mbona kama mchiriku huo,huelewekiGwajima ana vyeti vya Makonda!!wewe hukusikia? Gwajima ni library au ni usalama Wa taifa? Gwajima ni mwizi? Maana alipataje vyeti vya Makonda? Tukisema ni jambazi aliyevunja nyumba ya Makonda na kuiba vyeti vya Makonda tutakuwa tumesema uongo!!! Tukisema ni jambazi ambaye amevunja library ya Shule ya msingi , secondary na chuo kikuu Fulani tutakuwa kumemsingizia?Tukisema Gwajima ni vunja ndoa za watu na kuwalagai wanawake na kupewa vyeti vya wanaume Wa wake hao tutakuwa tumemsingizia endapo kweli anavyeti vya Makonda?
Nashangaa kuwa mpaka sasa hata idara ya Uhamiaji haijaanzisha uchunguzi. Kupata hati ya kusafiria kwa njia ya udanganyifu ni kosa zito sana ambalo lina wajumuisha wadhamini hata wazazi kama walisaini affidavit kuwa wanakutambua kama mtoto wao wakati umetoa habari za uongo.Katika sakata hilo si lazima aliyeibiwa kushitaki - nilidokeza kuwa:-
1. Iwapo mwenye cheti hakufungua kesi wala kuchukuwa loss report mwisho wa siku atabanwa na charge la njama) conspiracy),
2. Iwapo alifungua loss report au kuchukuwa rb basi hapa Makonda atakuwa na charge ya wizi wa nyaraka za mtu,
3. Makonda kama baada ya kupata cheti hicho alilazimika kuandaa nyaraka zingine zinazoendana na cheti babu (cv yake, cheti cha kuzaliwa, cheti cha ubatizo, kitambulisho cha CCM nk nk nk) hapo itaongezeka charge nyingine ya fraud.
Mkuu wa mkoa hewa = raia hewaWewe umethibitisha "ukifuu" wako.
Mshauri Daudi alete uthibitisho wa kubadili jina lake la awali na cheti cha kidato cha 3.
Hii kitu imekaa kihewa hewa tu.
Kuna vyeti hewa kila kona.
Kila kitu ni hewa- JPM
Link Rais Magufuli: Siwezi kusikiliza madai ya malipo yoyote wakati kuna malipo hewa kila kona
Hicho si kigezo cha kukwepa majanga juu ya vyeti vya boss wako Daud Albert, kila mmoja anajua Gwajma hawezi kuiba wala kuvunja, mkijiloga mtengeneze kesi kama hiyo mtakuwa mnazidi kujidhalilisha na kuwafanya watanzania wajue kuwa Udikteta umeshika kasi kuficha Aibu.Gwajima ana vyeti vya Makonda!!wewe hukusikia? Gwajima ni library au ni usalama Wa taifa? Gwajima ni mwizi? Maana alipataje vyeti vya Makonda? Tukisema ni jambazi aliyevunja nyumba ya Makonda na kuiba vyeti vya Makonda tutakuwa tumesema uongo!!! Tukisema ni jambazi ambaye amevunja library ya Shule ya msingi , secondary na chuo kikuu Fulani tutakuwa kumemsingizia?Tukisema Gwajima ni vunja ndoa za watu na kuwalagai wanawake na kupewa vyeti vya wanaume Wa wake hao tutakuwa tumemsingizia endapo kweli anavyeti vya Makonda?
Ficha ujinga basi wewe, ungekuwa umesoma naye ungejitokeza? Ili familia izingirwe na polisi?MAKONDA VYETI VYAKO FEKI""""""""
Kwanza nawasalimu kwa jina la Mungu yeye anayetupa uhai wote tuliopo kwenye hii dunia.
Nimekuwa nafutilia swala linaloendelea kwenye mitandao ya kijamii kuhusu vyeti vya mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda nakutokea maoni mbalimbali.
Wengine wakihitaji aweke vyeti vyake hadharani kuondoa utata uliopo lakini wasemaji wengine wanadai serikali itoke izungumzia swala hilo la vyeti vya Makonda.
Sasa kabla hayo hayajafanyika naomba kueleza machache juu swala hilo.
1. Aliyeibua hoja ya vyeti vya Makonda alishinda tu pale alipoanza kueleza jambo hilo, kwani inaonekana ni jambo la siasa na propaganda sisizo zamsingi nilitegemea siku hiyo angekuja na cheti cha shule ya Msingi cha huyo anadaiwa cheti chake kutumiaka secondary au hata kitambulisho chochote cha mtu huyo kinachoonyesha hilo ndio jina lake halisi na kwamba Makonda amenunua?.
2. Nilitegemea angetokea hata mwanafunzi yeyote aliyesoma na wote wawili na kudhibitisha kuwa anawafahamu na sikweli huyu Mh. Anaitwa hivyo maana naamini wote hao wapo na sitaki kuamini wote watakuwa upande wa Makonda yaani darasa lote wanafunzi wa shule yote wakipindi hicho wawe upande wa Makonda?
3. Nilitegemea hata walimu waliyowafundisha hayo wawili ambao wanawajua kwa majina yao, naamini wengeni wamestafu ila siamini kama walimu wa wanafunzi hayo kama wote wapo upande wa Makonda.
4. Wale wanaosema alete vyeti vyake halali watu wavione je wao wameleta hivyo ambao sio halali hadharani maana hoja hujibiwa kwa hoja Document hujibiwa kwa Document wewe hujaleta Document unataka mwenzio alete wewe unaleta maelezo ukipewa maelezo hutaki hapo tunajifunza nini?
Mnataka tuamini maneno mliyo andika kwenye karatasi nyeupe ?
Hivi serikali iyache kazi ya kuwahudumia wananchi ifanye ya kujibu mambo ya siyokuwa na vieleleza? Mimi nitaamini pale nitakapoona ushahidi wa kutosha na sio uvumi wa kina Mange.
Mh. Makonda endelea kunyamaza maana rais hakukuchagua bila kujiridhisha .
Utazungumza tu kama hayo majibu yangu yatajibiwa hapo juu na sio vinginevyo.
Mnawataka wanafunzi waje hadharani kuthibitisha ili CCM muwaue???MAKONDA VYETI VYAKO FEKI""""""""

Unataka kifungu looh ila wana CCM akili fyatu kabisa. Madaktari na walimu wenye vyeti feki wameachishwa kazi sana na ni watumishi wa umma mbona Kairuki na Magufuli walikomalia sana suala la vyeti feki sasa kwa Makonda yaan Daudi A. Bashite wananywea??? Hiki kikombe hawatakiepuka kabisaaaalete kifungu cha sharia kinachosema ni kosa
Ujue chanzo cha yote ni Daud kutaka kumbambikia kesi Gwajma kwa sababu ya wivu na chuki, ndipo Gwajma na yy akaamua kujihami kwa kusaka data za Daudi Albert kila kona, cha ajabu wapo watu wanamlaumu Gwajma kwa kujihami na wengine mnataka mjue kaficha wapi vyeti vya makonda, kwa taarifa zenu Gwajma katoa kopi ya vyeti vyote vya makonda ni copy mamia kwa maelifu ni copy nyingi kupindukia zitasambazwa mji mzima kila mwana Dsm atapata copy yake.Gwajima ameshindwa kutunza bibilia anatunza vyeti vya makonda......?
Pia wanasahau kuwa Gwajma alichokozwa kwa nia mbaya ya kutengenezewa kesi bandia anayo haki ya kujihami kwa njia zote.Ukiona mtu anamtetea sana asiye na vyeti. Huenda naye hana vyeti