Wamejitolea kufa kama waarabu, makonda analindwa na ndumba na wazee wa BAKWATA na hao mashuhuda watalindwa na Mungu tu.Mnawataka wanafunzi waje hadharani kuthibitisha ili CCM muwaue???

Mchangiaji hewa = nkasoukumuMkuu wa mkoa hewa = raia hewa
Mzee kajitoa mhanga na Gwajma kesho na yy atamwaga vyote kwani na yy kaapa kufa hata kama makonda atanunua sumu ile iliyotumika kumuua kijana wa Rais wa korea kasikazini kule Airport, Mkulu atamlinda makonda wee,, na makonda anayenini shetani kwa sasa ataamini Gwajma atafeli, ndipo maajabu yanakuja yaani Mmiliki wa kamati za Ufundi Makonda vs mtumishi wa mungu.Sio rahis mtu kutoka na kusema nilisoma na Daudi Bashite, ni nani asieogopa serikali hii ya kukamia. Kuna yule mzee alkuja kutoa ushuhuda nadhani kila mtu anajua yaliomkuta aliemleta.
Mkuu wa mkoa hewaMchangiaji hewa = nkasoukumu
MAKONDA VYETI VYAKO FEKI""""""""
Kwanza nawasalimu kwa jina la Mungu yeye anayetupa uhai wote tuliopo kwenye hii dunia.
Nimekuwa nafutilia swala linaloendelea kwenye mitandao ya kijamii kuhusu vyeti vya mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda nakutokea maoni mbalimbali.
Wengine wakihitaji aweke vyeti vyake hadharani kuondoa utata uliopo lakini wasemaji wengine wanadai serikali itoke izungumzia swala hilo la vyeti vya Makonda.
Sasa kabla hayo hayajafanyika naomba kueleza machache juu swala hilo.
1. Aliyeibua hoja ya vyeti vya Makonda alishinda tu pale alipoanza kueleza jambo hilo, kwani inaonekana ni jambo la siasa na propaganda sisizo zamsingi nilitegemea siku hiyo angekuja na cheti cha shule ya Msingi cha huyo anadaiwa cheti chake kutumiaka secondary au hata kitambulisho chochote cha mtu huyo kinachoonyesha hilo ndio jina lake halisi na kwamba Makonda amenunua?.
2. Nilitegemea angetokea hata mwanafunzi yeyote aliyesoma na wote wawili na kudhibitisha kuwa anawafahamu na sikweli huyu Mh. Anaitwa hivyo maana naamini wote hao wapo na sitaki kuamini wote watakuwa upande wa Makonda yaani darasa lote wanafunzi wa shule yote wakipindi hicho wawe upande wa Makonda?
3. Nilitegemea hata walimu waliyowafundisha hayo wawili ambao wanawajua kwa majina yao, naamini wengeni wamestafu ila siamini kama walimu wa wanafunzi hayo kama wote wapo upande wa Makonda.
4. Wale wanaosema alete vyeti vyake halali watu wavione je wao wameleta hivyo ambao sio halali hadharani maana hoja hujibiwa kwa hoja Document hujibiwa kwa Document wewe hujaleta Document unataka mwenzio alete wewe unaleta maelezo ukipewa maelezo hutaki hapo tunajifunza nini?
Mnataka tuamini maneno mliyo andika kwenye karatasi nyeupe ?
Hivi serikali iyache kazi ya kuwahudumia wananchi ifanye ya kujibu mambo ya siyokuwa na vieleleza? Mimi nitaamini pale nitakapoona ushahidi wa kutosha na sio uvumi wa kina Mange.
Mh. Makonda endelea kunyamaza maana rais hakukuchagua bila kujiridhisha .
Utazungumza tu kama hayo majibu yangu yatajibiwa hapo juu na sio vinginevyo.
Mjadala umefika patamu - hapa Makonda hachomoi kashifa zake ni nzito sana kuliko tani kadhaa za saruji.
1. Kinachongojewa ni je mhe JPM atasimamia maneno yake juu ya vyeti hewa??
2. Je, mhe JPM atampa Makonda kazi ilinganayo na vyeti vyake??
3. Wanasheria wetu watakuwa tayari kuiburuza mahakamani issue hii
Baaaaaasiiiiii!!
Kinacho nishangaza sana ni pale wanaume wajinga mnapo kaza misuli kumjibia mtu anaye jua kuongea na kujielewa au nyie ni wake zake?maana hatuwaelewi yeye mwenyewe yupo kimya mibaba na mabusha yenu mnakaza misuli huku.MAKONDA VYETI VYAKO FEKI""""""""
Kwanza nawasalimu kwa jina la Mungu yeye anayetupa uhai wote tuliopo kwenye hii dunia.
Nimekuwa nafutilia swala linaloendelea kwenye mitandao ya kijamii kuhusu vyeti vya mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda nakutokea maoni mbalimbali.
Wengine wakihitaji aweke vyeti vyake hadharani kuondoa utata uliopo lakini wasemaji wengine wanadai serikali itoke izungumzia swala hilo la vyeti vya Makonda.
Sasa kabla hayo hayajafanyika naomba kueleza machache juu swala hilo.
1. Aliyeibua hoja ya vyeti vya Makonda alishinda tu pale alipoanza kueleza jambo hilo, kwani inaonekana ni jambo la siasa na propaganda sisizo zamsingi nilitegemea siku hiyo angekuja na cheti cha shule ya Msingi cha huyo anadaiwa cheti chake kutumiaka secondary au hata kitambulisho chochote cha mtu huyo kinachoonyesha hilo ndio jina lake halisi na kwamba Makonda amenunua?.
2. Nilitegemea angetokea hata mwanafunzi yeyote aliyesoma na wote wawili na kudhibitisha kuwa anawafahamu na sikweli huyu Mh. Anaitwa hivyo maana naamini wote hao wapo na sitaki kuamini wote watakuwa upande wa Makonda yaani darasa lote wanafunzi wa shule yote wakipindi hicho wawe upande wa Makonda?
3. Nilitegemea hata walimu waliyowafundisha hayo wawili ambao wanawajua kwa majina yao, naamini wengeni wamestafu ila siamini kama walimu wa wanafunzi hayo kama wote wapo upande wa Makonda.
4. Wale wanaosema alete vyeti vyake halali watu wavione je wao wameleta hivyo ambao sio halali hadharani maana hoja hujibiwa kwa hoja Document hujibiwa kwa Document wewe hujaleta Document unataka mwenzio alete wewe unaleta maelezo ukipewa maelezo hutaki hapo tunajifunza nini?
Mnataka tuamini maneno mliyo andika kwenye karatasi nyeupe ?
Hivi serikali iyache kazi ya kuwahudumia wananchi ifanye ya kujibu mambo ya siyokuwa na vieleleza? Mimi nitaamini pale nitakapoona ushahidi wa kutosha na sio uvumi wa kina Mange.
Mh. Makonda endelea kunyamaza maana rais hakukuchagua bila kujiridhisha .
Utazungumza tu kama hayo majibu yangu yatajibiwa hapo juu na sio vinginevyo.
Bashite kwisha jeuri yake, nilimuona mahali kapwaya sana...
Tulitegemea na wewe utaweka hapa hivyo vyeti vyake
Kumbe bado unaleta Ubashite wa Kolomije hapa JF?
Time will tell...
Sasa wachaga wanahusikaje na Daudi bashite kuzungusha zeeero yakeKwa hiyo wachaga wanafurahia sio?
Kuhakiki vyeti ni mkakati wa serikali yenyewe kwa watumishi wake hili limetolewa ufafanuzi hata na Raisi mwenyewe sasa endapo Makonda anasimamia zoezi hilo kwa wengine shida iko wapi na yeye akihakikiwa? ni kama zoezi la kuhakiki uhalali wa umiliki wa silaha mbona hata Rais alihakikiwa na hakuna aliyekuwa na tashwishi?MAKONDA VYETI VYAKO FEKI""""""""
Kwanza nawasalimu kwa jina la Mungu yeye anayetupa uhai wote tuliopo kwenye hii dunia.
Nimekuwa nafutilia swala linaloendelea kwenye mitandao ya kijamii kuhusu vyeti vya mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda nakutokea maoni mbalimbali.
Wengine wakihitaji aweke vyeti vyake hadharani kuondoa utata uliopo lakini wasemaji wengine wanadai serikali itoke izungumzia swala hilo la vyeti vya Makonda.
Sasa kabla hayo hayajafanyika naomba kueleza machache juu swala hilo.
1. Aliyeibua hoja ya vyeti vya Makonda alishinda tu pale alipoanza kueleza jambo hilo, kwani inaonekana ni jambo la siasa na propaganda sisizo zamsingi nilitegemea siku hiyo angekuja na cheti cha shule ya Msingi cha huyo anadaiwa cheti chake kutumiaka secondary au hata kitambulisho chochote cha mtu huyo kinachoonyesha hilo ndio jina lake halisi na kwamba Makonda amenunua?.
2. Nilitegemea angetokea hata mwanafunzi yeyote aliyesoma na wote wawili na kudhibitisha kuwa anawafahamu na sikweli huyu Mh. Anaitwa hivyo maana naamini wote hao wapo na sitaki kuamini wote watakuwa upande wa Makonda yaani darasa lote wanafunzi wa shule yote wakipindi hicho wawe upande wa Makonda?
3. Nilitegemea hata walimu waliyowafundisha hayo wawili ambao wanawajua kwa majina yao, naamini wengeni wamestafu ila siamini kama walimu wa wanafunzi hayo kama wote wapo upande wa Makonda.
4. Wale wanaosema alete vyeti vyake halali watu wavione je wao wameleta hivyo ambao sio halali hadharani maana hoja hujibiwa kwa hoja Document hujibiwa kwa Document wewe hujaleta Document unataka mwenzio alete wewe unaleta maelezo ukipewa maelezo hutaki hapo tunajifunza nini?
Mnataka tuamini maneno mliyo andika kwenye karatasi nyeupe ?
Hivi serikali iyache kazi ya kuwahudumia wananchi ifanye ya kujibu mambo ya siyokuwa na vieleleza? Mimi nitaamini pale nitakapoona ushahidi wa kutosha na sio uvumi wa kina Mange.
Mh. Makonda endelea kunyamaza maana rais hakukuchagua bila kujiridhisha .
Utazungumza tu kama hayo majibu yangu yatajibiwa hapo juu na sio vinginevyo.
Ndugu hao ni wanogeshaji wa mjadala wa vyeti hewa. Mengi yanaibuka katika hoja zao na kupiga sound wanayoifanya.Kinacho nishangaza sana ni pale wanaume wajinga mnapo kaza misuli kumjibia mtu anaye jua kuongea na kujielewa au nyie ni wake zake?maana hatuwaelewi yeye mwenyewe yupo kimya mibaba na mabusha yenu mnakaza misuli huku.
Haya maswali yako yote yatapata majibu thabiti siku Makonda akiweka hadharani uhalali wa vyeti vyake hapo jamii itauona uongo au ukweli wa Gwajima.Gwajima ana vyeti vya Makonda!!wewe hukusikia? Gwajima ni library au ni usalama Wa taifa? Gwajima ni mwizi? Maana alipataje vyeti vya Makonda? Tukisema ni jambazi aliyevunja nyumba ya Makonda na kuiba vyeti vya Makonda tutakuwa tumesema uongo!!! Tukisema ni jambazi ambaye amevunja library ya Shule ya msingi , secondary na chuo kikuu Fulani tutakuwa kumemsingizia?Tukisema Gwajima ni vunja ndoa za watu na kuwalagai wanawake na kupewa vyeti vya wanaume Wa wake hao tutakuwa tumemsingizia endapo kweli anavyeti vya Makonda?
Leave alone hao wadada wanaotoa rushwa ya ngono huko underground, Hon. Makonda is a model and a sign post to the society hivyo Integrity kwake is a must.Kuhusiana na makonda juuu ya vyeti feki ni hoja isiyo na mashiko ...KWA MTU uliyesoma huwezi kupoteza mda kulizungumzia ilo nyie mmemuona makonda tu ila jua ni weng wenye vyeti ambavyo sio vyao wengi snaaa KWA io kuhusu wala sio kitu mim naona ni sawa na wadada vyuoni ambao wanatoa rushwa ya NGONO kupata ALAMA sio zao unaonaje ilo jua kwamba wanawake wazuri wote vyuoni zile sio elimu zao ni baada ya kutoa rushwa ya NGONO