Granta
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 5,082
- 6,421
Tulia huyu janja janja lazima akanyee debe, wenzake wote waliofoji vyeti au kununua vyeti wako mahali salamaMods huu ugoro umezidi kila kona
Unganisheni huu ujinga
Tulia huyu janja janja lazima akanyee debe, wenzake wote waliofoji vyeti au kununua vyeti wako mahali salamaMods huu ugoro umezidi kila kona
Unganisheni huu ujinga
Weka hapa ushahidi wa mtu huyo kufoji vyeti kila siku naona maneno matupu.Kwa mtazamo wangu yafuatayo yanaweza kuwa madhara ya kufumbia maccho jambo hili.
1.Waliokuwa wamebakiza imani ndogo kwa Mkuu wa Kaya sasa wamebakiza imani "zero" kwake
2.Waliokuwa bado wanamuamini sasa imani yao kwake nayo imeanza kushuka
3.Imani ya wananchi kwa chama tawala inazidi kushuka
4.Chama tawala kitapoteza viti vingi vya ubunge hasa katika jiji la Dar-es-laama na majiji mengine makubwa ya nchi hii.
5.Zoezi zima la uhakiki limepoteza maana na limedharaulika.
6.Mazoezi mengine yoyote yatakayofuta watu watayadharau
7.Waliokuwa bado wanavutiwa na hotuba zake sasa wataacha kumsikiliza.
8.Ni mfano mbaya kwa wanafunzi walioko mashuleni.
9.Vijana wengi wataamini mafanikio katika maisha ni ujanja wako tu na kwamba kusoma sio issue.
10.Ukijuana na wakubwa wewe ni utouchable.
11.Baadhi ya vijana watakuwa insipired kufuata nyayo za RC huyu kufikia hapo alipo bila kujali hatari inayowakabili.
12.Baadhi ya watu hawatakuwa comfortable kuumpa mtuhumiwa heshima yake kama kiongozi na wengine hawatajisikia amani kuhudumiwa na mtuhumiwa.
13Mthumiwa nae hatakuwa comfortable kupokea heshima anayopewa na atajihisi hastahili tena heshima hiyo.
14.Hadhi ya jiji husika na watu wake kushuka thamani.
15.Mtuhumiwa kujihisi kusemwa na kila mtu hasa pale anapoona watu walio karibu yake au anaofanya nao kazi ofisi moja wanapiga story katika vikundi na hata wawapo maofisini...
16.Athari za kisaikolojia kwa muhusika katika siku za baadae.
17.Ajenda ya upinzani mwaka 2020
weka hapa ushahidi wa cheti kilicho nunuliwa na bashite.Kuwa na aibu wewe, umenunua Cheti. Kila ukiulizwa unasema mtandao wa madawa wanakufatilia..!!
Kuwa na aibu wewe, unakitia aibu chama chetu..kosa siyo kupata ziro..kosa kwanini unatumia Cheti cha MTU. Humu mitandaoni tunaonekana ccm wote tunaakili za kibashitebashite. Haiwezekani ununuaji wako Cheti uharibu image ya chama na Rais: jiuzulu usitie aibu chama na Rais.
Mheshimiwa Rais mtoe huyu kijana inaonekana unadouble standard ..!! Sisi tumekupigia kura, haiwezekani wengine uwatumbue sembuse huyu. Rais huyu anaharibu image ya Urais. Ukimwacha utaleta mtikisiko bungeni.
Nchi hii hakuna tunachoweza, hata kujihakiki wenyewe ambako hakuitaji akili kuubwa tumeshindwa tumeleta siasa, ndio tutaweza viwanda.NIMEWADHARAU SANA WANAONDESHA UHAKIKI WA VYETI FEKI. ZOEZ LENU HALINA MAANA
Hilooooooooooo!!!
Lizomeeniii oooooooooooo
bora kutokuwa nacho kuliko kughushiMwenyekiti Wa cdm Anacheti?
Kwa mujibu wa biblia sadaka ya kuteketeza hupaswa kuwa kamilifu.Makonda ndiye kiongozi wamkoa wa Dar es salaam
mpende msipende
Awe na cheti au asiwe na cheti Mbowe hajafoji cheti wala kubadili jina.Mwenyekiti Wa cdm Anacheti?
Huyu baada ya kusingiziwa wala hakuremba,na swala lake yeye wala halikuwa limevuma kihivyoMAKONDA VYETI VYAKO FEKI""""""""
Kwanza nawasalimu kwa jina la Mungu yeye anayetupa uhai wote tuliopo kwenye hii dunia.
Nimekuwa nafutilia swala linaloendelea kwenye mitandao ya kijamii kuhusu vyeti vya mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda nakutokea maoni mbalimbali.
Wengine wakihitaji aweke vyeti vyake hadharani kuondoa utata uliopo lakini wasemaji wengine wanadai serikali itoke izungumzia swala hilo la vyeti vya Makonda.
Sasa kabla hayo hayajafanyika naomba kueleza machache juu swala hilo.
1. Aliyeibua hoja ya vyeti vya Makonda alishinda tu pale alipoanza kueleza jambo hilo, kwani inaonekana ni jambo la siasa na propaganda sisizo zamsingi nilitegemea siku hiyo angekuja na cheti cha shule ya Msingi cha huyo anadaiwa cheti chake kutumiaka secondary au hata kitambulisho chochote cha mtu huyo kinachoonyesha hilo ndio jina lake halisi na kwamba Makonda amenunua?.
2. Nilitegemea angetokea hata mwanafunzi yeyote aliyesoma na wote wawili na kudhibitisha kuwa anawafahamu na sikweli huyu Mh. Anaitwa hivyo maana naamini wote hao wapo na sitaki kuamini wote watakuwa upande wa Makonda yaani darasa lote wanafunzi wa shule yote wakipindi hicho wawe upande wa Makonda?
3. Nilitegemea hata walimu waliyowafundisha hayo wawili ambao wanawajua kwa majina yao, naamini wengeni wamestafu ila siamini kama walimu wa wanafunzi hayo kama wote wapo upande wa Makonda.
4. Wale wanaosema alete vyeti vyake halali watu wavione je wao wameleta hivyo ambao sio halali hadharani maana hoja hujibiwa kwa hoja Document hujibiwa kwa Document wewe hujaleta Document unataka mwenzio alete wewe unaleta maelezo ukipewa maelezo hutaki hapo tunajifunza nini?
Mnataka tuamini maneno mliyo andika kwenye karatasi nyeupe ?
Hivi serikali iyache kazi ya kuwahudumia wananchi ifanye ya kujibu mambo ya siyokuwa na vieleleza? Mimi nitaamini pale nitakapoona ushahidi wa kutosha na sio uvumi wa kina Mange.
Mh. Makonda endelea kunyamaza maana rais hakukuchagua bila kujiridhisha .
Utazungumza tu kama hayo majibu yangu yatajibiwa hapo juu na sio vinginevyo.
Ili zezeta la Lumumba halijielewa, wewe anazungumziwa Daudi Bashite, athari za kufoji vyeti na kutochukuliwa hatua kama watuhumiwa wengine waliobainika we unaleta ushabiki usio na maana, kubwa jinga .Kisha uje utuletee Madhara ya kumlinda
kiongozi mkuu wa chama ZERO kinacho jipambanua kuwa kisafi
Kabla hujamwambia jirani yako kwake pachafu
Anza kujiuliza wewe kwanini kwako Maskani ya Nzi!!
Awe na cheti au asiwe na cheti Mbowe hajafoji cheti wala kubadili jina.
CCM chama cha wezi na wahalifu wa kitaaluma.
Kwa mtazamo wangu yafuatayo yanaweza kuwa madhara ya kufumbia maccho jambo hili.
1.Waliokuwa wamebakiza imani ndogo kwa Mkuu wa Kaya sasa wamebakiza imani "zero" kwake
2.Waliokuwa bado wanamuamini sasa imani yao kwake nayo imeanza kushuka
3.Imani ya wananchi kwa chama tawala inazidi kushuka
4.Chama tawala kitapoteza viti vingi vya ubunge hasa katika jiji la Dar-es-laama na majiji mengine makubwa ya nchi hii.
5.Zoezi zima la uhakiki limepoteza maana na limedharaulika.
6.Mazoezi mengine yoyote yatakayofuta watu watayadharau
7.Waliokuwa bado wanavutiwa na hotuba zake sasa wataacha kumsikiliza.
8.Ni mfano mbaya kwa wanafunzi walioko mashuleni.
9.Vijana wengi wataamini mafanikio katika maisha ni ujanja wako tu na kwamba kusoma sio issue.
10.Ukijuana na wakubwa wewe ni utouchable.
11.Baadhi ya vijana watakuwa insipired kufuata nyayo za RC huyu kufikia hapo alipo bila kujali hatari inayowakabili.
12.Baadhi ya watu hawatakuwa comfortable kuumpa mtuhumiwa heshima yake kama kiongozi na wengine hawatajisikia amani kuhudumiwa na mtuhumiwa.
13Mthumiwa nae hatakuwa comfortable kupokea heshima anayopewa na atajihisi hastahili tena heshima hiyo.
14.Hadhi ya jiji husika na watu wake kushuka thamani.
15.Mtuhumiwa kujihisi kusemwa na kila mtu hasa pale anapoona watu walio karibu yake au anaofanya nao kazi ofisi moja wanapiga story katika vikundi na hata wawapo maofisini...
16.Athari za kisaikolojia kwa muhusika katika siku za baadae.
17.Ajenda ya upinzani mwaka 2020
Ili zezeta la Lumumba halijielewa, wewe anazungumziwa Daudi Bashite, athari za kufoji vyeti na kutochukuliwa hatua kama watuhumiwa wengine waliobainika we unaleta ushabiki usio na maana, kubwa jinga .
Hilo jibu linamfaa kulingana na majibu ya kejeli zake.Sidhani kama hii ndiyo attitude ya Great Thinker ila kwa Kariakoo Shimoni au Manzese Darajani inaweza ikawa na mashiko.