Mchungaji Gwajima: Daudi Albert Bashite alipata division Zero

Mchungaji Gwajima: Daudi Albert Bashite alipata division Zero

MAKONDA VYETI VYAKO FEKI""""""""
Kwanza nawasalimu kwa jina la Mungu yeye anayetupa uhai wote tuliopo kwenye hii dunia.

Nimekuwa nafutilia swala linaloendelea kwenye mitandao ya kijamii kuhusu vyeti vya mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda nakutokea maoni mbalimbali.

Wengine wakihitaji aweke vyeti vyake hadharani kuondoa utata uliopo lakini wasemaji wengine wanadai serikali itoke izungumzia swala hilo la vyeti vya Makonda.

Sasa kabla hayo hayajafanyika naomba kueleza machache juu swala hilo.

1. Aliyeibua hoja ya vyeti vya Makonda alishinda tu pale alipoanza kueleza jambo hilo, kwani inaonekana ni jambo la siasa na propaganda sisizo zamsingi nilitegemea siku hiyo angekuja na cheti cha shule ya Msingi cha huyo anadaiwa cheti chake kutumiaka secondary au hata kitambulisho chochote cha mtu huyo kinachoonyesha hilo ndio jina lake halisi na kwamba Makonda amenunua?.

2. Nilitegemea angetokea hata mwanafunzi yeyote aliyesoma na wote wawili na kudhibitisha kuwa anawafahamu na sikweli huyu Mh. Anaitwa hivyo maana naamini wote hao wapo na sitaki kuamini wote watakuwa upande wa Makonda yaani darasa lote wanafunzi wa shule yote wakipindi hicho wawe upande wa Makonda?

3. Nilitegemea hata walimu waliyowafundisha hayo wawili ambao wanawajua kwa majina yao, naamini wengeni wamestafu ila siamini kama walimu wa wanafunzi hayo kama wote wapo upande wa Makonda.

4. Wale wanaosema alete vyeti vyake halali watu wavione je wao wameleta hivyo ambao sio halali hadharani maana hoja hujibiwa kwa hoja Document hujibiwa kwa Document wewe hujaleta Document unataka mwenzio alete wewe unaleta maelezo ukipewa maelezo hutaki hapo tunajifunza nini?

Mnataka tuamini maneno mliyo andika kwenye karatasi nyeupe ?

Hivi serikali iyache kazi ya kuwahudumia wananchi ifanye ya kujibu mambo ya siyokuwa na vieleleza? Mimi nitaamini pale nitakapoona ushahidi wa kutosha na sio uvumi wa kina Mange.

Mh. Makonda endelea kunyamaza maana rais hakukuchagua bila kujiridhisha .

Utazungumza tu kama hayo majibu yangu yatajibiwa hapo juu na sio vinginevyo.
Wewe umethibitisha "ukifuu" wako.
Mshauri Daudi alete uthibitisho wa kubadili jina lake la awali na cheti cha kidato cha 3.

Hii kitu imekaa kihewa hewa tu.

Kuna vyeti hewa kila kona.
Kila kitu ni hewa- JPM

Link Rais Magufuli: Siwezi kusikiliza madai ya malipo yoyote wakati kuna malipo hewa kila kona
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Gwajima ana vyeti vya Makonda!!wewe hukusikia? Gwajima ni library au ni usalama Wa taifa? Gwajima ni mwizi? Maana alipataje vyeti vya Makonda? Tukisema ni jambazi aliyevunja nyumba ya Makonda na kuiba vyeti vya Makonda tutakuwa tumesema uongo!!! Tukisema ni jambazi ambaye amevunja library ya Shule ya msingi , secondary na chuo kikuu Fulani tutakuwa kumemsingizia?Tukisema Gwajima ni vunja ndoa za watu na kuwalagai wanawake na kupewa vyeti vya wanaume Wa wake hao tutakuwa tumemsingizia endapo kweli anavyeti vya Makonda?
 
Tafadhali Ndugu Daudi BASHITE Leta vyeti haraka tunakaribia kufunga uhakiki. Wapigie simu huko KOLOMIJE wakuletee haraka
 
TAARIFA MAALUM

Usikose Ibada ya Jumapili 05/03/2017 katika Kanisa la Ufufuo na Uzima, lililopo jirani na jengo la Tanesco,
Ubungo, Dar es Salaam.

Kumbuka,mtumishi wa Mungu, Askofu Dr Josephat Gwajima atakuwepo akifundisha na kuwaombea wenye shida na matatizo mbalimbali.

Kama ilivyo ada ni miujiza itatendeka na mambo mengine makubwa yatafanyika.

Ibada itaanza asubuhi saa mbili kamili na Pia itarushwa live kwenye vituo vifuatavyo:

Rudisha Radio: www.mixlr.com/rudisha-radio

Na YouTube Channel: www.youtube.com/user/ufufuonauzima

JUMAPILI HII NI ZAIDI YA JUMAPILI ILIYOPITA
 
TAARIFA MAALUM

Usikose Ibada ya Jumapili 05/03/2017 katika Kanisa la Ufufuo na Uzima, lililopo jirani na jengo la Tanesco,
Ubungo, Dar es Salaam.

Kumbuka,mtumishi wa Mungu, Askofu Dr Josephat Gwajima atakuwepo akifundisha na kuwaombea wenye shida na matatizo mbalimbali.

Kama ilivyo ada ni miujiza itatendeka na mambo mengine makubwa yatafanyika.

Ibada itaanza asubuhi saa mbili kamili na Pia itarushwa live kwenye vituo vifuatavyo:

Rudisha Radio: www.mixlr.com/rudisha-radio

Na YouTube Channel: www.youtube.com/user/ufufuonauzima

JUMAPILI HII NI ZAIDI YA JUMAPILI ILIYOPITA
I
2bff9e9aa276e86e580d01e82a1e5c2b.jpg
 
Bashite anazidi kutapatapa na kupigapiga miguu. Povu lote hilo nadhani umekuja na vyeti halali kumbe ngonjera tu. Unadhani kwa utawala huu dhalimu kuna mtu atajitokeza hapa athibitishe ubashte wa makandokando! Hapo hata walimu wake hawawezi thubutu
 
Kuhusiana na makonda juuu ya vyeti feki ni hoja isiyo na mashiko ...KWA MTU uliyesoma huwezi kupoteza mda kulizungumzia ilo nyie mmemuona makonda tu ila jua ni weng wenye vyeti ambavyo sio vyao wengi snaaa KWA io kuhusu wala sio kitu mim naona ni sawa na wadada vyuoni ambao wanatoa rushwa ya NGONO kupata ALAMA sio zao unaonaje ilo jua kwamba wanawake wazuri wote vyuoni zile sio elimu zao ni baada ya kutoa rushwa ya NGONO
 
1. Wamwachie Gwajima ili Jpili awaletee mwalimu wa Bashite

2. Necta wapitie vyeti vyote (Bashite + Makonda + Daudi) wajiridhishe uhalali wa vyeti vyote. Katika uchunguzi wafatilie from primary level hasa kwa huyo Paul
 
Alimuibia mama yako or? Huyo unayedai kaibiwa amefungua Kesi wapi na lini?
Kwann umpendekeze mama yake TU? Au umedhamilia kumtusi ? Sio poa mkuu huu ni mjadala wa kawaida tu unavyojadili usiwe km umetatuliwa marinda au tayari wameshatatua mkuu?
 
Back
Top Bottom