Mchungaji Gwajima: Daudi Albert Bashite alipata division Zero

Mchungaji Gwajima: Daudi Albert Bashite alipata division Zero

Swali la kufoji vyeti ni zito kweli kweli siyo la kufumbiwa macho. Pamoja na watanzania stahiki kuporwa nafasi stahiki taifa linabebeshwa mzigo wa kutawaliwa na viongozi vilaza.
 
Hakuna yoyote mwenye tatizo na ukuu wa mkoa wa Makonda. Na pia kupata zero ni haki yake ya msingi kawa wenginei. Tatizo letu na Makonda ni shutma ya kutumia cheti na jina la mtu

Akiwa kama kiongozi na kioo cha jamii, hasa katika hii awamu ambayo wengi wamefukuzwa kazi zao Kwa sababu ya kugushi vyeti, Makonda lazima a atoe ufafanuzi wa haya maswala yenye utata

Itakuwa ni vigumu Kwa Rais kumfukuza mtu kazi ikiwa makonda ambaye anatuhumiwa na hata uraia wake na wa mkewe kutiliwa shaka. Na hata ikibidi, wale waliofukuzwa warudishwe kwenye nyadhifa zao.

Kupata zero ni haki yake msingi . Tatizo ni udanganyifu. Makonda na hata Rais wasinyamazie....hii issue italigawa taifa
 
Gwajima bana,akiwa mtumishi wa kanisa (sina hakika kama ni wa Mungu)aliwezaje kukaa kimya miaka yote? Inamaana kwake hata wazinzi anawafichia siri mpaka siku wakimnyima?Huu ni unoko uliotukuka.
 
Hakuna yoyote mwenye tatizo na ukuu wa mkoa wa Makonda. Na pia kupata zero ni haki yake ya msingi kawa wenginei. Tatizo letu na Makonda ni shutma ya kutumia cheti na jina la mtu

Akiwa kama kiongozi na kinondoni cha jamii, hasa katika hii awamu ambayo wengi wamefukuzwa kazi zao Kwa sababu ya kugushi vyeti, Makonda lazima a atoe ufafanuzi wa haya maswala yenye utata
We bado una hayo tu!
 
Cheti cha bashite kinaogopwa kuzungumziwa kuliko hati ya muungano

Wahariri wameufyata wizara husika nazo kama chui wa makaratasi anasubiriwa kidume kimoja akimtumbua utasikia sakata la chet chake lilitoka mitandao ya kijamii

Kweli JK alikuwa na haki ya kuwaita waandishi makanyanja
 
Back
Top Bottom