Hata yeye Hana Vyeti vya taaluma yake ya Uchungaji,, Uchungaji siyo kama Ushekh , Lazima Mchungaji aende akapige shule katika vyuo vya kichungaji hebu aweke naye hivyo Vyeti vya Uchungaji wake ,,gwajima weka vyeti hapa online watu tudownload kabla hawajakuja kukupekua.
huo unaouongelea wewe ni uchungaji wa mshahara, sio uchungaji wa wito. uchungaji wa wito hauhitaji shule bali wito. angalia mitume wote tangu kitabu cha mwanzo hadi ufunuo kama walienda shule ya Bible. waliitwa na kupakwa mafuta tu kwasababu anayeongoza ni Mungu ndani yao wala sio elimu waliyoipata skuli.Hata yeye Hana Vyeti vya taaluma yake ya Uchungaji,, Uchungaji siyo kama Ushekh , Lazima Mchungaji aende akapige shule katika vyuo vya kichungaji hebu aweke naye hivyo Vyeti vya Uchungaji wake ,,
Asipoweka tutajua kuwa kumbe watu wa Namiloje wana tatabia za kufann za wizi wa Vyeti vya taaluma,,
si umtaje kama una ushahidi unaogopa niniMbona kuna Mkuu wa mkoa mwingine naye alipata zero
mbona unakua mkali daudi ndugu yako nn?Miaka gani hiyo hii ujinga muwadanganye wajinga mlionao huko CDM
hivi wewe kama hizi ni tuhuma makonda asingekaa kimya mpaka leo, kuna ukweli wa hizi tuhuma na kuna watu wamesoma na huyo makonda au Daudi fikiria kwa makiniCheti cha zero hakipatikani Ndio sababu hata CCM wakisema Mbowe Ana zero ya form six huwa hawa semi cheti wanacho. Ukiwa Miongo uwe na Kumbukumbu.
Wekeni hadharani hayo Matokeo halisi ya Makonda na ya kughushi!
Mtu Mwenye akili akisikiliza vizuri hiyo audio utasikia namna ya usanii wa Gwajima kwa mfano anajiepusha kwa kutumia Maneno Kama vile a Wana Yule au Kiumbe Yule au kujifanya kasahau Jina la Makonda then Waumini ndio wanataja kwa Sauti then yeye anaendelea kutoa Maelezo. Huu ni aina ya Uongo ambao unausambaza kwa Njia za Ujanja ujanja ili usiingie kwny Mikono ya Vyombo vya sheriay
kondoo wapo popote lazima uwafuate walipo kwenye bar, siasa, magerezani nkMchungaji gani anaacha kuchunga kondoo anafata siasa.
usimlinganishe yesu na makondaSasa naanza kujifunza kwamba kwanni Yesu aliuawa japo alitenda mambo mengi mazuri!!
tunawasubiria mjengoni huko ndipo pa kumpaka ''NDALICHAKE''Wanabodi
Salaam;
Nakumbuka tamko la mkuu wa kaya wakati ule wa kuwaondoa wanafunzi waliokuwa wanasoma kozi maalum chuo kikuu cha Dodoma. Mkuu wa kaya aliongea kwa msisitizo na kuwaita wanafunzi wale vilaza.
Sakata lililoibuliwa kumhusu mteule wake Daud Bashite,ambae amekuwa akisifiwa hadharanj,limesababisha issue ya uhakiki wa vyeti na kuwaita wengine vilaza vyote vimetiweka mdomoni mwa mkulu.
Ili kumkingia kifua na kupata fedheha kwa sasa watu wenye vyeti feki wasiwe na shaka hilo zoezi halitakuwepo tena na yule mama ndalichako ambae hapa ndo tulimpigia debe ataondoka ktk hiyo wizara muda si mrefu..!!
mtaumia sana mwaka huu...hakuna jinsi.. wacha nae awatumbue kupitia madhabahuniKila kukicha unapiga siasa madhabahuni. kwanza serikali inakufumbia macho lakini hujijui.