Siempre Hechos
JF-Expert Member
- Dec 9, 2016
- 1,228
- 1,530
Huyo mumeo ana hasara, ana mke ambae hajui akitongozwa haelewi afanyeje...?
Du!
Huyo mumeo ana hasara, ana mke ambae hajui akitongozwa haelewi afanyeje...?
Nafikiri hili lilikuwa muhimu sana kufanya kabla ya kuja hapa JF.mshirikishe mzazi mwenzio...
Kama umeongea point vile![]()
Finally, uzi ufungwe sasa!kapigwe p lako upewe hela endelea na safari!
Usitafute justification!
Kwanza umeanza na kukana your status! (manake unataka tukupe go ahead)
Pili unakimbilia sababu ya kukataa kuwa ni Mtumishi!
WOMAN!!!!!!!
mi sio mtumishi ila SIHITAJI KUTOA SABABU KWANINI SIMTAKI MWANAUME ANAYENITAKA!
ukiona unatoa sababu za mi simtaki kwa kuwa NI MKE WA MTU! OH MI SIMTAKI KWA KUWA NIMEOKOKA!
ujue huna SELF WORTHY! huna!
ambayo ni mbaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaya zaid ya kuliwa na huyo pastor!
Ushauri wangui kwamba, mumeo akutafutie hiyo hela ya mtaji acha kumuomba Mchungaji.Mm ni mwanamke na mama wa watoto wawili nina Mume ila pia si Wandoa japo tuna mpango wa kufunga ndoa.
Nina rafiki yangu ambae ni mchungaji nimemwomba mtaji wa sh 2M sasa kanihakikishia kunipa ila anataka ni mpe papuchi; yani nimechoka.
Naombeni ushauri nifanyeje matusi sitaki. Pesa ya biashara nataka ila papuchi sitaki kutoa kwa sababu ni mtumishi wa Mungu.
mambo yasiwe mengi!Finally, uzi ufungwe sasa!
hivi nyie wanawake huwa humuelewi tuu jamaani mnachosha...mtu ataekupa pesa ya bure ni wazazi wako tuu na kaka zako wengine hawa inabidi ulipie.......its called law of supply and demand ewe huna pesa unatake pesa utapata yeye hana papuchi na wewe mpe...Mm ni mwanamke na mama wa watoto wawili nina Mume ila pia si Wandoa japo tuna mpango wa kufunga ndoa.
Nina rafiki yangu ambae ni mchungaji nimemwomba mtaji wa sh 2M sasa kanihakikishia kunipa ila anataka ni mpe papuchi; yani nimechoka.
Naombeni ushauri nifanyeje matusi sitaki. Pesa ya biashara nataka ila papuchi sitaki kutoa kwa sababu ni mtumishi wa Mungu.
Toa andiko kwenye biblia nzima linaoonesha kuwa mtu asipofunga ndoa na mwanamke wake anayeishi nae basi anazini.Sikiliza dada,
wewe huna mume,ungekua na mume mngefunga ndoa,huyo uliezaa nae ni bwana tu mmezini akakuzalisha,kwa hiyo hata pasta akikutaka sawa tu,kwa kuwa si mke wa mtu,je jamaa akikataa kukuoa?.
Wajuzi waje wanikosoe kwa ukweli niliokwambia.
Mke wa mtu anakuwaje? Yaani watu wanaoana hadi wanazaa unasema hawajaoana? Mnathamini vikaratasi vya kwa Dc ndo mnaona ni halali? Mitume walikuwa na vyeti vya ndoa?Sikiliza dada,
wewe huna mume,ungekua na mume mngefunga ndoa,huyo uliezaa nae ni bwana tu mmezini akakuzalisha,kwa hiyo hata pasta akikutaka sawa tu,kwa kuwa si mke wa mtu,je jamaa akikataa kukuoa?.
Wajuzi waje wanikosoe kwa ukweli niliokwambia.
Hawajafunga ndoa,mwenyewe kasema sio Mimi,nimemnukuu tu,soma bandiko lake mwanzoni nduguMke wa mtu anakuwaje? Yaani watu wanaoana hadi wanazaa unasema hawajaoana? Mnathamini vikaratasi vya kwa Dc ndo mnaona ni halali? Mitume walikuwa na vyeti vya ndoa?
Nasikitika kusema kuwa, WaChungaji wanafaido sana hawaMm ni mwanamke na mama wa watoto wawili nina Mume ila pia si Wandoa japo tuna mpango wa kufunga ndoa.