City Of Lies
JF-Expert Member
- Sep 8, 2011
- 5,736
- 7,344
Unawezaje kuwa na mume bila ndoa!?
Na wewe usiwe mjinga,unajua maana ya ndoa!?? Usiseme hana ndoa. Huyu ana ndoa kamili lkn "Hajafunga ndoa" usichanganye kuwa na ndoa na kufunga ndoa,hivyo ni vitu viwili tofauti. Kanisani,msikitini au bomani huwa tunaenda kufunga ndoa. Yaani mnaenda kuifunga hiyo ndoa kisheria isivunjike. Kile Cheri cha ndoa unachopewa kanisani,ni mali ya serikali ndo maana unakilipia kwa sababu hata kanisa linanunua hivyo vyeti. Huwezi kufunga ndoa bila kuwa ndoa. Ndoa ni makubaliano ya watu wawili waliokubaliana kuishi pamoja. Hiyo ndiyo ndoa. Hakuna baraka yoyote unayopata ktk kufunga ndoa,ila unakuwa umeifanya hiyo ndoa yenu iwe ya kisheria. Yaani hata mwenzio akikuchoka aogope kile cheti.Wekeni unafiki pembeni kwenye uzi wake huu,kwa nini wote kasoro mimi,mliochangia mnakua wanafiki,
huyo sio mke wa mtu,hakuna mke bila ya ndoa,mwambieni ukweli huyo ni kimada wa mtu,hata pasta akiomba poa tu..
Mpe tu kama dhamana ya mkopo!Mm ni mwanamke na mama wa watoto wawili nina Mume ila pia si Wandoa japo tuna mpango wa kufunga ndoa.
Nina rafiki yangu ambae ni mchungaji nimemwomba mtaji wa sh 2M sasa kanihakikishia kunipa ila anataka ni mpe papuchi; yani nimechoka.
Naombeni ushauri nifanyeje matusi sitaki. Pesa ya biashara nataka ila papuchi sitaki kutoa kwa sababu ni mtumishi wa Mungu.
Mentor bhana, akili zako zinakutosha mwenyewe!mshirikishe mzazi mwenzio...
Acha kuwa mnyimi,,wewe mpe tu ,kwanza ukimtengea vizuri hata deni atalisahauSawa nimekuelewa ila mm nilimwomba anikopeshe tu kama anayo nikaona amekubali sasa ndio yakaanza na mengien
Ulianzaje anzaje kumuomba mtumishi wa Mungu mtaji wa kiasi chote hicho cha pesa na wakati ukijua uko chini ya umiliki wa mwanamume mwingine ? (b) huyo Mchungaji hana mke?(c) Mchungaji ako na mahusiano ya karibu na bwana yako kama uliyonayo wewe au ni wewe tu?
Na mtaji wake utakuwa maradufu maana hizo sadaka huwa zinafanyiwa maombi kabla hata ya kutolewa.





Kwani yeye kakulazimisha umpe penzi?Nimesoma nae na mm nimemwomba mkopo tena sio kwakumlazimisha kakubali ila kwamasharti
Mm ni mwanamke na mama wa watoto wawili nina Mume ila pia si Wandoa japo tuna mpango wa kufunga ndoa.
Nina rafiki yangu ambae ni mchungaji nimemwomba mtaji wa sh 2M sasa kanihakikishia kunipa ila anataka ni mpe papuchi; yani nimechoka.
Naombeni ushauri nifanyeje matusi sitaki. Pesa ya biashara nataka ila papuchi sitaki kutoa kwa sababu ni mtumishi wa Mungu.
Uliambiwa watumishi wa Mungu wanachunwa bure?
Laiti kama angekuwa sio mtumishi wa mungu ungempa?sababu ni mtumishi wa Mungu