Mchungaji ananitaka, nifanyeje?

Mchungaji ananitaka, nifanyeje?

Mtaka cha uvunguni pindua tanda taona.Atakuwa Gwaji Boy huyo 😜😜😜

Mm ni mwanamke na mama wa watoto wawili ni na Mume ila pia si Wandoa japo tunampango wakufunga ndoa.
Nina rafiki yngu ambae ni pasta nimemwomba mtaji wa sh 2M sasa kaniakikishia kunipa ila anataka ni mpe papuchi..., yani nimechoka.
Naombeni ushauri nifanyeje matusi sitaki.Pesa ya biashara nataka ila papuchi sitaki kutoa kwa sababu ni mtumishi wa Mungu.
 
Ni mkopo au ni nn?
 
Yakwamba, Asingekua mtumishi wa Mungu, ungempa papuchi ??

Haina maana sababu mtu ni mtu na kazi ni kazi, haijalishi ni ya aina Gani.

Embu NiPM ....nina pesa nazotaka kufanya ujenzi ..tutaangalia namna.
 
Utakuaje na urafiki na pastor wakati wewe ni mke wa MTU?
 
Pimeni ngoma........ chukua pesa anza biashara
Hahaha hahahahahaha nashauri watumie kinga.... Maana ngoma kama amepata wiki iliyopita akipima leo hana wataambukizana watumie kinga
 
Jamani huyu ni mgeni tungeangalia namna ya kumshauri hajajua Jf ni Jokes tu kwenye haya mambo
 
Sasa jamani nimshauri asiende wakati akili yake 80% inamwambia aende tu!.... Mimi nakazia tu hapo kuzisukuma hizo ishirini zilizobaki aendeeee akachukuwe sadaka za waumini afanye mtaji hakuna namna
Naona umeafiki mwenzako akafanyiwe maombi ya papuchi kwa sadaka zetu waumini.
 
Wekeni unafiki pembeni kwenye uzi wake huu,kwa nini wote kasoro mimi,mliochangia mnakua wanafiki,
huyo sio mke wa mtu,hakuna mke bila ya ndoa,mwambieni ukweli huyo ni kimada wa mtu,hata pasta akiomba poa tu..
Mkuu relax
 
Back
Top Bottom