Mchungaji Gwajima: Daudi Albert Bashite alipata division Zero

Inasemekana eti kauli mbiu ya siku hiyo ni " Mama ongea na mwanao atoe kile cheti" Nafikiri wanamaanisha cha kuzaliwa... Ila mimi nimesikia lakini
 
Inashangaza kuona kumbe mgeni rasmi ni M'baba katika siku ya wanawake..

Huyu bashite hasafishiki.
Hivi wanawake wamekosa MTU wa kumualika mpaka Daudi? Wangemualiaka hata tundu lisu.
 
Huyo tundu ataongea nini?
 
Inashangaza kuona kumbe mgeni rasmi ni M'baba katika siku ya wanawake..

Huyu bashite hasafishiki.
Hivi wanawake wamekosa MTU wa kumualika mpaka Daudi? Wangemualiaka hata tundu lisu.
Wangemualika HELEN Kijo Bisimba
 
Wadau,
Sote wapenda haki tunaomba jeshi la polisi limkamate Gwajiam mara moja na atueleze vyeti anavyodai ni halisi vya RC Makonda kavipataje? maana vyeti vya mtu vinatolewa na NACTE na kupelekwa shuleni mtu alikosoma na baadae anakabidhiwa mhusika mwenyewe. Leo Gwajima anadai ana vyeti halisi vya Makonda kavipataje? Lazima akamatwe na ahojiwe aeleze alipewa na nani, huwezi kumiliki cheti cha mtu original bila ridhaa yake. Kama ni NECTA au Headmaster alimpa hao lazima wachukuliwe hatua za kisheria kwa kutoa vyeti vya mtu bila ruhusa yake.kuwa na vyeti vya mtu kinyume cha ridhaa yake ni wizi na hivyo sheria lazima ichukue mkondo wake. wote tukatae tabia hizi zinazokiuta haki ya mtu kwa aina yoyote ile. Mamlaka husika ziingilie kati suala hili haraka.
 
Acha maneno weka vyeti
 
mtu ambae anaweza kufuta tuhuma ni mtuhumiwa, yy ndio anajua ukweli wote... Mimi nikisema ww huna sehemu za siri si utavua nguo uniprove wrong ?
 
Gwajima ni muongo!! Hakunaga cheti cha division O!! Na muongo baba yake ni lucifa( according to the Bible)!! Kama siyo muongo aweke vyeti hapa tuvione!!
 
Kmmayo kama mnasema kapata zero nyie ndo muonyeshe hivyo vyeti alivyopat zero, halafu mngese wewe acha shobo, ukoo wenu mzima haumfikii makonda na anaweza kuwalisha mwaka mzma mbwa nyie
Bwana mdogo, utaambuliwa Ban buree!! Huu sio mtaa WA udaku, tunataka vyet full stop!!
 
Wadau,
Sote wapenda haki tunaomba jeshi la polisi limkamate Gwajiam mara moja na atueleze vyeti anavyodai ni halisi vya RC Makonda kavipataje? maana vyeti vya mtu vinatolewa na NACTE na kupelekwa shuleni mtu alikosoma na baadae anakabidhiwa mhusika mwenyewe. Leo Gwajima anadai ana vyeti halisi vya Makonda kavipataje? Lazima akamatwe na ahojiwe aeleze alipewa na nani, huwezi kumiliki cheti cha mtu original bila ridhaa yake. Kama ni NECTA au Headmaster alimpa hao lazima wachukuliwe hatua za kisheria kwa kutoa vyeti vya mtu bila ruhusa yake.kuwa na vyeti vya mtu kinyume cha ridhaa yake ni wizi na hivyo sheria lazima ichukue mkondo wake. wote tukatae tabia hizi zinazokiuta haki ya mtu kwa aina yoyote ile. Mamlaka husika ziingilie kati suala hili haraka.
Mbona unatumia nguvu nyingi hivyo mpaka jasho linakudodonka. Hayo yote uliyoandika kwa nini husimshuri Mwenye vyeti ndio atangaze kaibiwa vyeti ili tujue pakuanzia.
Hao polisi unadhani wanakamata kama unavyowaza wewe na akili yako. Basi kwa kuwa wewe ni mpenda haki ka mwambie Makonda walau akupe Leaving Certificate tu, (vile vyenye A na B + akaenavyo) ya alipohitimu secondary uilete hapa ili haki itendeke.
 
Hiii xafi xaaanaaa. maaana kunawalimu wengine kwa kufuata kiherehere cha siasa wanaweza kutoa vyeti vya mtu na kuvitangaza kisiasa kumbe hawajui kufanya hivyo ni kinyume na sheria.
Naomba vyombo vya dola vimbane aeleze alipata wapi vyeti hivyo, na wahusika wachukuliwe hatua kali kama fundishoo.
Maana vyeti sio downloadable kwenye mtandao, kwahiyo akina gwajima wabanwe kabisa waseme nani kawapa. maana hata kama ni divition 0 huwa ni siri ya mwenye cheti na ofice husikaa.
 
Back
Top Bottom