendelee kukaa kimya paka mpasuke, maana mshavimbaaaa...watu wanawatizama tuu...
 
....huu ni mtihani wa necta na utawala huu....maana watu wengi wameachishwa kazi sababu ya vyeti.....sasa huyu bashite asiposhughulikiwa serikali itatengeneza precedent mbaya sana ....maana watatoka watu wataipeleka serikali mahakamani kudai haki zao....kama wenzao wenye vyeti vyenye utata kama bashite hawatashughulikiwa...

.....hapa angekua bashite yuko chadema leo hii ungekuta kazi hana....mi najiuliza...kama anasingiziwa kwanini hajatoa vyeti vyake hadharani kijisafisha??...necta wanatakiwa wafanye kazi yao na tunawasubiri....
 
Salaam wadau!
Huu mjadala hadi hivi sasa umefikia patamu, humu jamvini kumekuwa na nyuzi nyingi zinazohusu hili sakata la Mkuu wa mkoa wa Dsm kwamba alitumia vyeti ambavyo siyo vyake, kuna habari iliyoandikwa kwenye gazeti la mwanahalisi kuonyesha shule alizosoma na majina aliyokuwa akitumia na kubainisha alipata daraja zero kidato cha nne!
Hoja yangu ni je kama hizi tuhuma ni za kweli na hili suala likaachwa lipite kwa kupuuza hizi taarifa, nani atakayeweza kusimama kidete na kuzungumzia vyeti feki?
Je huko serikalini siyo kwamba kwenye sekta nyeti kuna watu wanaotumia majina ya watu wengine lakin zoezi la uhakiki halikuwagusa?
Nashauri mamlaka husika ziingilie kati bila kujali cheo cha mtu, la sivyo itakuwa ni fedheha kubwa siyo tu kwa mamlaka bali kwa taifa zima

Heri lawama kuliko fedheha!
MAKONDA IS A NATIONAL ICON IN THE WAR AGAINST NARCOTICS DEALERS AND HE IS HERE TO STAY!
 
Kweli hii aibu sana, hata mataifa ya nje huko yanatushangaa...
Tatizo kubwa hivi vyeo vya kisiasa vina walakini mkubwa...
 
Keshajitumbua siku nyingi sana na kasepa nchi hao akina mayalla wametumwa kupima upepo tu hili kujaribu kurenconcile mambo otherwise wanafaa kupuuzwa tu.
 
Kweli ni aibu kubwa. Afu kuna mijitu hata humu inatetea. Watu wameondelewa makazini kwa kutumia vyeti vya kugushi. Mkuu wa mkoa failure anapeta na vyeti vya kugushi
Hivi kuna aliyethibitisha kwa kuvionyesha hivyo vyeti?Au bado tunamsubiri Gwajima avionyeshe?
 
Eti mwenyewe alikuwa anajiita mbabe wa vita kumbe ni mbabe wa vyeti
 
Salaam wadau!
Huu mjadala hadi hivi sasa umefikia patamu, humu jamvini kumekuwa na nyuzi nyingi zinazohusu hili sakata la Mkuu wa mkoa wa Dsm kwamba alitumia vyeti ambavyo siyo vyake, kuna habari iliyoandikwa kwenye gazeti la mwanahalisi kuonyesha shule alizosoma na majina aliyokuwa akitumia na kubainisha alipata daraja zero kidato cha nne!
Hoja yangu ni je kama hizi tuhuma ni za kweli na hili suala likaachwa lipite kwa kupuuza hizi taarifa, nani atakayeweza kusimama kidete na kuzungumzia vyeti feki?
Je huko serikalini siyo kwamba kwenye sekta nyeti kuna watu wanaotumia majina ya watu wengine lakin zoezi la uhakiki halikuwagusa?
Nashauri mamlaka husika ziingilie kati bila kujali cheo cha mtu, la sivyo itakuwa ni fedheha kubwa siyo tu kwa mamlaka bali kwa taifa zima
Hivi unafahamu kuwa katika muda huu kuna majaji wanne, wapo kazini, huku wawili wakikabiliwa na tuhuma za kuwasaidia wauza unga na wawili wakiwa miongoni mwa waliopokea mgao wa Tegeta Escrow? Ukidhafahamu hilo huenda ukaanza kuwekeza nguvu zako katika masuala ya maendeleo yako binafsi kuliko kujipa matumaini hewa kuhusu "kutumbuliwa kwa Makonda."

Watanzania ni viumbe wa ajabu sana. Wamesahau kabisa kuwa mtu mmoja aitwaye Masauni, alilazimika kung'oka huko UVCCM kwa tuhuma za forgery/udanganyifu. Guess leo ni nani serikalini?

Prof Muhongo ni miongoni wa watu waliohusishwa na kunufaika na skandali ya Escrow. Leo ni nani?

Wale jamaa wa GSM, sote twajua walioyafanya na hatimaye "kujifilisi" only to come back with another name. Ungejua Home Shopping Centre "ilifilisika" huku inadaiwa kiasi gani, yet ni "wadau muhimu wa maendeleo kwa Awamu ya Tano" basi huenda usingepoteza muda wako kutarajia kuona "Makonda akitumbuliwa."

Tunawalipa IPTL sh milioni 400+ KILA KUKICHA ilhali sote twafahamu kuhusu hali ya Tanesco na kushamiri kwa mgao wa umeme. Talking about mgao, umeshadumu kwa miaka mingapi, na nani kawajibishwa so far "solely kwa kuchangia kudumu uwepo wa mgao wa umeme"?

Endeleeni kutarajia miujiza. Ni haki yenu kikatiba anyway!
 
Back
Top Bottom