Mchungaji ananitaka, nifanyeje?

Mchungaji ananitaka, nifanyeje?

Ukiona mwanamke anashare kitu kana hiki jua kashaliwa... Hapa anataka tu mitazamo yenu... Je itasapoti aliwe ili nafsi yake isimsute kwamba alikuwa sahihi kuliwa au mtakuwa negative....ili asigawe tena K.....

Ukweli ni .... KASHALIWA
 
Mm ni mwanamke na mama wa watoto wawili nina Mume ila pia si Wandoa japo tuna mpango wa kufunga ndoa.

Nina rafiki yangu ambae ni mchungaji nimemwomba mtaji wa sh 2M sasa kanihakikishia kunipa ila anataka ni mpe papuchi; yani nimechoka.

Naombeni ushauri nifanyeje matusi sitaki. Pesa ya biashara nataka ila papuchi sitaki kutoa kwa sababu ni mtumishi wa Mungu.
mpe tu kwani anaibeba...at the end una mtaji wako sasa tatizo nini hapo!!
 
Na wewe usiwe mjinga,unajua maana ya ndoa!?? Usiseme hana ndoa. Huyu ana ndoa kamili lkn "Hajafunga ndoa" usichanganye kuwa na ndoa na kufunga ndoa,hivyo ni vitu viwili tofauti. Kanisani,msikitini au bomani huwa tunaenda kufunga ndoa. Yaani mnaenda kuifunga hiyo ndoa kisheria isivunjike. Kile Cheri cha ndoa unachopewa kanisani,ni mali ya serikali ndo maana unakilipia kwa sababu hata kanisa linanunua hivyo vyeti. Huwezi kufunga ndoa bila kuwa ndoa. Ndoa ni makubaliano ya watu wawili waliokubaliana kuishi pamoja. Hiyo ndiyo ndoa. Hakuna baraka yoyote unayopata ktk kufunga ndoa,ila unakuwa umeifanya hiyo ndoa yenu iwe ya kisheria. Yaani hata mwenzio akikuchoka aogope kile cheti.
Huyo dada ana ndoa, soma sheria ya ndoa, ukiishi na mwanamke kwa zaidi ya muda fulani, sijui ni miezi 3 au sita, huyo ni mkeo. Kwa maelezo ya dada, yuko kwenye ndoa, tena inayotambuliwa na sheria ya ndoa, kinachokosekana ni cheti cha ndoa.
Cheti cha ndoa ni uthibitisho kuwa hawa wawili wameoana, lakini mazingira ya maisha ya huyu dada ni uthibitisho wa ndoa yake pia.
Haya mambo ya vyeti yamekuja baada ya hawa watu weupe kuja huku kwetu, before then tulikuwa na ndoa with no papers.
 
Oya WANAUME tutafute pesa aisseh.
Cheki kisa mil 2 mke analiwa na pastor tena inawezekana pasta akapiga kavu bila hata ndom..
Mme angekuwa na hio mil 2 ya mtaji yote haya yasingetokea
Hata ukiwa na hela, mkeo kama ana akili ya kuliwa, kama humridhishi, ataliwa tu
 
Mm ni mwanamke na mama wa watoto wawili nina Mume ila pia si Wandoa japo tuna mpango wa kufunga ndoa.

Nina rafiki yangu ambae ni mchungaji nimemwomba mtaji wa sh 2M sasa kanihakikishia kunipa ila anataka ni mpe papuchi; yani nimechoka.

Naombeni ushauri nifanyeje matusi sitaki. Pesa ya biashara nataka ila papuchi sitaki kutoa kwa sababu ni mtumishi wa Mungu.
Mpe tu ili mafundisho yakuingie uzuri kwa roho na papuchini....
 
Pole sana...

Yote ni mitihani hiyo... scratch his back nae aku scratch your back...

Cc: mahondaw
 
Aisee wewe utakuwa mama huruma, ambao sio watumishi wa Mungu wajipigia tu papuchi. Uko mkoa gani dada tuangalie tunafanyaje.
 
Huyo mwanaume unaishi nae ni mumeo halali wacha ujinga.....umezungumza nae kuhusu uhitaji wako wa mkopo??au unafanya kwa kivuli hataujafunga ndoa....umesahau kuwa ndio baba wa watoto wako na manaishi nae....fanya huo ujinga uone aibu iliyo mbele yako.......nakushauri wacha kabisa....zungumza na mmeo....inawezekana...
 
Yani apa sijaainisha vizr yeye nimesoma nae ni mkatoliki baada yakumaliza school alienda kusomeea ubrother na kisha kuusomea uuupadri kwasasa bado ata ajagraduet yupo nje.Ndipo nime mwomba anisaidie ila mwenzangu anaongelea mapenzi mxuuu.apa natafuta jinsi yakumpanga maana anamoto huyo.simpi papuchii yng nikishindwa kupata nnachotaka basi imeeisha iyo
Njoo kwangu nitakupa 1.5mil buree kabisa
 
Mm ni mwanamke na mama wa watoto wawili nina Mume ila pia si Wandoa japo tuna mpango wa kufunga ndoa.

Nina rafiki yangu ambae ni mchungaji nimemwomba mtaji wa sh 2M sasa kanihakikishia kunipa ila anataka ni mpe papuchi; yani nimechoka.

Naombeni ushauri nifanyeje matusi sitaki. Pesa ya biashara nataka ila papuchi sitaki kutoa kwa sababu ni mtumishi wa Mungu.
Acha uchoyo...mpe mwenzio!
 
Kwanza awali ya yote nikupe pole kwa magumu unayopitia na uvumilivu ulionao. Kwa idadi ya watoto ulionao, ni dhahiri kuwa umeishi na huyo mwanaume kwa kipindi kisichopungua miaka 4. Nnachojiuliza ni kwamba inakuwaje mwanaume aliye na malengo na wewe kwa kipindi chote hicho akakosa/akashindwa kukutafutia hiyo 2M kwa ajili ya wewe kufanya biashara ambayo itawakomboa wote wawili ?. Kama ni kweli umedhamiria kufanya biashara na mwanaume wako ameshindwa kukupa, ushauri wangu ni kuwa huna mwanaume hapo. Jaribu kukopa hata kwa ndugu. Kwa ugumu wa maisha ulivyo sasa, tafuta hata watu 5 unao maanini kopa laki 4 kwa kila mmoja kuliko kumtumia mtu mmoja. Huyo mchungaji atakupoteza, unaweza usiishie tu kupata hiyo 2M, bali ukavuna fedheha maisha yako yote. Imagine upate gonjwa, imagine watu wajue umetembea na baba mchungaji? Fikiria umeanza biashara yako bado akaanza kukusumbua kwa kuja eneo lako la biashara kila muda na kutaka papuchi tena vinginevyo anataka hela yake. Fikiria aje baadae kuharibu hata furaha kidogo uliyonayo na familia yako ?
Umenena vizuri sana!
 
Mm ni mwanamke na mama wa watoto wawili nina Mume ila pia si Wandoa japo tuna mpango wa kufunga ndoa.

Nina rafiki yangu ambae ni mchungaji nimemwomba mtaji wa sh 2M sasa kanihakikishia kunipa ila anataka ni mpe papuchi; yani nimechoka.

Naombeni ushauri nifanyeje matusi sitaki. Pesa ya biashara nataka ila papuchi sitaki kutoa kwa sababu ni mtumishi wa Mungu.
We mpe tu kwanza Wachungaji waonaekana dhaifu atakupiga tako 3 anakumwagia mbegu ila mmeo akijua ndoa hauna
 
Naombeni ushauri nifanyeje matusi sitaki. Pesa ya biashara nataka ila papuchi sitaki kutoa kwa sababu ni mtumishi wa Mungu.
Yaani sababu ni hiyo TU? Angekuwa sio mtumishi wa Mungu ungeigawa?

Mimi nina milioni 1, ngoja nimtafute mtu mwenye milioni moja au wawili wenye laki tano tano tupige mzigo upate mtaji.
 
Milioni mbili ndefu sana unapata Kiwanja cha kujenga.. Kama utakula kila siku elfu 10,000, Basi utakula siku mia mbili na Bwanaakooo.

Nakushauli mpee tena msususie mpindulie nina uwakika Pasta atakuja kukupa na funguo.
 
Back
Top Bottom