Blood of Jesus
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 6,786
- 12,197
Hizo aya zote ulizoweka hazijabatilisha ndoa ya wake wengi.
Daudi alikuwa na wake wangapi?
Napenda uelewe kuwa ndoa za wake wengi ni "solution" ya tatizo kubwa sana lililopo duniani sasa hivi, sikiliza:
Kuwa na mke zaidi ya mmoja ni uzinzi kama ulivyo uzinzi. Watu wengi wa kipindi cha Agano la Kale kina Daudi, Suleimani, n.k walioa wake wengi hatukatai lakini hakuna sehemu yeyote inayoonesha kuwa Mungu aliwaruhusu kufanya hivyo. Hizo ni nyakati ambazo Mungu alijifanya haoni, na aliziita nyakati hizo kuwa ni nyakati za ujinga. (Mdo 17:30) -"Basi zamani zile za ujinga Mungu alijifanya kuwa hazioni; bali sasa anawaagiza watu wote wa kila mahali watubu." Saivi hatuishi kipindi cha ujinga. Tuko kipindi cha Agano Jipya yaani DAMU YA YESU.