Mchungaji Gwajima: Daudi Albert Bashite alipata division Zero

Mchungaji Gwajima: Daudi Albert Bashite alipata division Zero

Mleta mada we ni shoga na mnya wima mkubwa. Kinachotakiwa ni vyeti na sio uhanisi wako huo. Nyambafu weeee
 
Mleta mada we ni shoga na mnya wima mkubwa. Kinachotakiwa ni vyeti na sio uhanisi wako huo. Nyambafu weeee
Vyeti vipi vya ulivyonavyo au vipi leta hivyo mlivyonavyo nyie ambao mnaona vya makonda ni vyakununua
 
Kwa mtazamo wangu yafuatayo yanaweza kuwa madhara ya kufumbia maccho jambo hili.

1.Waliokuwa wamebakiza imani ndogo kwa Mkuu wa Kaya sasa wamebakiza imani "zero" kwake

2.Waliokuwa bado wanamuamini sasa imani yao kwake nayo imeanza kushuka

3.Imani ya wananchi kwa chama tawala inazidi kushuka

4.Chama tawala kitapoteza viti vingi vya ubunge hasa katika jiji la Dar-es-laama na majiji mengine makubwa ya nchi hii.

5.Zoezi zima la uhakiki limepoteza maana na limedharaulika.

6.Mazoezi mengine yoyote yatakayofuta watu watayadharau

7.Waliokuwa bado wanavutiwa na hotuba zake sasa wataacha kumsikiliza.

8.Ni mfano mbaya kwa wanafunzi walioko mashuleni.

9.Vijana wengi wataamini mafanikio katika maisha ni ujanja wako tu na kwamba kusoma sio issue.

10.Ukijuana na wakubwa wewe ni utouchable.

11.Baadhi ya vijana watakuwa insipired kufuata nyayo za RC huyu kufikia hapo alipo bila kujali hatari inayowakabili.

12.Baadhi ya watu hawatakuwa comfortable kuumpa mtuhumiwa heshima yake kama kiongozi na wengine hawatajisikia amani kuhudumiwa na mtuhumiwa.

13Mthumiwa nae hatakuwa comfortable kupokea heshima anayopewa na atajihisi hastahili tena heshima hiyo.

14.Hadhi ya jiji husika na watu wake kushuka thamani.

15.Mtuhumiwa kujihisi kusemwa na kila mtu hasa pale anapoona watu walio karibu yake au anaofanya nao kazi ofisi moja wanapiga story katika vikundi na hata wawapo maofisini...

16.Athari za kisaikolojia kwa muhusika katika siku za baadae.

17.Ajenda ya upinzani mwaka 2020
 
Kuwa na aibu wewe, umenunua Cheti. Kila ukiulizwa unasema mtandao wa madawa wanakufatilia..!!
Kuwa na aibu wewe, unakitia aibu chama chetu..kosa siyo kupata ziro..kosa kwanini unatumia Cheti cha MTU. Humu mitandaoni tunaonekana ccm wote tunaakili za kibashitebashite. Haiwezekani ununuaji wako Cheti uharibu image ya chama na Rais: jiuzulu usitie aibu chama na Rais.

Mheshimiwa Rais mtoe huyu kijana inaonekana unadouble standard ..!! Sisi tumekupigia kura, haiwezekani wengine uwatumbue sembuse huyu. Rais huyu anaharibu image ya Urais. Ukimwacha utaleta mtikisiko bungeni.
 
Kisha uje utuletee Madhara ya kumlinda
kiongozi mkuu wa chama ZERO kinacho jipambanua kuwa kisafi

Kabla hujamwambia jirani yako kwake pachafu
Anza kujiuliza wewe kwanini kwako Maskani ya Nzi!!
 
Kisha uje utuletee Madhara ya kumlinda
kiongozi mkuu wa chama ZERO kinacho jipambanua kuwa kisafi

Kabla hujamwambia jirani yako kwake pachafu
Anza kujiuliza wewe kwanini kwako Maskani ya Nzi!!
Huu nimewapa kama ushauri wa bure tu kwenu mkiita muupuuze ila mtakuja ona matokeo yake.
 
5.Zoezi zima la uhakiki limepoteza maanana limedharaulika.

Bashite Amelitia Taifa Hasara
 
Bashite-gate ndo inaelekea kaburini.

Unless mtu aje ushahidi ulio solid labda ndo inaweza kupata uhai tena.

Ila bila solid evidence ndo basi tena. Bashite-gate is kaput.
 
Kisha uje utuletee Madhara ya kumlinda
kiongozi mkuu wa chama ZERO kinacho jipambanua kuwa kisafi

Kabla hujamwambia jirani yako kwake pachafu
Anza kujiuliza wewe kwanini kwako Maskani ya Nzi!!
Hamuwezi kumtetea bashite hata mjipangeje.
 
Back
Top Bottom