DuppyConqueror
JF-Expert Member
- Mar 30, 2014
- 9,466
- 6,970
Wauza ngada mna machungu sana na huyu muheshimiwa
Nyie angaikeni na vyeti mwezenu yupo busy anapiga kaziAcha maneno weka vyeti vyako halali vya pamba sec.
Mawingu ni maumbile yake kuleta giza yanapotanda angani!!Mnajua kunyoosha midomo juu wakati vyeti hamna, mfyuuuu....
Povu la nini Bashite? Weka hata kivuli cha cheti au huna cha kujitetea?Mange kimambi ndiye aliyeibua hoja ya RC Paul Makonda kuwa alipofeli kidato cha nne, alitumia cheti cha mtu mwingine kwenda Chuo. Haijajulikana vyanzo vya habari za Mwanadada huyu anayeishi ughaibuni, lakini anaonekana kuwa "active" sana kupata habari za moto moto kutoka Bongo na kuzisambaza.
Askofu Gwajima kwakumwamini sana Mange Kimambi, alizichukua habari zile na kuzisanifu vizuri na kuongezea mbwembwe na kuzihubiri madhabahuni pa Bwana mbele ya wanakondoo wa Mungu. Huku akitegemea kupata "Updates" zingine kutoka kwa Mange, Juu ya vyeti halisi vya Mh. RC kijana zaidi nchini Tanzania aliyepewa dhamana na Mh.Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. JP Magufuli kuliongoza Jiji lenye "population" kubwa zaidi ya watu katika ukanda huu wa Afrika Mashariki na kati, Jiji la Dar es Salaam Mh.Paul C. Makonda...(mwanzilishi wa vita na mpambanaji dhididi ya madawa ya kulevya) na akahaidi kuviweka hadhalani baada ya siku tatu kwakuwa anavyo ofisini kwake.
Wataaram wa kufasiri mambo wanasema kitendo cha Askofu kumtaka RC amwombe msamaha ndani ya siku tatu lasivyo ataweka vyeti wazi, ndiyo ilikuwa inatambulisha kuwa hana, na ama alikuwa anategemea mtu ampe.
Mange Kimambi naye kule alikotegemea kupata vyeti ili aviweke mtandaoni na kumpa Askofu Gwajima NETWORK imekata.
Mange amenukuliwa ameandika hivii katika acc. yake ya Instagram "I wish I could be NECTA ningesha maliza mchezo"
Kwa kauli hii, Mange hana vyeti na Gwajima hana vyeti..wanategemea huruma ya NECTA..
GWAJIMA AMEACHWA KWENYE MATAA NA MANGE KIMAMBI.
UBARIKIWE MTUMISHI.
Namkubali Makonda kwa uchapakazi.
Agenda zote za serikali ambazo huanzishwa, yeye hukamata kijiti na kuwa Imara. Iwe ni agenda ya watumishi hewa, kutengeneza madarasa na madawati n.k.
Ila katika pitapita zangu sijaona akifuatilia kwa ukaribu uhakiki wa vyeti vya watumishi.
Kiongozi toa vyeti hadharani mambo yaishe. Ukimya mbaya.
Zero brain Daud Bashite. Hasafishiki hata kwa msasa mgumu Paulo onesha cheti acha kumbwelaNyie angaikeni na vyeti mwezenu yupo busy anapiga kazi
Hivyo ndo vilivyomsaidia kufika hapo alipoJamaa manjonjo kibao, personality ya hali ya juu, na confidence ya kufa mtu unaweza kudhani ni bonge la profesa! Profesa la kututoa katika mkwamo wa 50+ years kutuvusha kuingia enzi mpya ya kiuchumi, kijamii, na kisayansi; yaaani next level yaani. Ha ha ha!
Walikuwa kuwakagua vyet watumishi wengine kabla hawajawaajili. Kama anaonewa, watumishi waliofukuzwa makazini kwa sababu ya vyeti feki hawakuonewaWalikua wapi kumsema kabla?wasitusumbue aisee.Movie yao imeanza kutuchosha



Endeleeni kupiga kelelePovu la nini Bashite? Weka hata kivuli cha cheti au huna cha kujitetea?
Kama ni siasa zenu za hovyo hayo ndiyo matokeo yake. Itabidi tusahau vwonder
Endeleeni kupiga kelele majoblessZero brain Daud Bashite. Hasafishiki hata kwa msasa mgumu Paulo onesha cheti acha kumbwela
Wewe umeshaambiwa katika maisha ya shule ya msingi alifeli mara 2 mtihani wa darasa la nne na la 7 pia.Makonda hajawahi kuwa muhumini wa elimu.je kuhuzu dar kuburuza mkia kwa kuibuka na zile shule sita zilizong'ang'ania mkiani matokeo ya kidato cha nne 2016 yaliyotoka karibuni .hapa alisemaje ?
Hatuwezi kuongozwa na MJINGA mmoja Daud BashiteEndeleeni kupiga kelele majobless