Jolebatawi
JF-Expert Member
- Dec 10, 2011
- 549
- 230
We bado una hayo tu!
Ulitaka awe na yapi?uibe cheti utegemee kufumbiwa macho?hili litakuwa kama mzimu,tukiamka tunalo,tukilala tunalo,hadi hapo haki itakapotendeka kama watumishi wa vyeti feki walivyoondoshwa serikalini.
