Mchungaji ananitaka, nifanyeje?

Mchungaji ananitaka, nifanyeje?

Mm ni mwanamke na mama wa watoto wawili nina Mume ila pia si Wandoa japo tuna mpango wa kufunga ndoa.

Nina rafiki yangu ambae ni mchungaji nimemwomba mtaji wa sh 2M sasa kanihakikishia kunipa ila anataka ni mpe papuchi; yani nimechoka.

Naombeni ushauri nifanyeje matusi sitaki. Pesa ya biashara nataka ila papuchi sitaki kutoa kwa sababu ni mtumishi wa Mungu.
Akupe million 2 just like that. You must be joking. Kula, uliwe!
Mwingine atakutafuna hata kwa hela ndogo zaidi. Umanyima kisa Mchungaji? Hayo mwachie yeye na Mungu wake!
 
BREAKING NEWS ...WAZIRI AFUMANIWA NA MWANAFUNZI GEUST

kijana mmoja kwa jina la waziri amefumaniwa na mwanafunzi wa shule ya sekondari ndani ya guest wakifanya maombi
 
Mm ni mwanamke na mama wa watoto wawili nina Mume ila pia si Wandoa japo tuna mpango wa kufunga ndoa.

Nina rafiki yangu ambae ni mchungaji nimemwomba mtaji wa sh 2M sasa kanihakikishia kunipa ila anataka ni mpe papuchi; yani nimechoka.

Naombeni ushauri nifanyeje matusi sitaki. Pesa ya biashara nataka ila papuchi sitaki kutoa kwa sababu ni mtumishi wa Mungu.

Kwanza awali ya yote nikupe pole kwa magumu unayopitia na uvumilivu ulionao. Kwa idadi ya watoto ulionao, ni dhahiri kuwa umeishi na huyo mwanaume kwa kipindi kisichopungua miaka 4. Nnachojiuliza ni kwamba inakuwaje mwanaume aliye na malengo na wewe kwa kipindi chote hicho akakosa/akashindwa kukutafutia hiyo 2M kwa ajili ya wewe kufanya biashara ambayo itawakomboa wote wawili ?. Kama ni kweli umedhamiria kufanya biashara na mwanaume wako ameshindwa kukupa, ushauri wangu ni kuwa huna mwanaume hapo. Jaribu kukopa hata kwa ndugu. Kwa ugumu wa maisha ulivyo sasa, tafuta hata watu 5 unao maanini kopa laki 4 kwa kila mmoja kuliko kumtumia mtu mmoja. Huyo mchungaji atakupoteza, unaweza usiishie tu kupata hiyo 2M, bali ukavuna fedheha maisha yako yote. Imagine upate gonjwa, imagine watu wajue umetembea na baba mchungaji? Fikiria umeanza biashara yako bado akaanza kukusumbua kwa kuja eneo lako la biashara kila muda na kutaka papuchi tena vinginevyo anataka hela yake. Fikiria aje baadae kuharibu hata furaha kidogo uliyonayo na familia yako ?
 
Mm ni mwanamke na mama wa watoto wawili nina Mume ila pia si Wandoa japo tuna mpango wa kufunga ndoa.

Nina rafiki yangu ambae ni mchungaji nimemwomba mtaji wa sh 2M sasa kanihakikishia kunipa ila anataka ni mpe papuchi; yani nimechoka.

Naombeni ushauri nifanyeje matusi sitaki. Pesa ya biashara nataka ila papuchi sitaki kutoa kwa sababu ni mtumishi wa Mungu.
[/QUOTE
Asingekuwa mtumishi wa Mungu Ungemgeya? kwa kauli hiyo naona tayari manyoa yanaonekana ndege keshaliwa. ungesema kama yusufu

Mwanzo 39:9 Hakuna mkuu katika nyumba hii kuliko mimi, wala hakunizuilia kitu cho chote ila wewe, kwa kuwa wewe u mkewe. Nifanyeje ubaya huu mkubwa nikamkose Mungu?
kwa hiyo mtaji tafuta kwingine kama hutaki kuliwa!
 
Nilijua kaomba Na tigo kabisaa...!! bhasi mchungaji mstaarabu sana maana hana undugu na wewe kanisani umeenda kupata huduma ya kiroho...ukitaka pesa bhasi kubali kuliwaa hakuna Cha bure mjinii Sema kwa wanawake mpaka ukalileta hapa na una watoto wawili walahi USHAGONGWAAA...UMESHALIWAAAA...
 
Ushauri wangu mpe tu papuchi sahau kama ni mtumishi wa dini kwa masaa kadhaa ule hizo milioni mbili bila marejesho. Umepata danga unaanza kuangalia kazi yake je angekuwa balozi si ungempa mbunye.

Mpe mtumishi nae ale raha za duniani halafu una zari balaa mtu anakudinya kwa milioni mbili? Mie nilikulaga bongo movie mmoja maarufu sana kwa 220,000/= we unapewa ten times yake na jina hauna
 
Screenshot_20190605-175159~2.jpeg
 
Sasa jamani nimshauri asiende wakati akili yake 80% inamwambia aende tu!.... Mimi nakazia tu hapo kuzisukuma hizo ishirini zilizobaki aendeeee akachukuwe sadaka za waumini afanye mtaji hakuna namna
Na mtaji wake utakuwa maradufu maana hizo sadaka huwa zinafanyiwa maombi kabla hata ya kutolewa.
 
Hoja hapa ni ipi;

1 . Pastor. 2. Pesa 3. Papuchino????
 
Kwa Tz hii watu wengi wanaishi kama mke na mume bila ndoa. Usijidanganye wala kuwadanganya wengine. Tena mijini na hata vijijini watu wengi hawajafunga ndoa ila ni mke na mume na wana familia kubwa na watoto wakubwa tu.

Wengine wanafunga ndoa uzeeni au kuelekea uzeeni, utasemaje siyo mke wa mtu?

Unadhani ikitokea Pastor akafumaniwa au mtu yeyote kwa huyu mwanamke hawatasema kafumwa na mke wa mtu?
Yaani mwanaume anaishi na mwanamke na wamezaa watoto 2 na kila upande wa familia na watu wote wanajua halafu wewe unasema si mke wake?

Amini usiamini huyo mama akitoa papuchi, atakuwa amemsaliti mume wake.
Wekeni unafiki pembeni kwenye uzi wake huu,kwa nini wote kasoro mimi,mliochangia mnakua wanafiki,
huyo sio mke wa mtu,hakuna mke bila ya ndoa,mwambieni ukweli huyo ni kimada wa mtu,hata pasta akiomba poa tu..
 
Mm ni mwanamke na mama wa watoto wawili nina Mume ila pia si Wandoa japo tuna mpango wa kufunga ndoa.

Nina rafiki yangu ambae ni mchungaji nimemwomba mtaji wa sh 2M sasa kanihakikishia kunipa ila anataka ni mpe papuchi; yani nimechoka.

Naombeni ushauri nifanyeje matusi sitaki. Pesa ya biashara nataka ila papuchi sitaki kutoa kwa sababu ni mtumishi wa Mungu.
kuzini ni kuzini tyuu chukua iyo ela mpe utam..ila malipo dunian.
 
Kwa Tz hii watu wengi wanaishi kama mke na mume bila ndoa. Usijidanganye wala kuwadanganya wengine. Tena mijini na hata vijijini watu wengi hawajafunga ndoa ila ni mke na mume na wana familia kubwa na watoto wakubwa tu.

Wengine wanafunga ndoa uzeeni au kuelekea uzeeni, utasemaje siyo mke wa mtu?

Unadhani ikitokea Pastor akafumaniwa au mtu yeyote kwa huyu mwanamke hawatasema kafumwa na mke wa mtu?
Yaani mwanaume anaishi na mwanamke na wamezaa watoto 2 na kila upande wa familia na watu wote wanajua halafu wewe unasema si mke wake?

Amini usiamini huyo mama akitoa papuchi, atakuwa amemsaliti mume wake.
Mmojawapo mimi wazazi wangu, tumezaliwa nane na mimi ndio last born...hawajafunga ndoa kanisani utasema sio mke na mume?
 
Nimesoma nae na mm nimemwomba mkopo tena sio kwakumlazimisha kakubali ila kwamasharti
Hamna mkopo usio na masharti isitoshe mbona masharti rahisi rahisi kbsa hayo au ulitaka akupe masharti ya China ( ukishindwa kulipa basi akutwae kutoka kwa mmiliki na kuwa mali yake halali)
 
Ulianzaje anzaje kumuomba mtumishi wa Mungu mtaji wa kiasi chote hicho cha pesa na wakati ukijua uko chini ya umiliki wa mwanamume mwingine ? (b) huyo Mchungaji hana mke?(c) Mchungaji ako na mahusiano ya karibu na bwana yako kama uliyonayo wewe au ni wewe tu?
 
Back
Top Bottom