Jamani kwa sasa anajirusha na yule aliyekuwa mwenye Silent Club pale Mwenge ambaye pia ni muumini mmojawapo wa kanisa lake!
..halafu anawaambia nini waumini wake kuhusu ndoa na uesharati kabla ya ndoa? na ni Dr wa wapi huyu? kasoma wapi na lini?
Jamani kwa sasa anajirusha na yule aliyekuwa mwenye Silent Club pale Mwenge ambaye pia ni muumini mmojawapo wa kanisa lake!
..halafu anawaambia nini waumini wake kuhusu ndoa na uesharati kabla ya ndoa? na ni Dr wa wapi huyu? kasoma wapi na lini?
..halafu anawaambia nini waumini wake kuhusu ndoa na uesharati kabla ya ndoa? na ni Dr wa wapi huyu? kasoma wapi na lini?
Koba,
Yule wa Silent Inn sii aliokoka na akafunga Club? Kama wanajirusha- je walifunga ndoa? Hii ndoa sijausikia- ila sii rahisi Mchungaji Mlokole kuwa na hawara nje ya ndoa!
Tamaa ya power ? Hapana she has one them for a very long time . Kanisa na uchungaji ni cover up na wote tunajua . Biashara za mashule ni zake kwa kutumiwa na wakubwa nandiyo leo wanaona ainghie kundini rasmi . Mwisho wake utakuja CCM watakapo mfukuza tena Zitto na yeye kusimama pale kwenye mimbari waumini watamuuliza na ndipo kanisa lake utaona lilikuwa na malengo si mambo ya kiroho.
Mwanae HUMPHREY kawa teja mdondo..yaani mdondo huwa unamtoka akishapona cocaine au crack...in short jamaa ni kama yale ma teja kwenye THE WIRE
Mwanae TIBE anataka kuwa kama KINJE
Mwanae ROSE amegeuka kuwa VENESSA BLUE
Mwanae MUTA ni kipenzi kikubwa cha GRASS au MARY JANE au WEED
sasa hebu niambie nyuma yake imeporomoka namna ile sasa what do you expect kwa huyu mama?
Je wasio walokole watapewa equal time kwake au ndio ataanza kuwabagua wasio walokole?
Udokta wake amepewa na "chuo kikuu" kimoja huko USA kinachoitwa Teamwork International University, sasa msiniulize sana someni hapa:
http://cache.zoominfo.com/CachedPage/?archive_id=0&page_id=635738958&page_url=%2f%2fwww.ippmedia.com%2fipp%2fguardian%2f2004%2f03%2f15%2f7146.html&page_last_updated=3%2f15%2f2004+2%3a42%3a57+AM&firstName=Getrude&lastName=Rwakatare
Nakumbuka alianzia na ile NGO yake ya "Mission to the Needy" halafu alipoanza "kuwaliza" wenzie akina Magotti(ilikuwa kesi ndefu tu mahakamani sina details, though) watu wakaanza kuiita "Mission to the Greedy" Kidogo kanunua kiwanja kule Mbezi Beach, Mara kaanzisha St. Mary's Tabata, nakumbuka kumsikia akimtambulisha mama mmoja Mzungu aliyekuja toka US, mmoja wa wafadhili wake enzi zile akisema anaitwa Mary na ni rafiki yake sana hivyo shule itaitwa St. Mary kwa heshima yake. Hiyo ilikuwa pale Mnazi mmoja alifanya mkutano wa hadhara wa kuwaonyesha wafadhili wake kuwa naye anahubiri injili.
Mkuu Ab-Titchaz hicho chuo chake wala huko Marekani hakitambuliwi na mtu. Halafu isitoshe Ph.D haitolewi kama honorary degree hata siku moja, chunguza utaniambia!
Hivi keshafanya nini tangu ateuliwe?