Mchungaji Gwajima: Daudi Albert Bashite alipata division Zero

Mchungaji Gwajima: Daudi Albert Bashite alipata division Zero

Bunge lina hasira limelimbikiza kuhusu wito wake kupuuzwa na Daudi.
Maringo ya Bashite ni ya muda tu.

Bahati nzuri Bunge hili La sasa limepoteza uvyama, haswa katika swala LA ubashite...

Time is ticking..tik tak
31c50cd856fc3e747d2e2edac05f4259.jpg
 
hata yule mama aiyepewa hela ya mboga 10m alisema hivyo mtasema usiku mchana mtalala kwa marringo yote, mwishowe kimbunga kikampitia
 
Bongo hakuna bunge, kuna genge la wahuni wanajiita wabunge!
Mbaya zaidi wanaitwa waheshimiwa wakati wengi wao ni vilaz.
 
Uliyeleta mada,kuacha ujinga ni maamuzi tu. Mkuu wa mkoa hapatikani kwa uchaguzi kama ubunge au blah blah za JF. Ni uteuzi wa Rais wa Jamhuri ya MT. Ni uteuzi wa mtu mmoja tu Kwa mujibu wa katiba iliyopo. Yanini kujibebesha vidonda vya tumbo.
 
Bunge lina hasira limelimbikiza kuhusu wito wake kupuuzwa na Daudi.
Maringo ya Bashite ni ya muda tu.

Bahati nzuri Bunge hili La sasa limepoteza uvyama, haswa katika swala LA ubashite...

Time is ticking..tik tak
31c50cd856fc3e747d2e2edac05f4259.jpg
Days ago,,,,,,
 
Wewe ni nani hadi uwasemee wabunge.Bashite hataondolewa na bunge hata iweje.Mtu pekee aliyepaswa kumuondoa Bashite nae ana tuhuma za aina ileile kwenye Phd yake hivyo jiongeze tu km una akili timamu
 
Unajua bwana Bashite kwa kifupi hata kama hautotumbuliwa na mkuu ww utabaki kua the most bogus man in the history of Tanzania..sawa atakubeba atakupeti atakufanyeje lkn ukweli bdo upo pale pale kwamba umefoji vyeti na hauna tena thamani mbele ya jamii so kaa ukijua lolote uongealo litadharaulika na kila kizazi kitakudharau so ni busara taratibu achia ngazi fanya mambo yako ikiwezekana kaishi hata Marekani mzee! Kwa Tanzania hauna future tena yani CV umeishaiharibu!

Bado bwana mdogo sana umejiharibia mapema sana kwakweli inatia huruma sana ila na ww ulizidi sana mbwembwe..sasa aibu gani hii kila mtu anajua ww Umefoji vyeti hii ni historia na haitajifuta kaka! Pole ila fanya maamuz magumu ata ukingangania hapo ila wewe kwa sasa hauna thamani yoyote!
 
Naona unaandika ki na chokhe needa moyoni mwako!
 
Na nduli lazima ampange yule mama mwenye sura mbaya, ndugai lazima augue au apate dharura tu,
 
Back
Top Bottom